Besides sex, these are other Reasons to Why Men cheat...

I agree...BTW why are people less offended when they are called thieves of other people's spouces than when they are branded cheaters in the whole infidelity scenario?Is it a personal quest to justify the u
njustifiable?Can it be another egoistic move?
As far as i know cheating is perceived as being a coward and may be people want to look a bit daring.
To me there is no word to make it 'a lessesr offence or rather a lesser immoral act'...be it cheating or stealing 'its just as the same...'
There is no choice of words to justify the act wheter done by a committed person or a single one so long as they both know each others statuses.
 
ukweli ni kwamba sio men wote wanacheat, lakini asilimia kubwa wanafanya hivyo kwa siri na waziwazi esp. ukiwacompare na girls, hata asilimia chache waliobaki asilimia kubwa wanatamani kutoka lakini aidha wanajizuia au kuna mambo yanawazuia au wanaona dah!!!
 
To me there is no word to make it 'a lessesr offence or rather a lesser immoral act'...be it cheating or stealing 'its just as the same...'
There is no choice of words to justify the act wheter done by a committed person or a single one so long as they both know each others statuses.

Lets call a square a square and a circle a circle..Good is good,bad is bad.
 
99.99999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999..........
 
Hili swali nalo ni ngumu kidogo. Kutocheat maana yake nini hasa?
Never cheated in his life? never cheated since he got married?
Au never cheated since he decided to become 100% faithful?
Mi najua wanaume kadhaa walikua cheaters, ila wameamua kunyooka
Na toka walipoamua hivo they have been quite faithful.
Of course hatuwezi jua ya moyoni na matendo yao ya siri,
Ila kwa vile nawajua, na kwa vile tunahishi nao, naona they are faithful.
 
We jidanganye tu. Unategemea wafanye hadharani uwaone? Njoo waulize dada zangu, mai waifu, work mates, majirani na mama yangu.... Wote watakuambia ODM ako clean tena wako tayari kuapa. Hawajui kama kuna kina Neema, Anna na Zainabu wako kwenye foleni ya kubanjuliwa wiki hii.

Nimependa msingi wa swali lako!
 
We jidanganye tu. Unategemea wafanye hadharani uwaone? Njoo waulize dada zangu, mai waifu, work mates, majirani na mama yangu.... Wote watakuambia ODM ako clean tena wako tayari kuapa. Hawajui kama kuna kina Neema, Anna na Zainabu wako kwenye foleni ya kubanjuliwa wiki hii.
Shakamoo babu. Siku nyingi hujaninukuu babu yangu.
Babu, mimi naamini kuna wanaume wanaaminika.
Kuamini maana yake kukubali bila reasoned argument.
Naweka imani mbele, na nakaa nikijua kua ndio hivo.
And so far, so good, kuna ambao najuta kuwaamini.
Innocents until proven guilty, and not otherwise.

Ila pia nimeuliza suala la window frame.
Kama mtu alicheat mara moja kwa mpenzi A na vikaisha
then anakua na mpenzi B faithfuly for 5 years,
utasema na huyu anahesabika kama faithful? kama cheater?
Ikiwa alie cheat once in his/her life ni cheater (hata kwa kosa la kukiss)
Basi cheaters ni wengi kuliko tulivo fikiria. but hata hapa faithful wamo pia.
 
I don't mind mpenzi akicheat ikiwa bado atanifanya nihisi na kuamini kuwa I'm the only one siyo kudhalilishana. Hamna mtu aliyeshushwa toka mbinguni kwa ajili yangu TU, so sitaki presha presha!!...

Live, Love and Laugh!!
 
Shakamoo babu. Siku nyingi hujaninukuu babu yangu.
Babu, mimi naamini kuna wanaume wanaaminika.
Kuamini maana yake kukubali bila reasoned argument.
Naweka imani mbele, na nakaa nikijua kua ndio hivo.
And so far, so good, kuna ambao najuta kuwaamini.
Innocents until proven guilty, and not otherwise.

Ila pia nimeuliza suala la window frame.
Kama mtu alicheat mara moja kwa mpenzi A na vikaisha
then anakua na mpenzi B faithfuly for 5 years,
utasema na huyu anahesabika kama faithful? kama cheater?
Ikiwa alie cheat once in his/her life ni cheater (hata kwa kosa la kukiss)
Basi cheaters ni wengi kuliko tulivo fikiria. but hata hapa faithful wamo pia.

Shkamo yako tamu kweli. Nimeitika.... Mib namzungumzia mwanaume ambaye yuko kwenye mahusiano lakini bado akawa anamega wengine... Haikwepeki hii mwali wangu, ni almost wote. Sema wanaume wengi wako very smart kiasi kwamba huwezi kuwatofautisha na Yesu. Kuwajua hao ni lazima upate msaada wa Mungu.
 
I agreed, but........
What make u think all men cheat and not women?..........
Simply becoz wewe ni kidume na una cheat so unajiridhisha kuwa she wako hacheat kwakuwa wao wanaweza kuishi bila kucheat..............youre wrong.......totally wrong

Im so sorry to tell you that even your she is cheating, na hii ni kwasababu both part are cheating.

Unavyo jina kijogoo kwa kucheat na she wako hajui wala kukushtukia, ujue she is doing the same way na hutakaa ujue labda litokee kosa la kifundi

Lakini kwanini basi wanaume wanaonekana wanacheat zaidi kuliko wanawake?
Jibu rahisi ni kuwa wanawake wapo vizuri zaidi kwenye kutunza siri na kufanya cheating kwa uangalifu mkubwa sana kuliko wanaume.

wanaume mara nyingi ni care less tofauti na wanawake ambao kama mambo yakijulikana mbele ya jamii mwanamke huwa ni muhanga mkuu kuliko mwanaume, kwa kulijua hilo hufanya cheating kwa usiri wa kiwango cha juu kabisa wakijua hatari yake.
 
Shkamo yako tamu kweli. Nimeitika.... Mib namzungumzia mwanaume ambaye yuko kwenye mahusiano lakini bado akawa anamega wengine... Haikwepeki hii mwali wangu, ni almost wote. Sema wanaume wengi wako very smart kiasi kwamba huwezi kuwatofautisha na Yesu. Kuwajua hao ni lazima upate msaada wa Mungu.
Unakubali lakini kua wapo, hata 5%, hata 2% ambao hawacheat?
Swali la boflo liko wazi: do ALL men cheat? YES or NO.
Kama ni ALMOST wote, basi wewe tick NO. hata 99,999% ni no.
 
Your topic is too biased.
Jiulize haya kwanza: Cheating inatokeaje? Who initiate cheating?, why cheating? how comes cheating? who's to blame?
 
...They cheat too

Wanamcheat nani? Kwa maana niliyoipata leo cheating ni usaliti. So kwa vile waliweja nadhiri zao kwa Jesus, then wanamcheat Jesus!

(Sijaiangalia hiyo clip)
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Kaunga wanatembea na watoto/wake wa baadhi ya wafuasi wao ndani ya makanisa huku wakijua fika huyu ni mtoto wa fulani au mke wa fulani na kutokana na nyadhifa zao kama Viongozi wa dini hawastahili kuyafanya wanayofanya, wanawacheat wafuasi wao na hata Jesus pia. Wafuasi wao wangeyajua wanayofanya nyuma ya pazia basi kamwe wasingeruhusu/kukubali kuongozwa nao kama Viongozi wa dini.
 
BAC
Njoo kwenye uzi huu 'Swali gumu'
Tumejaribu kudefine cheating, fornication, aldutery etc.

Tumeacha moral issues na kudeal na defination kwanza. Sasa kwa Padre ambaye nadhiri aliyoitoa ya useja kwa Mungu wake, then kwa defn ya cheating atakuwa anancheat Mungu tu.

Waumini walishuhudia tu. Na pia mbona (mimi included) tunaendelea kuomgozwa na hao viongozi na hata kama kanitongoza mwenyewe (haijawahi tokea). Coz they are human being kama yule aliyeoa na bado anacheat!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Mkuu Kaunga kwa mtazamo wangu pale Kiongozi wa dini awe ni Muislamu au Mkristo akiamua kumtongoza mmoja wa wafuasi wake ambaye anamfahamu kwamba huyu ni mke wa fulani basi huko ni kucheat moja kwa moja kwa sababu anataka kujiingiza kwenye mahusiano ambayo mwenye mkewe pindi atakapofahamu kwamba Kiongozi huyo anamtaka mkewe kimapenzi basi kunaweza kuwepo kwa patashika kubwa la nguo kuchanika. Ni kweli anamcheat Mungu kutokana na wadhifa wake lakini pia anawacheat wafuasi wake akiwemo yule mwenye mkewe.

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom