Best PC games

Sorry mkuu, namimi natamani kuanza kucheza game kwenye PC, nataka nicheze Fifa 15 ila PC yangu lenovo, Processor Intel (R) celeron (R) CPU 1005M @1.90Ghz na ina ram ya 4gb. Vp kwa specification hizo naweza cheza huo mzigo
pc yako haikidhi mahitaji ya fifa15 download fifa 14 ni jepesi zaidi.
 
kweli inaonekana mnafaidi sana, mpaka na mimi mmenitamanisha haya nasisi tukitaka kufaidi uhondo huo tunaupataje?
 
Nilikuwa nacheza battlefield 2 kufika mission ya sita ikagoma, mwenye kujua tafadhari anisaidie
 
kuna jembe menendez
 
Aisee hebu nipine link ya kudonwload hayo magame especialy coll of duty and the like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…