Ranks
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 2,583
- 1,098
our nation buck?????
Akh!Sorry wana jamvi,ni machungu wamenitonesha kidonda cha enzi hizoo!!!Lakini ninashukuru na ninaamin nimeeleweka nilichokuwa ninalenga kudondosha.
our nation buck?????
Kikwete alidhani hii nchi ni ya kiislam na kusahau kuwa wakristo ni 80%, this is the christian country bwana
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm!!! hapo kwenye red angekuwa ni Rais mbovu asingeshinda ndugu yangu, kule hawana ubwege wa siasa wana siasa za kweli na watendaji wa kweli..acha propaganda kulinganisha huyu mburula na viongozi wa dunia ileeeeeeeeeeee, baadaye sana....Obama amebeba mzigo wa bush na ndio maana anaoneka rais mbovu katika wote marekani.
JK yamemkuta hayo hayo.
Hata kama Mkapa alikuwa fisadi na kuanzisha AnBen Company akiwa Ikulu lakini hakuruhusu madudu tunayoyaona sasa ya udhaifu wa kiongozi na kulikuza ombwe la uongozi Tanzania. Alichukua hatua mara moja. Rekodi ya serikali ya Mkapa kiutendaji iko mbali sana ukilinganisha na hii ya Kikwete. Thibitisheni. kwa kutoa mfano wa sekta moja tu iliyostawi katika miaka 8 ya utawala (ambao hauwezi) wa Kikwete.
Obama amebeba mzigo wa bush na ndio maana anaoneka rais mbovu katika wote marekani.
JK yamemkuta hayo hayo.
Rais Mstaafu Ben Mkapa amesema baada ya uongozi wake anashuhudia mambo mengi ya ajabu ikiwemo mitafaruku katika jamii.
Kwamba anachojivunia katika uongozi wake ni kuwa hakuwahi kuambiwa anabagua.
Amesema kizazi kipya cha uongozi kinatakiwa kurudi katika misingi aliyoacha Mwalimu Nyerere ambayo ni Amani na Utulivu.
Amesema hayo mjini Bukoba wakati akitoa salaamu baada ya kusimikwa kwa Askofu Mpya wa Jimbo Katholiki la Bukoba Desidelius Rwoma aliyehamishwa kutoka Jimbo la Singida kuchukua na nafasi ya Askofu Nestory Timanywa aliyestaafu baada ya kuwa katika nafasi hiyo kwa miaka 39.
Kikwete alidhani hii nchi ni ya kiislam na kusahau kuwa wakristo ni 80%, this is the christian country bwana
Mnaomfananisha jk na mkapa, ni kama kufananisha mbingu na nchi, mkapa ni intelectual mungu alimpa kipaji cha kuongoza pamoja na udhaifu wake wa kibidamu, huwa najiuliza sipati jibu kikwete kule state house anafanya nini? Kwa mawazo yangu ni kuwa huyu mtu ni dhaifu sana labda tujue akili zake zimelalia wap?
our nation buck?????
Hawezi pata credibility yeyote,mtu mwenyewe kakudharau hata kwao,ndio maana anaishi uhamishoni Tanga.Uliza alivyokuwa akiwatukana waandishi wa habari waliokuwa wakimkosoa.Ni katika utawala wake ulionunua ndege na rada mbovu kwa mabilioni ya pesa za watanzania mpaka waingereza wakatuoneo huruma wakaturudishia,huku waziri wake wa fedha akasema ni bora tule nyasi lakini ndege ya rais na rada lazima zinunuliwe.Vp bulyanhulu walikouawa wanakijiji na wawekezaji.
Jamaa kimasiharasihara alikuwa anauza nchi hivo kwa mrahaba wa tsh 3 kati tsh 100.Hivi huyu alikuwa anaakili kweli,yaani nchi inachukua tsh 3,ok nikaja kugundua hujamaa kosa sio lake,bali shule alizosoma ndizo zilizomfundisha ufisadi,hakuna hofu ya mungu.We tazama wanaoongoza kwa wizi, wamesoma shule gani?Ni vigumu sana hii nchi kuendelea kwa sababu ya mfumo.
Huyo ndio Ben mkapa.Ukisikiliza hotuba yake biti kubwa,but helpless.Sijaona chochote cha maana wakati wake,fursa za kusoma zilikuwa chache,vizingiti kibao eti ooh ukipata division 3 six hufiti kwenda chuo kwa mvulana,ilimradi tu vikwanzo.
Kikwete alidhani hii nchi ni ya kiislam na kusahau kuwa wakristo ni 80%, this is the christian country bwana
Obama amebeba mzigo wa bush na ndio maana anaoneka rais mbovu katika wote marekani.
JK yamemkuta hayo hayo.
Mkapa hasemi kweli, wakati wake aliua waislam Mwembechai na Zanzibar, alifunga Masheikh na wanazuoni wa kiislamu. Waislam walilalamika na wanaendelea kulalamikia utawala wake mpaka leo.
Kwa kuwa wanaolalamika sasa ni wakristo hawa ndio raia wenye haki ya kulalamika na kwa kuwa wana vyombo vya habari ndio maana wanasikika
Mkapa hasemi kweli, wakati wake aliua waislam Mwembechai na Zanzibar, alifunga Masheikh na wanazuoni wa kiislamu. Waislam walilalamika na wanaendelea kulalamikia utawala wake mpaka leo.
Kwa kuwa wanaolalamika sasa ni wakristo hawa ndio raia wenye haki ya kulalamika na kwa kuwa wana vyombo vya habari ndio maana wanasikika