Mtingaji
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 1,223
- 367
Nyerere si alifariki kipindi cha Mkapa?
Alifariki au walimuondoa ili waanze kuuza nchi na kujilimbikizia? Hujamsikia Mbunge wa Musoma akimjibu Mkapa huyo huyo?
Nyerere si alifariki kipindi cha Mkapa?
Kwa hili la kujiunga OIC sipo nawe. Mbona Vatican wana ubalozi hapa Tz, Watz tulidhirikishwa ktk suala la kufungua ubalozi hapa ilhali Vatican inajulikana wazi ipo kwa maslahi ya wakatoliki. Huoni dini nyingine zinadhulumiwa kwa hili. Hebu acha udini wako mfilisika mkubwa wa tafakuri we.
mkapa hakuwahi kulaumiwa kwa udini wala ukabila,haya yote msingi wake ni wanamatandao na sumu hii imeanza kumwagwa 2005
This is becoming routine now. Kila rais mstaafu anataka tuamini yeye alikuwa tofauti saaana.
Granted, Mkapa alikuwa no-nonsense kwa mambo mengi ambayo Kikwete aliyakenulia, he also had a lot of issues.
So asitake kutufanya tuamini kwamba yeye alikuwa tofauti saaana.
huko msikitini umeambiwa mauaji ya mwembechai yalifanyika wakati wa utawala wa mkapa?!Mkapa hasemi kweli, wakati wake aliua waislam Mwembechai na Zanzibar, alifunga Masheikh na wanazuoni wa kiislamu. Waislam walilalamika na wanaendelea kulalamikia utawala wake mpaka leo.
Kwa kuwa wanaolalamika sasa ni wakristo hawa ndio raia wenye haki ya kulalamika na kwa kuwa wana vyombo vya habari ndio maana wanasikika
Nilijaribu tu kupunguza ukali wa manenoAlifariki au walimuondoa ili waanze kuuza nchi na kujilimbikizia? Hujamsikia Mbunge wa Musoma akimjibu Mkapa huyo huyo?
Majebere sikubaliani na wewe katika mfano ulioutoa. Uwezo wa kiuongozi Bush na Obama kila mmoja anao, tena ni ule wa kuongoza watu wengi,wanatofautiana viwango, vipawa na ushawishi.
Msukuma mmoja alisema, japo ni lugha ya utani lakini inaukweli ndani yake, " toka lini mtu anayetokea kabila la watu ambao hawajui kufuga hata achilia mbali mbuzi, akaweza kuongoza watu. Tafuta katika Tanganyika kama kuna kiongozi yoyote wa mfano toka kwa wakwere". Tuliishia kucheka, lakini baadaye katika kutafakari niliuona uzito wa 'upuuzi' wa msukuma.
Tujiulize Kikwete wapi alipowahi kudeliver toka alipokuwa Mkuu wa Wilaya hadi sasa kama Rais na tuseme hizi ni initiative zake na kwamba hazijaleta/hazitaleta aibu kwa watanzania.
But ukimuuliza Adam Smith kuwa nani zaidi kati ya hao jamaa wawili, sidhani kama atapepesa macho na kusema Mkapa ni zaidi.
Mkapa hakuwa dhaifu kama huyu FASTJET, ingawa alipanda mbegu mbaya sana ya ufisadi na ukandamizaji wa demokrasia
yawezekana kabisa baadhi ya mbegu za kibaguzi na social injustice alizipanda au hata kuzimwagilia yeye, hasa ufisadi
ni rais wa ajabu anayefungua co. ltd akiwa ikulu na kutumia anuani ya ikulu
He cant escape responsibilities for what we are now as a nation
Tujadili central message ya alichosema, "utawala wake haukunagua dini ya mtu yoyote" hizo ishu za ufisadi ni topic nyingine. Naona tunatoka nje ya mada.