Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,489
- 92,901
Corona is really. Acha kujijaza ujinga.Kwa makala hii iliyobandikwa kupitia mwandishi wa habari wa Jamhuri hapana shaka mhusika wa kifo cha JPM amejulikana bayana na kumbukumbu imewekwa wazi kwa wasiojua kuvunja kifungo cha siri (confidential details code patterns breaking and decoding).
1. Membe anachuki binafsi dhidi ya hayati JPM, Dr Bashiru Ally na Humphrey Polepole
2. Alicheka alipoombwa kurejea CCM baadae Mungu akaingilia kati
3. Aliwachukia hayati JPM na Maalim Seif Sharif Hamad ndio maana alikataa kwenda kuwazika na bado hajutii umamuzi huo!!!!
4. CCM ni uchawi
5. Kuna viongozi ngazi za juu srikalini na CCM sio raia wa Tanzania na ukweli aliujua akiwa upinzani halafu anajiita kachero mbobezi!!!
6. Anadai serikali ya awamu ya nne pekee ndio pekee ilikuwa inafanya 'vetting' makini kubaini viongozi wanaofaa wakati akijua awamu hiyo hiyo kulikuwa na mamluki wapo ikulu!!!
7. Aliungwa mkono na watu wa Lindi na Mtwara halafu anjipa matumaini angeweza kuongoza nchi ya Tanzania kwa kura za watu wasiomtaka
8. Kwa kuwa kuna mtu tayari amejitokeza hadharani kupitia chombo cha habari kudai aliwachukia hayati JPM na Maalimu Seif basi viongozi hao hawakufa kwa ugonjwa wa utashi wa mwenyezi Mungu mhusika amejifunua yeye mwenyewe bila shinikizo kutoka kwa mtu yeyote
Pole sana Tanzania mtaendela kutoa machozi na hamtaweza kuwa na viongozi waliojitoa wakadumu kamwe kwa kuwa hata ninyi hamjali kuhoji na kuchukua hatua dhidi ya viongozi wenye uchu wa madaraka kutumia njia ovu kuwaumiza.