The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
anhaa hapo ndo nimekupata mkuu.. poa nitaweka vyote.. kuna crack pia ila ni MB nafikiri 20 tu... usikonde..!Pes 17 na patch yake
anhaa hapo ndo nimekupata mkuu.. poa nitaweka vyote.. kuna crack pia ila ni MB nafikiri 20 tu... usikonde..!Pes 17 na patch yake
HAYO MAGEMU NI HATAR I TUPUHapo bado sijacheza hata moja aisee
inawezekana. si unadownload kisha unacopy tu kupeleka kwenye pc.Hivii wadau naweza kuidanload game Kwenye simu na kuiweka katika PC
Unazo hizo mkuuHAYO MAGEMU NI HATAR I TUPU
ndioUnazo hizo mkuu
jaribu, blackbox repackWakuu mtutupie na link bac wengine tunapata tabu kudownload.
Unapatikana wap mkuu??ndio
DomUnapatikana wap mkuu??
DUh uko mbali,ungekuwa karibu tunge exchange
wewe uko wapiDUh uko mbali,ungekuwa karibu tunge exchange
NIKO dsm mkuuwewe uko wapi
hili game nimeshindwa kulicheza, baada ya kumaliza pale anaingia mgodini, sehemu ilnayofuatia nimeshindwaIgi3
Igi 3 imetoka?hili game nimeshindwa kulicheza, baada ya kumaliza pale anaingia mgodini, sehemu ilnayofuatia nimeshindwa
igi 2 ndio bonge la game kuzidi no 1I.G.I 3!!!??? Hatari sana nyie watu, mimi hiyo IGI nilipiga 1 tuu na nikaimaliza. Nikaipata 2 nikawa siielewi elewi, nikaachana nao. Ila I.G.I ni bonge la Game, siku ya kwanza kuanza kucheza wakati Jones akipigwa risasi nikawa nahisi kama mimi ndo napigwa tena nikawa nna kauoga flani hivi.
Igi 3 imetoka?
Nilicheza kitu kama demo hivi, ni nzuri sana ila binafsi hizi Games za vita na mission kwa sasa sijaona mpinzani wa Call Of Duty, muda si mrefu nataka nihamie Battlefield.mkuu
igi 2 ndio bonge la game kuzidi no 1
Ocean of GamesWadau hizi game za action naweza pakua wapi (kudownload) msaada plz