Bernard Membe enzi za ujana wake

Bernard Membe enzi za ujana wake

Status
Not open for further replies.
Hao Wote MNAOWATAJA Hawawezi Kuwa Marais ILA Kwa Kuwasaidieni Tu Ni Kwamba Membe Na Lowassa HAWATOPITA Na Nakutajieni Hapa Watu Wanne AMBAO NDIYO WATATEULIWA KTK MCHUANO BORA WA MWISHO. Na Ninachokiandika HAPA Nina UHAKIKA Nacho 100% Kwani NIMEPENYEZEWA Na WAPISHI WENYEWE MNAOWAJUA.

1. Professor Sospeter Muhongo........Ana Msaada Wa JK Mwenyewe, Rais Mstaafu Mkapa, Jaji Mstaafu Warioba Idara
Zote Nyeti Uzijuazo Za Nchi Hii. (Makamu Wake Atakuwa Magufuli au Jaji Ramadhan)

2. Mzee Samuel Sitta............Ana Msaada Pia Kidogo Wa JK Kutokana Na Kazi Nzuri Aliyomfanyiaka Ktk Bunge La Katiba
Na Anakubalika Mno Na Idara Moja Kubwa Nyeti Hapa Nchini Na Nchi Marafiki.
(Makamu Wake Atakuwa Bernard Membe)

3. Mzee Abdurahman Kinana........Naye Pia Anakubalika Kwa Kiasi Chake Na JK Na Kwa Taarifa Yenu Tu Ni Kwamba Hata
Hizi Ziara Anazozifanya Huko Mikoani Anasingizia Tu Kuwa Anajenga Nchi ILA Ukweli Ni
Kwamba Anafagia Njia Ili Baadae Aje Kupita Kuokota Madini ( Kura ) Zenu.
(Makamu Wake Atakuwa Ni Mama Asha Rose Migiro)

4. Dakta John Nchimbi...........Huyu Ana Kubalika Na Kupendwa Na JK Na Hata Idara Karibia Zote NYETI Zinamkubali Na
Yupo Mafichoni Anapikwa.( Makamu Wake Ni Edward Lowassa)

NIMEMALIZA Na Narudia Tena Kusema Nilichokandika Hapo Ni 100% Sure.
Wote uliowataja ni chaguo la jk sidhani kama watafanikiwa,nasikia 2005 mkapa pia alikuwa na machaguo yake lakini hakuna aliefanikiwa
 
Kama Unadhani Natania Subiri Muda Ukifika Mkuu Na YASIPOTOKEA HAYO NILIYOYASEMA HAPO NAOMBA WATANZANIA WOTE MNIPIGE MAWE HADI NIFE! Access Yangu Ya KUPATA TAARIFA ZOTE NYETI Ni KUBWA MNO Na SANA NA NAPENDA NIKUAMBIE TU KUWA AMINI HICHO NILICHOKIANDIKA HAPO KWANI KIMETOKA JIKONI Na KULE KUNAKO Na KIPO 100% SURE Na HAPO MSHINDI Atakuwa Ni Professor Sospeter Muhongo Na Ndiyo Atakuwa Rais Wako MPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Mtake Msitake.

Mahaba yako kwa Muhongo yamekuondoa akili.Rais na makamu huwa hawatoki upande mmoja wa muungano.Labda kama unazungumzia rais wa Tanganyika.
 
Wote uliowataja ni chaguo la jk sidhani kama watafanikiwa,nasikia 2005 mkapa pia alikuwa na machaguo yake lakini hakuna aliefanikiwa

Mnachohangaika Ni Nini Nyie? Nimepokea Posts Zenu Nyingi Sana Kuhusiana Tu Na Suala La Mimi Kuandika Hicho Nilichokiweka Hapo Cha Kumuhusu Membe Na Viongozi Wenu Mnaowataka Na Bahati Nzuri Nimeshaweka Nadhiri Kwenu Kuwa Kama Hiyo Listi Niliyoiweka Hapo Haitokuwa Hivyo Na Muhongo Hatopitishwa Basi MNIPIGE MAWE HADI NIFIE MBALI MKANIZIKE KWETU Kigali Nchini Rwanda. Subirini Muda Ufike Ndipo MNIHUKUMU Na Ndipo MTAJUA Ya Kuwa GENTAMYCINE Huwa SIBAHATISHI Na Najiamini Utadhani Mimi Ni Makamu Mwenyezi Mungu.
 
Mahaba yako kwa Muhongo yamekuondoa akili.Rais na makamu huwa hawatoki upande mmoja wa muungano.Labda kama unazungumzia rais wa Tanganyika.

Acheni Kukariri. Muhimu Ni Rais Bora tu Na Siyo Utaratibu Mnaoutaka Nyie Na Ndiyo Maana Hata Wakati Wa Kujamba Ipo Milio Mingi Ya Mijambo Lakini HARUFU Chafu Na Kali Ni Ile Ile Haibadiliki..........Itafakari Hii Vizuri!
 
Mnachohangaika Ni Nini Nyie? Nimepokea Posts Zenu Nyingi Sana Kuhusiana Tu Na Suala La Mimi Kuandika Hicho Nilichokiweka Hapo Cha Kumuhusu Membe Na Viongozi Wenu Mnaowataka Na Bahati Nzuri Nimeshaweka Nadhiri Kwenu Kuwa Kama Hiyo Listi Niliyoiweka Hapo Haitokuwa Hivyo Na Muhongo Hatopitishwa Basi MNIPIGE MAWE HADI NIFIE MBALI MKANIZIKE KWETU Kigali Nchini Rwanda. Subirini Muda Ufike Ndipo MNIHUKUMU Na Ndipo MTAJUA Ya Kuwa GENTAMYCINE Huwa SIBAHATISHI Na Najiamini Utadhani Mimi Ni Makamu Mwenyezi Mungu.
Watanzania watakuua vipi wakati unatumia jina fake?
 
Kama Unadhani Natania Subiri Muda Ukifika Mkuu Na YASIPOTOKEA HAYO NILIYOYASEMA HAPO NAOMBA WATANZANIA WOTE MNIPIGE MAWE HADI NIFE! Access Yangu Ya KUPATA TAARIFA ZOTE NYETI Ni KUBWA MNO Na SANA NA NAPENDA NIKUAMBIE TU KUWA AMINI HICHO NILICHOKIANDIKA HAPO KWANI KIMETOKA JIKONI Na KULE KUNAKO Na KIPO 100% SURE Na HAPO MSHINDI Atakuwa Ni Professor Sospeter Muhongo Na Ndiyo Atakuwa Rais Wako MPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Mtake Msitake.

Kwani MUHONGO alishaenda kuomba msamaha kwa MENGI mpaka atake nafasi nyeti hivo?? Atapigwa fitna hatakatiza kokote hata huko jimboni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom