Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,582
Sio kwamba JK amechoka kuzurura sasa?Nasema tena rais wa inchi hii ni ndugu pinda na saiv jk amempa nguvu kuzunguka dunian kujinad

Siwezi Kumvunjia Heshima Humu Bosi ILA Wewe Jua Tu Hivyo Mkuu. Anafaa Kuwa Vice President AU Premier Tu ILA Siyo Urais Wa Nchi!
Muhongo akikosa kuteuliwa kugombea Urais, basi ujue ndio Waziri wako Mkuu mpya 100%
Peleka mahari kwa wazazi wake
Kama Unadhani Natania Subiri Muda Ukifika Mkuu Na YASIPOTOKEA HAYO NILIYOYASEMA HAPO NAOMBA WATANZANIA WOTE MNIPIGE MAWE HADI NIFE! Access Yangu Ya KUPATA TAARIFA ZOTE NYETI Ni KUBWA MNO Na SANA NA NAPENDA NIKUAMBIE TU KUWA AMINI HICHO NILICHOKIANDIKA HAPO KWANI KIMETOKA JIKONI Na KULE KUNAKO Na KIPO 100% SURE Na HAPO MSHINDI Atakuwa Ni Professor Sospeter Muhongo Na Ndiyo Atakuwa Rais Wako MPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Mtake Msitake.
Naomba Nifananishe Na Paul Kagame AU Yoweri Museveni AU Vladmir Putin AU Benjamini Netanyahu AU Joseph Kabila AU Ukishindwa Sana Nifananishwe Na Yule Mchinjaji Maarufu Duniani Wa IS Mohamed Emwanzi ( Jihad John ) Na Usinifananishe GENTAMYCINE Na TAKATAKA Zingine Zaidi Ya Hao Niliowataja Hapo Juu Tafadhali.
Kama Unadhani Natania Subiri Muda Ukifika Mkuu Na YASIPOTOKEA HAYO NILIYOYASEMA HAPO NAOMBA WATANZANIA WOTE MNIPIGE MAWE HADI NIFE! Access Yangu Ya KUPATA TAARIFA ZOTE NYETI Ni KUBWA MNO Na SANA NA NAPENDA NIKUAMBIE TU KUWA AMINI HICHO NILICHOKIANDIKA HAPO KWANI KIMETOKA JIKONI Na KULE KUNAKO Na KIPO 100% SURE Na HAPO MSHINDI Atakuwa Ni Professor Sospeter Muhongo Na Ndiyo Atakuwa Rais Wako MPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Mtake Msitake.
inawezekana tukawa na source moja, isipokuwa hapo kwa Kinana, Asili yake ya Kisomali ndio inamuangusha kuwa Kiongozi wa nchi hii
Muhongo akikosa kuteuliwa kugombea kwa CCM, ataenda kugombea Ubunge kwao na ndio atakuwa Waziri Mkuu
Muhongo Hawi Waziri Mkuu BALI Nakuhakikishia Kuwa Professor Sospeter Muhongo Ndiyo Rais MPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Hiyo Mtake Msitake Mchukie Na Mpende Na NIMESHAWEKA HAPO NADHIRI YANGU KWENU KUWA KAMA YASIPOTOKEA HAYO YOTE NILIYOYAELEZEA HAPO NITAJITOKEZA HADHARANI WATANZANIA WOTE MNIPIGE MAWE HADI NIFE!
Hao Wote MNAOWATAJA Hawawezi Kuwa Marais ILA Kwa Kuwasaidieni Tu Ni Kwamba Membe Na Lowassa HAWATOPITA Na Nakutajieni Hapa Watu Wanne AMBAO NDIYO WATATEULIWA KTK MCHUANO BORA WA MWISHO. Na Ninachokiandika HAPA Nina UHAKIKA Nacho 100% Kwani NIMEPENYEZEWA Na WAPISHI WENYEWE MNAOWAJUA.
1. Professor Sospeter Muhongo........Ana Msaada Wa JK Mwenyewe, Rais Mstaafu Mkapa, Jaji Mstaafu Warioba Idara
Zote Nyeti Uzijuazo Za Nchi Hii. (Makamu Wake Atakuwa Magufuli au Jaji Ramadhan)
2. Mzee Samuel Sitta............Ana Msaada Pia Kidogo Wa JK Kutokana Na Kazi Nzuri Aliyomfanyiaka Ktk Bunge La Katiba
Na Anakubalika Mno Na Idara Moja Kubwa Nyeti Hapa Nchini Na Nchi Marafiki.
(Makamu Wake Atakuwa Bernard Membe)
3. Mzee Abdurahman Kinana........Naye Pia Anakubalika Kwa Kiasi Chake Na JK Na Kwa Taarifa Yenu Tu Ni Kwamba Hata
Hizi Ziara Anazozifanya Huko Mikoani Anasingizia Tu Kuwa Anajenga Nchi ILA Ukweli Ni
Kwamba Anafagia Njia Ili Baadae Aje Kupita Kuokota Madini ( Kura ) Zenu.
(Makamu Wake Atakuwa Ni Mama Asha Rose Migiro)
4. Dakta John Nchimbi...........Huyu Ana Kubalika Na Kupendwa Na JK Na Hata Idara Karibia Zote NYETI Zinamkubali Na
Yupo Mafichoni Anapikwa.( Makamu Wake Ni Edward Lowassa)
NIMEMALIZA Na Narudia Tena Kusema Nilichokandika Hapo Ni 100% Sure.

Pinda, Lowassa Na Membe Wakiwa Marais Wa Tanzania 2015 - 2020 NAKUNYA Dar Mpaka KIGALI.
ndugu bernard kamilius membe (waziri wa mambo ya nje ) hapa ni muda mchache kabla ya kujiunga na USALAMA WA TAIFA (TISS) kama mchambuzi wa maswala ya usalama wa taifa ( natinal security analyst) akiwa na miaka 25.
Kama Mimi Mgonjwa Waliokuzaa Wewe Nadhani Sasa Watakuwa Wagonjwa Zaidi Na Wapo ICU Kwa Kuugua Ugonjwa Wa Kukuzaa POPOMA Wewe!
Rais lowassa...makamu nchimbi au nahodha..waziri mkuu magufuli.Nilichoandika na uhakika nacho hifadhini hii mtaniambia!!!