MANAMBA
Senior Member
- Jan 16, 2011
- 169
- 18
Akumbukwe kwa nini naye huyo? Kuna tofauti gani ya maisha baina ya utawala wake na ule wa Mwinyi na Kikwete? Rumba bado ni kali tu na Tanzania hatujawahi kuwa na ahueni ya maisha hata siku moja. Na hapo wala sijagusia mambo mengine .
Myonge myongeni lakini haki yake mpeni. Kwanini uangalie upande mmoja tu wa udhaifu lakini hutaki kukubali mafanikio yake? Angalia miradi ya barabara, hali ya barabara za lami katika jiji lamwanza, daraja la mkapa ..nk. hivi unakumbuka mkapa aliikutaje nchi hii kutoka kwa mwinyi? nchi ilikuwa muflisi na kama waliopo leo kwa mwenendo wao ndiyo wangerithi kutoka kwa mwinyi sijui ungesema nini.