Bernard Membe: Kuna umuhimu wa kufanya vetting kwa viongozi wetu kuhusu uraia na afya zao

Wabantu wengi ni wakuja tuu wa ardhi hii ambayo Nyerere aliibatiza jina la Tanzania mwaka 1964. Asili yao ni Afrika magharibi, kati, na kusini. Mababu zao waliletwa kwa nguvu kama watumwa au walikuja wenyewe kutafuta rizki. Sasa Mtanzania halisi ni nani wakati wengi ni wahamiaji?
 
Mkuu britanicca , ni wewe ndio ulikaa na kachero mbobezi ukamweleza kumhusu yule jamaa yetu?.

Kuna watu wana dhambi!, hawaheshimu hata watu ..., huu sio utu!, huwezi kumsema mtu ambaye hawezi kujitetea!. Huyu Kachero mbobevu ni muflis kabisa!.

Hili niliwahi kushauri, nikalaumiwa sana,

Huyu kachero mbobevu aitwe kuhojiwa, anamaanisha ni naniliu ndio alimpotezea Ben Saanane na Azory Gwanda!. Hii ni dhambi kubwa kumsingizia....

P
Wala ile kwakuwa sote Tanzania ni wa Kuja sikumwambia kabisa! Nashangaa amezipata wapi hizo habari
 
Asante Mh Membe Mungu ni muweza sana hafanyi jambo lolote bila kusudio alijua hii nchi kina POLEPOLE BASHIRU KABUDI WANGETUPELEKA UKINGONI KABISAA WATU WA HOVYO KUWAHI KUTOKEA KATKA TAIFA LETU KAMA WANAFAMILIA WANAJISIKIA AIBU KUBWA SANA
 
Ngoja niweke kambi hapa
Pic%20Layer_2021119225352610.jpg
 
Wala ile kwakuwa sote Tanzania ni wa Kuja sikumwambia kabisa! Nashangaa amezipata wapi hizo habari
Basi inamaanisha kule ofisini kwenu walikuwa wanajua, hivyo vijana wa ofisi waliopo upinzani ndio wakamwambia.

Sisi binadamu tusikose utu, kwa vile sote ni viumbe wa Mungu, Mungu akishaamua fulani apumzike, then ni anapumzika na sote lazima tuheshimu uamuzi huo na kumwacha apumzike.

Linachofanya hili Joka la Mdimu is not right at all!.
Tena lisifanye masikhara kabisa na kazi ya Mungu, huwezi jua nalo linaweza kuitwa wakati wowote!.
P
 
Na vetting ndio ilitusaidia yeye mropokaji na mwenye visasi kupigwa chini. Pia asisahau hata yeye hatuna uhakika wa uraia wake.
Huyu mzee anajiona mwenye haki sana yani hapo ndipo anaponichosha! He couldn’t handle rejections like a man.
 
Mtu mwenyewe hana hata ushawishi lakini Mungu wa Mbinguni tunayemtegemea yupo. Acha wamseme Marehemu jinsi wawezavyo muda utaongea.
 
nafikiri pia vetting kama ingefanyika vizuri Membe asingeweza kuwa Waziri wala mgombea Urais... uwezo wake bado mdogo sana na ukitaka kumjua mpe nafasi ya kuongea...Hivyo bwana Membe ashukuru sana hiyo vetting kutofanyika vizuri maana tusingemjua pia..
 
Anatuambia watu wa kanda ya ziwa sio watz..anasahau kama ipo siku inaweza ikamuangukia ngejewa akaenda kuomba kura. Kwa maendeleo aliyoyafanya kanda ya ziwa Magu huwezi mtoa kwenye mioyo yao. Watu wapo kimya tu wanawaangalia.
Maendeleo au upendeleo aliowafanyia kanda ya ziwa huku kanda nyingine zikibaki yatima.

Kwa hali hiyo lazima awe mioyoni mwao.
 
Anamaanisha afya ya akili, maana wengine goli la dakika ya 89 hatukuwahi kulishuhudia..........au ndo ile bilioni 6 anayodaiwa musiba!
 
Maendeleo au upendeleo aliowafanyia kanda ya ziwa huku kanda nyingine zikibaki yatima.

Kwa hali hiyo lazima awe mioyoni mwao.
Labda kanda yako wewe tu. Maana ukienda kusini, mashariki, magharibi kote kapiga.
 
nikweli mijitu wanajua kabisa inaishi kwa njugu kurefusha life, bado wanayapa madaraka ya nchi as if hakuna watu wengine, shame
 
Labda kanda yako wewe tu. Maana ukienda kusini, mashariki, magharibi kote kapiga.
Kapiga nini?

Kanda yangu hakujenga uwanja wa ndege wa kimataifa.

Hakujenga bohari kuu ya madawa.

Hakuanzisha mbuga ya wanyama kinguvu kwa kuzoa wanyama kutoka mbuga nyingine ingawa mapori ya akiba yapo.

Kanda yangu tuna shida ya daraja lisilozidi kilomita moja hakujenga kaenda kujenga kigongo busisi tena bila ya aibu alisema lijengwe harakaharaka liishe pindi yeye akiwa madarakani ili rais ajaye asisitishe ujenzi wake.

Kanda yangu haina chuo cha ufundi kama chato.

List ni ndefu sana ya upendeleo...
 
Ni vizuri kuchunguza Afya za Akili za Viongozi wetu. Ukimsikiliza Membe anaongea na kumtizama Usoni unagundua kisaikolojia hayupo sawa.

Mimi toka zamani nilikuwa nashangaa huyu jamaa ubobezi anaosemwa anao kwenye Ukachero ni Upi? Mbona ni kama Dish limeyumba sometimes?

Mwangalie anapoongea au sikiliza maneno yake. Hana content kabisa kichwani. Anatia kichefu chefu kumsikiliza. Ukimsikia unagundua afya yake ya akili si salama.

Nilikuwa nashangaa sana Uwaziri alipewa kwa sifa zipi? Hata Ubunge alipata kwa sifa zipi? Mbona hana uwezo mzuri wa kujieleza? Hana content ya maana?
 
Back
Top Bottom