Bernard Membe enzi za ujana wake

Bernard Membe enzi za ujana wake

Status
Not open for further replies.
unatofauti na yeriko nyerere

Naomba Nifananishe Na Paul Kagame AU Yoweri Museveni AU Vladmir Putin AU Benjamini Netanyahu AU Joseph Kabila AU Ukishindwa Sana Nifananishwe Na Yule Mchinjaji Maarufu Duniani Wa IS Mohamed Emwanzi ( Jihad John ) Na Usinifananishe GENTAMYCINE Na TAKATAKA Zingine Zaidi Ya Hao Niliowataja Hapo Juu Tafadhali.
 
Kingunge Ngombale Mwiru, atatawala kwa kipindi cha kwanza cha awamu ya tano, atakaye malizia kipindi cha pili bado sijamjua. atakuwa ni nani.
 
Huwa Sibishani Na Sijibizani Na MBWA WEWE Bali Nabishana Na Kujibizana Na Wenye MBWA Mabosi Wako Unaowatii Nchi Hii Na Najiamini.

Wewe unatafuta attention, Nchi haiendeshwi Kiduanzi namna hiyo, uzuri hii post yako itaendelea kuwepo, na nitakuita hapa mwezi wa tano
 
Sawa mkuu lakn c nmekuambia katiba zote mbili hii tusiyoitaka na ile ya zamani zote zinasema makamu atokee upande mwingne labda urekebishe useme Waziri mkuu

Kwani Kuna Sheria Gani Inasema Kuwa Ukienda Haja Kubwa Ni Lazima Uchambe Na Maji? Unaweza Ukachamba Na Toilet Paper AU Hata Nyasi...........Namaanisha Katiba Siyo MSAHAFU Wa Dini / Kiimani!
 
Wewe unatafuta attention, Nchi haiendeshwi Kiduanzi namna hiyo, uzuri hii post yako itaendelea kuwepo, na nitakuita hapa mwezi wa tano

Sina Haja Ya Kutafuta Attention Kwani Tokea Nyuma ID Yangu Yenyewe Tu Ni Brand Tosha Humu Na Nafuatiliwa Na Dunia Nzima AU Hujui?
 
Kwani Ni Mara Ngapi Nimekuwa Nikisema Mambo Humu Tena NYETI Halafu Mnayakataa Na Baadae Yanakuja Kutokea? Sijawahi Kusema Jambo Humu Kwa Kubahatisha Na Narudia Tena NILICHOKIANDIKA HAPO NDIYO HICHO HICHO Mkuu Amini Maneno Yangu!

acha sifa za kijinga mkuu..... Hizo stor za kulula vijiwen wakat mnakunywa gongo unatuletea hapa??.........
 
Kuna aina nying sana za uchizi. Chizi c lazima kuokota uchafu tu
 
Kwani Kuna Sheria Gani Inasema Kuwa Ukienda Haja Kubwa Ni Lazima Uchambe Na Maji? Unaweza Ukachamba Na Toilet Paper AU Hata Nyasi...........Namaanisha Katiba Siyo MSAHAFU Wa Dini / Kiimani!

Mkuu lakn yote ya yote sheria inasema lazma kufuta mavvi sasa umefuta kwa kitambaa au kwa jiwe lazma nnya itoke. Ndo maana nkasema hakuna pa kuwaingiza wawili bila muungano kuvunjika kitu ambacho JK hataki kitokee hata wewe umesema kamweka sitta kwa kumtunzia katiba ya serikali tatu mbona huelewi
 
We jamaa ni muongo na mzandiki wa haja! Nani kakwambia JK aliwahi kuwa huku TISS na akawa ana report kwa Membe? JK hajawahi kuwa TISS na Membe hajawahi kuwa bosi wa JK! Acha uongo na upotoshaji kutafuta sifa za kijinga.

GENTAMYCINE Ni Brand INAYOVUTIA Na KUCHUKIWA Na MAPOPOMA Wengi ( Wewe INCLUSIVE ) Ila MTAISOMA Namba Mwaka Huu Rais Ni Professor Sospeter Muhongo Kataeni Kubalini Na MTAKUJA KUNIPA PONGEZI ZENU HUMU HUMU Jamvini. Tena Shukuru Kuwa Na Mtu Kama GENTAMYCINE Humu Kwani Nawafunueni Kwa Mengi Msiyoyajua Na Nyie Mkienda Huko Mitaani Kwenu Mnaanza Kuchukua Marks Kwa Mnaowahadithia. Chezea GENTAMYCINE Wewe!!!!!!
Hiyo katiba umetunga wewe na ndugu zako sebuleni kwenu? Toka lini Rais akitoka bara na makamu wake naye anatoka bara? Rudi shule kasome civics form 2! Wewe ni kilaza, eti Nchimbi makamu wake Lowassa!? Nenda Facebook kawasanganye watoto vilaza wenzio hili ni jukwaa la great thinkers na wewe siyo mmojawapo!

GENTAMYCINE Ni Brand INAYOVUTIA Na KUCHUKIWA Na MAPOPOMA Wengi ( Wewe INCLUSIVE ) Ila MTAISOMA Namba Mwaka Huu Rais Ni Professor Sospeter Muhongo Kataeni Kubalini Na MTAKUJA KUNIPA PONGEZI ZENU HUMU HUMU Jamvini. Tena Shukuru Kuwa Na Mtu Kama GENTAMYCINE Humu Kwani Nawafunueni Kwa Mengi Msiyoyajua Na Nyie Mkienda Huko Mitaani Kwenu Mnaanza Kuchukua Marks Kwa Mnaowahadithia. Chezea GENTAMYCINE Wewe!!!!!!
 
Najua Kinachowauma Ni Kwamba Kwanini NYIE Mliopo Humo JIKONI Kwenu Hampewi Na Hamna Habari Hizi NYETI Na KUBWA Lakini GENTAMYCINE Mtu Wa Kawaida Sana Naheshimika Hadi Napewa Taarifa. Na Mtaninunia Na Kunichukia Sana Mwaka Huu Kudadadeki!

nan akununie wakat tulishakujua ww n punguan? Tangu lini kikwete alikuwa TISs? Ndio maana unaonekana kama jerry. .....
 
acha sifa za kijinga mkuu..... Hizo stor za kulula vijiwen wakat mnakunywa gongo unatuletea hapa??.........

Nafurahi Leo Wana UWT Mnajitokeza Sana Kunijibu Na Kunipinga ILA Habari Ndiyo Hiyo MTAKE MSITAKE Rais Ni Sospeter Muhongo Subirini.
 
Membe naye ana ndoto za kugombea urahisi umekuwa rahisi sana kiasi kwamba kila mtu anatamani kugombea .
 
nan akununie wakat tulishakujua ww n punguan? Tangu lini kikwete alikuwa TISs? Ndio maana unaonekana kama jerry. .....

Halafu Leo Na Wewe Unajiita Mwana UWT Wakati Hata Hujui Tu Kuwa Rais Wako Alikuwa Ni Field Officer ( FO ) Tena Kutokea Upande Wa Jeshini Na Wakati Huo Idara Ya Ujasusi UWT Ilikuwa Imeungana Na Ya Kijeshi Ambayo Sasa Inaitwa MI ( Military Intelligence ) Na JK Aliteuliwa Kuwa Mpeleka Habari Za Kijasusi Kutoka Jeshini Kwa Bosi Wake Bernard Membe Tena Wakati Membe Akiwa Hapo Hapo HQ Oysterbay Na Ilipokuja Tu Ile Sheria Ya Kutengenisha Siasa Na Jeshi Ndipo JK Akatoka Huko Na Kuanza Harakati Zake Za Kisiasa. Na Ndiyo Maana Huwa NAWADHARAU Kwani HAMNA AKILI Na Mna UPEO Finyu Na Mdogo Mno. Na Wewe ETI NI Mwana UWT? Mbona Historia Ndogo Tu Na Nyepesi Kama Hii Hujui? Kawaulize Mabosi Wako Wa Zamani Akina Mzee Nzagi, Kamalamo, Mhagama, Apson Na Wengineo Wengi Wakufundishe. Na Mnamtia AIBU Sana Principal Wenu George Wandiba Wa Chuoni Kwenu Mbweni / Malindi Kwa UPOPOMA Huu MKUBWA Mnaouonyesha! Kweli IDARA Inahitaji MABADILIKO MAKUBWA Na Ya HARAKA.
 
acha sifa za kijinga mkuu..... Hizo stor za kulula vijiwen wakat mnakunywa gongo unatuletea hapa??.........

Kama Ni SIFA Tu Ninazo Mpaka Sasa Zinanishinda Kuzibeba. Hizo Gongo Labda Walikunywa Washua Wako Wakati Wanakutafuta Wewe!
 
GENTAMYCINE Ni Brand INAYOVUTIA Na KUCHUKIWA Na MAPOPOMA Wengi ( Wewe INCLUSIVE ) Ila MTAISOMA Namba Mwaka Huu Rais Ni Professor Sospeter Muhongo Kataeni Kubalini Na MTAKUJA KUNIPA PONGEZI ZENU HUMU HUMU Jamvini. Tena Shukuru Kuwa Na Mtu Kama GENTAMYCINE Humu Kwani Nawafunueni Kwa Mengi Msiyoyajua Na Nyie Mkienda Huko Mitaani Kwenu Mnaanza Kuchukua Marks Kwa Mnaowahadithia. Chezea GENTAMYCINE Wewe!!!!!!

Hakuna unachokijua wewe, nimekuambia nenda Facebook tunajua umevimbiwa maharage uliyokula jana baada ya kuhongwa vijihela na prof muongo kuliko msprof wote.
Hayo maelezo yako uliyotoa yanakizana na katiba! Acha kutoa upuupu hapa.
Wagombea watakaopitishwa na CCM Kwa taarifa yako ni Nchimbi na run mate wake ni Husein Mwinyi! au vice versa yake.
Haya nimekusaidia nenda kaandike fb!
 
Naono Na Nyie MAPOPOMA Sasa Mnafunguka Na Listi Zenu Za KIPUUZI. Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania 2015 - 2020 Ni Professor Sospeter Muhongo MTAKE MSITAKE Na Hao Watajwa Wako WATAFUTIE TANZANIA Nyingine. Muhongo Karibu Uchukuwe Nchi ILI Utupeleke Ktk Kilele Cha Mafanikio Ya Kisayansi. Muhongo Hana Tofauti Na Rais PAUL KAGAME Kwani Wana AKILI Na UPEO MKUBWA UNAOTAKA KULINGANA Na GENTAMYCINE.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom