sun wu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 2,020
- 1,432
BAC
Njoo kwenye uzi huu 'Swali gumu'
Tumejaribu kudefine cheating, fornication, aldutery etc.
Cheating as regards to relationship is for someone to do anything which will make their partners upset (which meant to be done with only the two of them..., behind their partners back.., be it romance, kissing e.t.c)
Fornication is consensual sex between two partners not married (this is usually a moral or religious issue)...
Adultery voluntary sexual relations between an individual who is married and someone who is not and individual's spouses
I think you can't cheat God ( kwahio padri atakuwa anacommit adultery na sio kwamba anacheat)Tumeacha moral issues na kudeal na defination kwanza. Sasa kwa Padre ambaye nadhiri aliyoitoa ya useja kwa Mungu wake, then kwa defn ya cheating atakuwa anancheat Mungu tu.
Waumini wanapaswa kufuata mafundisho yake na sio matendo..., hivyo basi yeye atakuwa ametenda dhambi, ila hatakuwa haja-cheat kwa uhalisia wa neno... (sababu hayupo kwenye any relationship na muumini yoyote)Waumini walishuhudia tu. Na pia mbona (mimi included) tunaendelea kuomgozwa na hao viongozi na hata kama kanitongoza mwenyewe (haijawahi tokea). Coz they are human being kama yule aliyeoa na bado anacheat!
Unajua hapa tatizo linakuja tukianza kuongelea the words in normal everyday life..., in biblical views na moral standpoint