Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,816
"Sasa Mkapa anatetewa na watu au vipi?? Mbona yeye yupo kimnya sana."
________________________
JM: Na hicho kitu ndiyo mie huzimia kabisa, watanzania jinsi tulivyo! Hivi Mkapa anashindwa nini kuita press conference na kujitetea tuhuma baada ya tuhuma na kuruhusu aulizwe maswali?
Anaogopa nini? Akina RA, Manji na mapapa wengine wa ufisadi (walioiba wakati wa utawala wake) angalau wamekwenda mahakamani kumshitaki mzee mengi kwa kuwakashifu. Yeye Mkapa kwa nini hafanyi hivyo hasa dhidi ya magazeti yanayomuandika kila siku?
Au anatumia mapesa kuwalipa watu kumtetea humu JF, na Bungeni -- kama vile yule Mbunge Serukamba juzi alipobwatuka hovyo Bungeni kumkingia kifua? na Mzindakaya ambaye alifaidika kwa mkopo wa mabilioni ya utata kutoka BoT?
hawa hawana uchungu wowote wa nchi yao.
Kua wewe! so akiita press conference na kusema hajaiba na akatoa vithibitisho vya uongo! utakubli? hivi kwa nini watanzania wengi wanamawazo ya kidakudaku?? kama ameba tunamamlaka apelekwe jela.Wale vibaka wote segera waliitisha press conference?
Mkapa kawe hatumii pesa wewe! kama wewe unajua mwizi wenzako hawajui hivyo, ndio maana tunasema serikal ipo kuwashtaki watu kama hao! pi ujue kuwa yuko juu bado aliku kionozi nchi usiji-kujicompare naye wewe!
Sentensi zako za mfa maji, ndio maaa kuna haja ya CCM wote wondoke madarakani!
mara yuko kimya, anahonga,mara sijui nini huku anakula analala, unabaki kusema sema tu humu kama chiriku, tukisema jiandikisheni vyama kama chadema tuiondoe CCM HUNA MUDA HUO!
suppose JK na serikali yake hawataki kumpeleka mahakamani utafanya nini??