Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,249
Solomoni kama haujatumwa basi utakuwa unatafuta umaarufu umu JF speed ya ajabu.
Hoja nyingi zimeshainishwa umu JF juu ya ufisadi wa Mkapa cha msingi chukua hoja moja na kwenda ingine uku ukizipinga kwa facts sio blaa blaa blaa.
Ila sikushangai bse ata bungeni wameazimia kumsafisha kiasi cha ata kuamua kuurudisha mgodi wa Kiwila serikalini.