Benjamin William Mkapa nimjuaye...

Uchunguzi wa kina ni lazima ufanywe kubaini KADCO iliyokodishiwa Kilimanjaro International Airport kwa $ 1000 kwa mwaka, inamilikiwa na nani? Huenda wanahisa ni hao hao washirika wa BWM ktk Kiwira Coalfields purchase.
Hii ya KADCO ilitokea kipindi cha Mwinyi 1990s nafikiri ilikuwa second term
 

sikonge ameandika hivi:


sa wewe unasema alipokosea tuparekebishe. yaani turudishe nyuma hayo mambo yawe hayakufanyika? kama kuna meremeta tayari imemeremeta na kama kuna deepgreen imeshakuwa hivyo

na shida ingine hayo yalikuwa mambo yaliyokuwa yanafanyika katika kipindi kirefu. si rahis kusema ilikuwa bahati mbaya. ni mambo yaliyokuwa yanapangwa kwa kipindi kirefu - ishara kuwa ilikusudiwa. si mambo ya kukurupuka hayo

tukiacha mambo hivi hivi hata kikwete akiibuka na vimeremeta vyake, vi deep green vyake, virada na nk. itabidi tuje tumezee mate pia. lasivyo wenzetu waislam au wale wa bwagamoyo anakotokea watalalama tunamwonea 'mtu wao' wakat benm tulimwachia

halaf baadae atakuja mwingine ataboronga nae tutasema poa mwacheni maana amejenga uwanja mwingine wa mpira au kaleta kombe la mpira tz au waliotangulia hawakufanywa kitu walipoharibu etc etc etc etc etc

ndo tunavyotaka?
 
Jasusi,
Mkuu maneno yako mazito sana hasa pale uliposema Mkapa ni Kuku anayekula mayai yake..Hii kiboko mkuu yaani inaingia kila mahala alipogusa, inabidi kuitumnguia kitabu.
 
Yes I said it.

Najua hili sio popular hapa lakini facts lazima ziwekwe wazi na majungu yaachwe. So far yanayosemwa hapa kuhusu Mkapa ni majungu tu kama vile vinavyoandikwa kuhusu Mwinyi na Kikwete vinapoitwa majungu na hivyo kufutwa au kupelekwa kwenye udaku.

Kama hakuna wa kushuhudia ufisadi wa Mkapa beyond reasonable doubt, basi Mkapa ataendelea kuwa mtanzania safi (kama inavyomstahili).
 

Inategemea jinsi unavyoutafsiri na kuuelewa ufisadi kwa upande wako.

Vinginevyo tafadhali mwambie mama akufunge nepi na akupe chupa yako ya maziwa ukalale.
 

We mwenyewe ni fisadi.Umeshapewe fedha toka kwake unajifanya kuja kumsafisha hapa,hapa asafishwi mtu kwa style hii.
 


Duh..mkuu huyo aliyekutuma ni bora ungemuomba akuandie kwenye kikaratasi ujumbe wa kuja kuweka hapa...maana kwa stahili hii ujumbe wake haujafika.
 
Inategemea jinsi unavyoutafsiri na kuuelewa ufisadi kwa upande wako.

Vinginevyo tafadhali mwambie mama akufunge nepi na akupe chupa yako ya maziwa ukalale.

Mkuu Kidatu,

heshima kwako mkuu, lugha hiyo mkuu. lugha hiyo!
 

Umechelewa sana kuleta utetezi wako mbuzi.
Hata hivyo nakupongeza kwa dhati kwa uaminifu wako mkuu kwa mkuu wa zamani.
Dokezo wenzi wako sasa hivi wanajipitisha kwa mkuu wa sasa kuliko kutumia nguvu zao kwa mkuu wa zamani.
Nakusifu.
 
We Bana unekuja kuchefua watu tu hapa...
 
Umechelewa sana kuleta utetezi wako mbuzi.
Hata hivyo nakupongeza kwa dhati kwa uaminifu wako mkuu kwa mkuu wa zamani.
Dokezo wenzi wako sasa hivi wanajipitisha kwa mkuu wa sasa kuliko kutumia nguvu zao kwa mkuu wa zamani.
Nakusifu.

Madela,

Ni convention wisdom kwa wengi hapa kutafuta favor na mkuu wa sasa huku wakitumia kila wanachoweza kumponda na kumchafua mkuu aliyetoka. Lakini pamoja na hayo, ukweli na uwazi wa forum hii lazima pia ufuatane na facts na sio vinginevyo.

Au wewe unasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…