Bernard Membe enzi za ujana wake

Bernard Membe enzi za ujana wake

Status
Not open for further replies.
GENTAMYCINE vipi, ubashiri wako uliosema una uhakika wa 100% mbona umekwenda kinyume? Kuna 7bu ya kukuamin tena? Mana hata kubashiri mpira wa Yanga vs Chelsea unaweza kushndwa ahahaha
 
Nmebaki nacheka tu kuna watu ni wakorofi aisee ila kuna msemo unasema ukiwa mwongo uwe una kumbukumbu wakubwa wataelewa
 
Kama Unadhani Natania Subiri Muda Ukifika Mkuu Na YASIPOTOKEA HAYO NILIYOYASEMA HAPO NAOMBA WATANZANIA WOTE MNIPIGE MAWE HADI NIFE! Access Yangu Ya KUPATA TAARIFA ZOTE NYETI Ni KUBWA MNO Na SANA NA NAPENDA NIKUAMBIE TU KUWA AMINI HICHO NILICHOKIANDIKA HAPO KWANI KIMETOKA JIKONI Na KULE KUNAKO Na KIPO 100% SURE Na HAPO MSHINDI Atakuwa Ni Professor Sospeter Muhongo Na Ndiyo Atakuwa Rais Wako MPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Mtake Msitake.
Eti ulikuwa unasemaje!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
baba swalehe prof muhongo ni Rais wa GENTAMYCINE watanzania hatuwezi chagua rahisi muhongo anayesadifu jina lake.. Unajua mara 10 angetabiri kuwa makamba kuwa Rais kuliko muhongo aliyetolewa nduki pale kwenye makinikia
 
Mimi Kitengo ninachokijua ni kile tu ambacho Wewe huwa unaenda Kubokolewa / Kupumuliwa Kisogoni.
Mkuu tatizo ulijitutumua ujue, ukaandika kabisa list ya marais na makamu wake, hivi ile list uliitoa kwa Kikwete nini? Hahaha, we jamaa ni muongo kupindukia hahaha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom