Bernard Membe, aliyekuwa mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo kwenye Uchaguzi 2020, ajiondoa kwenye chama hicho

Membe mnampa kichwa tu, kamwe hajawahi kuwa tishio. This time upinzani ulijua kuwa accommodate watu wa aina yake bila kuleta madhara. Kilichopelekea wasiungane wala siyo Membe bali ni sheria ya vuama iliyotungwa kimkakati.
Acha kuongea kiushabiki kwa kutumia hoja nyepesi, kilichosababisha wasiungane nibaada ya kila chama kuwa na mgombea Urais wake kitu ambacho Sheria za NEC zinakataa kuungana baada ya kuteua Wagombea.
 
Acha kuongea kiushabiki kwa kutumia hoja nyepesi, kilichosababisha wasiungane nibaada ya kila chama kuwa na mgombea Urais wake kitu ambacho Sheria za NEC zinakataa kuungana baada ya kuteua Wagombea.
Sema akyamungu!
 
Maalim na Zitto walimshushia hadhi kwa kumpigia kampeni Tototundu. It humiliated him kusema za ukweli
Sasa mbona aliambiwa mapema kuwa akija Lisu na kupita kuwa mgombea ,wewe huna lako, tulimuweka pale kama kiraka tuu.
Lakini yeye akataka kujipaisha wakati nyota yake ilisha zimwa na Lisu.
Pili Alinyanganywa Fedha zake Pale Airport na kuambiwa nataka kufanya uharamia kwa pesa zile ambazo alitaka kuzitumia kwa kampeni.
Walimpukutisha nakumuacha akiwa fukara wkati wote wa kampeni.
Bahati mbaya alikikuta chama cha ACT kiko choka mbaya kifedha.
Mbona hili alilisema?.
Kiukweli hawezi mikiki ya Upinzani.
 
Membe alifikiri haya madebe yaliyokuwa yanampigia makofi humu mitandaoni hadi akija field yapo,,

Membe hakuwahi kukubalika na wapinzani, watu walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili agombane na ccm yake.
 
Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho

Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache

Aidha, Membe, mwanachama mwenye kadi namba 2 ya ACT- Wazalendo amesema atajiondoa rasmi Januari 1, 2021

Kihistoria Membe aliingia ACT-Wazalendo mwaka 2020, akitokea CCM


Dakika ya 89 akitia wino mwekundu hahahahaa.
 
Miezi 4 kabla uchaguzi,coment zilikua hivi"2020 twende na Membe"kachero mbobezi.
Kumbe wenye kucoment walikua wanamuingiza chaka Zito.
 
Mkuu Yani hata hujui kuwa lengo la Membe kupelekwa kule ilikuwa nikufanya juu chini ili CDM na ACT wazalendo wasiungane katika Uchaguzi?

Hata hujiulizi kwanini baada ya kupitishwa kuwa Mgombea halisi hakutaka hata kupiga kampeni Wala kuwanadi Wagombea wake wa ubunge na udiwani wa ACT?

Unafikiri bila Membe hiyo combination ya Zitto+ Lissu+ Maalim CCM wangepumua?

Halafu leo kirahisi tu unakuja kusema Membe hakuisaidia CCM katika Uchaguzi, are you serious?

Kweli nimeamini Watanzania wengi bado hawaijui siasa na mbinu zake.

Hawakuungana kama sheria zinavyotaka na wala sio kwa sababu ya Membe, ila walipeana ushirikiano wote ambao hakuwaacha na tatizo la kisheria. Na huyo Membe alipotezewa kimachomacho. Kwa ujumla mbinu ya Membe na ccm ilikuwa ya kizee sana, ndio maana ilibidi ccm wategemee zaidi kura za kwenye mabeg, na matokeo fake ya tiss kutangazwa washindi.
 
Hili pandikizi lilifeli. Upinzani ulishikwa na lowasa tu, baada ya hapo walijifunza. Inabidi apandikizwe mpinzani wa kudumu atakayeaminika kama Seif.
 
Mission fail ,ACT walimpokea wakamtumia wakijua wanalolifanya ndio maana hawakupoteza hata ndururu kumnogesha.
 
Mara nyingi amekuuwa akinukuliwa akisema yeye hawezi kurudi CCM kwa kuwa hakuhama kwa hiyari bali alifukuzwa hakuwahi kujitokeza tena hadharani mara baada ya msuguano na chama chake.

Hii katuni inaonekana Kama Ni ya kweli japo Membe pia anaweza akawa anaondoka sababu ya ubabaishaji uliopo Huko ACT Wazalendo

Zitto na Maalim hawako serious na sio wakuaminika tena. Kimsingi uanachama wa Membe ACT uliisha pale Maalim alipomfananisha Membe na Rungwe na kwamba Membe alitumwa kuwavuruga wapinzani.


View attachment 1642330
 
Back
Top Bottom