Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
Sasa unabisha kuwa msaidizi wa mwizi naye ni mwizi?
Cheating is not stealing!
Na kama ni stealing, huyo mume/mke wa mtu si mwizi, yeye ni ndiye aliyeibwa na maza/faza house ndiye aliyeibiwa!
Sasa unabisha kuwa msaidizi wa mwizi naye ni mwizi?
Cheating is not stealing!
Na kama ni stealing, huyo mume/mke wa mtu si mwizi, yeye ni ndiye aliyeibwa na maza/faza house ndiye aliyeibiwa!
Kaunga, kama mmoja mwenye mahusiano anatembea na mmoja asiye na mahusiano ana cheat, huyo ambaye yuko single anafanya nini?Cheating is not stealing!
Na kama ni stealing, huyo mume/mke wa mtu si mwizi, yeye ni ndiye aliyeibwa na maza/faza house ndiye aliyeibiwa!
Kaunga, kama mmoja mwenye mahusiano anatembea na mmoja asiye na mahusiano ana cheat, huyo ambaye yuko single anafanya nini?
Kwa hivyo matumizi ya maneno yanatagemea na mtendaji wa hiyo immoral act....'kwa mtazamo wako'!Kama nilivyomjibu MH, aliye single anaiba/tembea na mume/mke wa mtu.
@MH
Are we talking about morals now, au who cheats who doesn't?
Cheating hufanywa na mtu aliyekuwa commited.
Kuiba mume/mke (kwa maana iliyozoeleka) hufanywa na Other wo/man ambaye yupo single!
Nitafutieni mwanamke ambaye hacheat na nataka mnithibitishie kuwa kweli hacheat.
my wife of course!
Kwa hivyo matumizi ya maneno yanatagemea na mtendaji wa hiyo immoral act....'kwa mtazamo wako'!
Kila siku nawaambiaga watu hii makitu lakini wanabisha. Kuna kautafiti kengine nlikafanyaga nikagundua kuwa kama mwanaume hacheat basi mkewe anacheat. Nawasihi wanaume endeleeni kucheat responsiby ili wake zenu wasiwacheat. Atakayepinga au kuquote hii post lazima atakuwa cheater mzuri. Amina.
Ukishatumia neno Cheat, maana yake kuna promise/ahadi iliyowekwa imevunjwa!
Kesi ya kuuwa, aliyesaidia kuficha maiti ni akomplesi, there is a victim there! Sasa kwa cheating, kama hakuna mtu wa kucheat naye hakuna kesi (so single guy/lady hapo ndio victim) hakuna akomplesi hapo.
Mi naona mostly wote wana-cheat tu kwa namna moja au nyingine. Coz ku-cheat hakuishii kufanya sex and or love making physically. Hata kama ww uko na mkeo au mumeo mna make love / sex halafu unawaza (kuvusha) uko na beyonce (mfano) au sijui uko na mwanaume mwingine hy nayo ni cheating!
Very true because that act is born out that thought....Yeah...If its by the book,fantasizing is as bad as cheating since the intent is there the only thing missing is the when,where and how?
Usikose kuangalia kipindi cha CHEATERS kila jumatano saa nne na nusu usiku chanel E halafu utasema nani muongo ME au FE? Usisahau
Men by nature, which was the sole reason they marry more than one wives in the past decades, but due to the recent religious practices and for economic reasons, it had been widely discouraged that men marry more than one wife, yet, men do marry more than one wife, maybe not officially, but with different girlfriends and concubines, so my question now is, do you agree that all men cheat on their wives and girlfriends? If you are a guy and you disagree, please convince the house, and if you are a lady and you disagree, give your prove for trusting your lover, husband, fiance, boyfriend so much that he doesn't cheat?
@MHThe thread is based on breaking marriage vows! That is cheatng!
The one who broke them is a cheater, hata kama alicheat na goat!
Very true because that act is born out that thought....