Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,157
- 4,454
Si kweli kuwa jmk kajenga UDOM bali ni mkapa yule yule. sisi ni wamoja wa consultants wa college hiyo na mchakato ulianza mapema takribani 1yr before kumaliza kipindi cha Ben. tuliambiwa kuwa huo ni mradi wa kisiasa utakaosaidia mgombea wa chama cha magamba kupita kirahisi. Ben alikamilisha mipango yote ya sources za fedha toka mashirika ya umma na leo ****** anawadanganya kuwa ni yeye kafanya? Sehemu kubwa ya chuo imejengwa yeye akiwa madarakani lakini plani na fedha kaandaa Ben kama ilivyo kwa miradi mingi ya barabara aliyoiacha Ben imeendelea kujengwa yeye akiwa madarakani. Kubalini tu kuwa mlichagua raisi ambaye umri wake katika ngazi hiyo alikuwa bado mtoto au vinginevyo kama ni karata mmelamba g.l.sa
Ebanaee hili nalisikia kwako unataka kuniambia ujenzi wa UDOM ulianza katika kipindi cha Mkapa, any way ngoja ngoja nikae chini kutafuta ni kitu gani cha maana Kikwete amekifanya naamini lazima nitabahatisha japo kimoja. Eheeee!!!!!!!!! nimekumbuka amejenga kilwa road kwa kiwango cha juu kabisa watu wa mbagala sasahivi wanateleza tuu!!!!!!!!!