Hao Wote MNAOWATAJA Hawawezi Kuwa Marais ILA Kwa Kuwasaidieni Tu Ni Kwamba Membe Na Lowassa HAWATOPITA Na Nakutajieni Hapa Watu Wanne AMBAO NDIYO WATATEULIWA KTK MCHUANO BORA WA MWISHO. Na Ninachokiandika HAPA Nina UHAKIKA Nacho 100% Kwani NIMEPENYEZEWA Na WAPISHI WENYEWE MNAOWAJUA.
1. Professor Sospeter Muhongo........Ana Msaada Wa JK Mwenyewe, Rais Mstaafu Mkapa, Jaji Mstaafu Warioba Idara
Zote Nyeti Uzijuazo Za Nchi Hii. (Makamu Wake Atakuwa Magufuli au Jaji Ramadhan)
2. Mzee Samuel Sitta............Ana Msaada Pia Kidogo Wa JK Kutokana Na Kazi Nzuri Aliyomfanyiaka Ktk Bunge La Katiba
Na Anakubalika Mno Na Idara Moja Kubwa Nyeti Hapa Nchini Na Nchi Marafiki.
(Makamu Wake Atakuwa Bernard Membe)
3. Mzee Abdurahman Kinana........Naye Pia Anakubalika Kwa Kiasi Chake Na JK Na Kwa Taarifa Yenu Tu Ni Kwamba Hata
Hizi Ziara Anazozifanya Huko Mikoani Anasingizia Tu Kuwa Anajenga Nchi ILA Ukweli Ni
Kwamba Anafagia Njia Ili Baadae Aje Kupita Kuokota Madini ( Kura ) Zenu.
(Makamu Wake Atakuwa Ni Mama Asha Rose Migiro)
4. Dakta John Nchimbi...........Huyu Ana Kubalika Na Kupendwa Na JK Na Hata Idara Karibia Zote NYETI Zinamkubali Na
Yupo Mafichoni Anapikwa.( Makamu Wake Ni Edward Lowassa)
NIMEMALIZA Na Narudia Tena Kusema Nilichokandika Hapo Ni 100% Sure.