Dawa nchi hii wachukue chadema tutaishi Kama peponi na nchi haitakua na deni hats sent tano...
Why using a lot of energy trying to compare one after another we lack a very special thing here as Tanzanians and Not individual... We lack an Active System and not a Party or Person..
Mimi nadhani hapa watu wamejikita kwenye hoja ya Chama tawala kitoke na mbadala uwe chadema Mimi sina tatizo na Hilo ,
Ila swali hapa ni unadhani wakiingia chadema hulka za watu wote mioyoni zitachange? Definitely NO..
Wezi watabaki kuwa wezi, Rushwa itaendelea kuwepo na pengine hujuma itaendelea kuwepo haswa kwa wale ambao ni wafuasi wa vyama vingine watahijumu nchi kwa makusudi.
Sasa hoja nadhani iwe Mfumo upi tunautaka uongoze nchi yetu na si Chama kipi km kweli tunaitakia nchi yetu mema lakini sio tumekua wajinga wa kushabikia tusichonufaika nacho
Kwani namimi Nina akili timamu I can be anybody ila tu sio sote tunaweza kua politicians lakini ningependa kuongozwa na Mfumo badala ya Mtu au Chama mfano, we all knows how to drive but what if there is no traffic light ? It is damn chaos.
Kwahiyo badala ya kuwatafutia *wengine ulaji ni vyema tukawa Realistic hapa,
Kwani kila Mtu anakimbilia siasa kwakua kuna upuuzi whether it be CCM or CDM or CUF wao lengo Lao ni kupata uhalali wa kutawala na kuongoza kwa kupata viti na majimbo na popularity that's it!
Kwanini nasisitiza Mfumo hapa?
Mfumo ndio uwe hukumu ya watawala na watu tuanaowapa dhamana ya kutuongoza na Mfumo ukiwa mzuri sidhani Kama kuna *atakae kimbilia siasa, ila Mfumo uliopo sasa ni collapsed hauwawajibishi Chama chochote I'm afraid to we are going to face the same shit were facing now if we can't figure out what best we want ? How to get it ! If we choose to show to each other who is who when it comes to criticism? We are no providing the permanent solutions to our problems instead we partially address them ... Tena Mbaya Zaidi humu ndani.
Mfano..
USA kuna Taxi, huwezi kujua taxi driver anapata kiasi gani kwa siku Kama ukiwa umemwambia kwa siku lete 80 pengine haipati au anapata Zaidi sasa ili kuondoa Mfumo HOLELA wenzetu wameweka Mfumo ambao Mteja anapata haki yake,driver anapata haki yake na pia mmiliki anapata haki yake., Kwani unapoingia kwenye taxi kuna count machine yakukujulisha wewe km Mteja mwisho wa siku utalipa kiasi gani na pia mmiliki nae system inamjulisha kua taxi no Fulani inamteja na amelipwa kiasi gani kwa ni mwisho wa siku ni printout ndio inamfanya driver awasilishe *alichopata siku nzima ndio maana driver wanategemea Mshahara na tips toka kwa wateja tu kwahiyo Mfumo umewadhibiti na uko centralized*
Kwahiyo nadhani huu ni mfano..
Kama kungekua na Mfumo ambao ni mzuri iwe CDM , CCM au TLP au CUF wote Hawa Siasa isingekua kimbilio na kila Mtu angeogopa kua mwanasiasa badala ya Sasa kila Chama kinavutia kwake na sisi Bahati Mbaya tumekua wajinga sna.
Mfumo ndio hoja inayotakiwa kwa sasa badala ya kuwa wajinga wa itikadi na kila Mtu kuona kua kikiingia Chama Fulani kila kitu kitakua pepo... Ni suala la. Kuamua kuwa na Mfumo ambao viongozi wakimbie siasa na kuona ni mzigo usiobebeka