OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,525
God forbid!!!!
ni kama mwezi hv umepita rafiki yangu aliopoa mke wa mtu wakaenda gesti katikati ya gemu mumewe akapiga simu alichojibiwa "chakula nimekifunika kwenye kabati mimi nitachelewa kurudi nipo kwa shangazi nimekuja kumtembelea"
just imagine kuna mapenzi ya kweli hapo!!!
ukishakuwa mkubwa utajua tu....hapo ndo ninapoona mm kuwa SINGLE BOY sijakosea yaan kupendana mwisho siku moja!
After many years of looking at my family, my neighbours, my friends and every man I know I have reached a conculsion kwamba all men in the world cheats. They either have cheated b4, or they are cheating now, or they will cheat in the future. The bottom line is all men cheats. Huu ndio ushauri ambao akina mama all across the globe wanatakiwa wawape mabinti zao kwamba mabinti muwe wavumilivu lakini this is something you will have to deal with now or in the future no matter what.
Huko China,kama ilivyo Tanzania, kuna tabaka la wanawake ambalo ni tabaka la ma-mistress wa waume za watu na wanaendesha maisha yao vizuri tu. Huu ni ukweli ambao tunaweza kujidai kuukataa lakini we all know that ni kweli tena ni kweli tupu. Wanaume ni polygamists by nature na wanawake inabidi wavumilie tu suala hili.
Kwa Tanzaniahuu ni UTAMADUNI. Utamaduni ni way of life. It is more than behavior, it is more than habit. Wanaume wote Tanzania every godamn body is doing it mikoa yote Tanzania bara na mikoa yote Tanzania visiwani. Wale wasiofanya sasa waliwahi kufanya huko nyuma au watafanya huko mbeleni. Sisi wanaume we hold this to be true for life japo kuwa hatuwezi kukiri hata siku moja.
Hamna m2 anayependa kuumizwa so ni bora kuwa nao kama 15 ivi ili kupunguza vya mbavu ila kondom inahusu!