Benjamin Mkapa: Nashuhudia mambo ya ajabu baada ya uongozi wangu!

Benjamin Mkapa: Nashuhudia mambo ya ajabu baada ya uongozi wangu!

Inamshinda nini kumwonya huyo teenager anayechekacheka kama hana akili nzuri huko ikulu? Ni rais gani Africa aliyekwisha onyesha ujinga wa kuiuza nchi yake kama kikwete? Mbona asimwambie tu ukweli badala ya kuzunguka mbuyu? Ni raisi gani aliyekwisha uwa elimu, matibabu, na usafiri wa miundombinu huku akichukua kodi za walalahoi wake kujitibia India yeye na viongozi wengine huku nyuma akitesa madaktari na kuwadhalilisha kiharamia? Ni rais gani anayetumia udini na kuupandikiza kati ya raia wake eti kisha apate nguvu ya kuingia ikulu? Hiyo ikulu bila amani ina maana gani? Ni raisi gani anayeruhusu nusu ya nchi ijiunge na jumuiya ya kiislamu bila ridhaa ya wananchi wa nchi nzima? Hiyo Zanzibar sii sehemu ya Tanzania? Kikwete ni mjiga periodi! Mkapa analijua hilo na inabidi amwabie ukweli kwani ameiharibu sana nchi yetu.

Mimi naamini kitendo cha Mungu kuwaruhusu watu wa Usalama wa Taifa na Mwenyekiti wa uchaguzi kutuchagulia Raisi Kikwete, kuna weza kukawa ni kwasababu zifuatazo.

1.Eidha Mungu amechoka na dhambi za Watanzania hivyo akaamua kutushushia Kikwete kama adhabu na laana kwa waTZ
2.Au Mungu ameamua tu atupime watanzania kama ni wavumilivu kiasi gani na katika hili nadhani ame-prove Watanzania ni wavumilivu na ni watu wakuchukuliana hivyo hivyo sidhani kama mtu kama Kikwete angeweza kuongoza watu wenye hasira na wanaojichukulia sheria mikononi
 
Ningefurahi sana maneno haya ya mzee wa masasi angeyatoa mbeleya kamati kuu ya chama kinachotawala
 
Pamoja na makosa ambayo Mkapa alifanya kwa kuanzisha kampuni akiwa Ikulu lakini nathubutu kutamka bila shaka wala wasiwasi kuwa MKAPA ALIKUWA NI KATI YA MARAIS WACHACHE SANA KATIKA AFRIKA AMBAO WALIKUWA NA UWEZO NA DHAMIRA YA KUONGOZA NA AMBAO WALIPATA MAFANIKIO MAKUBWA. Mkapa alifanya ambacho viongozi wengi Duniani wanashindwa. Mkapa alishusha inflation kutoka 30% alioiacha Mwinyi mpaka 2% ambayo Kikwete ameshindwa kuilinda. Kikwete ameipandisha mpaka 17%. Mkapa aliingia Ikulu, hazina ikiwa haina kitu kabisa zaidi ya madeni. Uongozi wa Mwinyi, Kikwete akiwa waziri wa Fedha, walikuwa na matumizi ya ovyo ya fedha, pesa za misaada zikiishia mikononi mwa watu binafsi, huku ikikadiriwa kiasi cha 60% ya fedha hizo za misaada kutokugusu Tanzania kabisa. Kutokana na kukosekana kwa nidhamu ya matumizi ya pesa, ukusanyaji mbaya wa kodi, ufisadi na ubadhirifu, Tanzania ilisimamishiwa misaada yote, na ilikuwa hairuhusiwi hata kukopa kwa kuwa haikuwa na uwezo wa kulipa madeni. Ni Mkapa, mara baada ya kuingia madarakani, aliweza kuanza kulipa madeni na baadaye Tanzania kuruhusiwa kukopa na kupata misaada. Mkapa aliingia madarakani, dola moja ikiwa sawa na sh 1200, aliishusha mpaka kufikia dola moja sawa na sh. 800; linganisha na mtangulizi wake, Mzee Mwinyi ambaye aliichukua nchi wakati dola moja ikiwa sawa na sh.60 (sitini), akaondoka madarakani dola 1 ikiwa sawa na sh. 1,200. Tuna bahati baada ya Mwinyi alichukua uongozi Mkapa, ebu fikiria kama baada ya uongozi wa Mwinyi angefuatia Jakaya Kikwete.

tz ingekuwa kama zimbabwe.
mkate mmoja dukani kwa shilling million moja na nusu.
mkapa mwizi lkn ukimlinganisha na Mr. dhaifu ni kumvunjia heshima.
the two figures are not well matched to each other.
Ben is a bit superior as compared to jk mrisho.
 
Obama amebeba mzigo wa bush na ndio maana anaoneka rais mbovu katika wote marekani.
JK yamemkuta hayo hayo.

Acha upopo wako hapa. Dhaifu kaachiwa mzigo gani??? Kumbuka kwamba Mkapa kamwachia JK akiba ya kutosha tu. Yeye kaitapakanya na kuanza kuombaomba.
 
Kikwete huwezi kumshauri. Hiyo ni personality yake.

Alikimbilia ikulu kwa ajili ya anasa zake na wala si maendeleo ya watanzania na ndiyo maana anawaona na kuwatreat kama nguchiro. Ni sawa na fisadi Lowasa anavyonyemelea nyemelea, hila za kwenda ikulu. It is not for any public interest. Anafanya kila hila aingie ikulu for his ego and pride. Mtaniambia.

Kosa ni ujinga wa kumpa mtu kama kikwete, kuna habari kwamba hata mwl Nyerere alisema anajuta kumpa nchi mwinyi.

Watu design hii hawafai kuongoza nchi. Wanaturudisha nyuma sana ki maendeleo. DAWA HAKUNA KUWAPA NCHI TENA. WATABAKI VIONGOZI WA KAWAIDA ILI WAWE CHINI YA UTAWALA WA MTU MWENYE AKILI.

we ni mnafiki tena mzandiki! ulitaka rais awe baba yako ndio ukae kimya? acha uchonganishi na chuki binafsi kwani hazitakusaidia lolote.Huna hoja hapa kwani yote uliyoongea ni uongo mtupu ukitaka maendeleo fanya kazi kwa bidii na sio kusubiri hadi ununuliwe hadi chupi ndio uone maendeleo.Pia jenga tabia ya kutembea ujionee na wala sio kukaa na laptop tu ya kununuliwa chumbani kwako huku ukikosoa.Acha umburura kwani kuna hoja nyingi humu ndani zinataka majibu na hakuna hata mmoja anaediriki kuleta majibu ya kueleweka.Rais anaifanyia kazi nchi na sio wewe peke yako...tumbaf
 
Mimi naamini kitendo cha Mungu kuwaruhusu watu wa Usalama wa Taifa na Mwenyekiti wa uchaguzi kutuchagulia Raisi Kikwete, kuna weza kukawa ni kwasababu zifuatazo.

1.Eidha Mungu amechoka na dhambi za Watanzania hivyo akaamua kutushushia Kikwete kama adhabu na laana kwa waTZ
2.Au Mungu ameamua tu atupime watanzania kama ni wavumilivu kiasi gani na katika hili nadhani ame-prove Watanzania ni wavumilivu na ni watu wakuchukuliana hivyo hivyo sidhani kama mtu kama Kikwete angeweza kuongoza watu wenye hasira na wanaojichukulia sheria mikononi

usimuingize mungu katika upumbavu wako!!
 
we ni mnafiki tena mzandiki! ulitaka rais awe baba yako ndio ukae kimya? acha uchonganishi na chuki binafsi kwani hazitakusaidia lolote.Huna hoja hapa kwani yote uliyoongea ni uongo mtupu ukitaka maendeleo fanya kazi kwa bidii na sio kusubiri hadi ununuliwe hadi chupi ndio uone maendeleo.Pia jenga tabia ya kutembea ujionee na wala sio kukaa na laptop tu ya kununuliwa chumbani kwako huku ukikosoa.Acha umburura kwani kuna hoja nyingi humu ndani zinataka majibu na hakuna hata mmoja anaediriki kuleta majibu ya kueleweka.Rais anaifanyia kazi nchi na sio wewe peke yako...tumbaf

Wewe ndiye juha na fumbafff la kwanza. Unadhani dunia hii utazimisha watu wanyamazie ujinga wa kikwete na wenzake eti kwa kuogopa matusi yako?. Pambaff kweli.

Ulitaka nijibu kulingana na akili zako za panzi? PUNGUANI MKUBWA.

FAHAMU TU KWAMBA KUANZIA SASA HATUTAWAPA NCHI YETU VIONGOZI KAMA WEWE NA KIKWETE NA WA AINA YENU. TUNAHITAJI WATU WENYE AKILI. AKILI KAMA ZAKO HAZIWEZI KUONGOZA HATA FAMILIA.

A spade is a spade. Dont force people to call it a spoon unless you change it to a spoon!. IDIOT!
 
Pole sana mhe mkapa umesahau kuwa uliua waislam pale muembe chai ambao hawakuwa na hatia uliwafata msikitini kwao wakiwa ktk ibada zao ukatoa uhai wao bila sababu,bora ukae kimya ktk hili usiwakumbushe waislam machungu uliyowapatia.kaa ukijua ipo cku utdhalilishwa kama ulivyowadhalilisha waislam na utakufa kama ulivyowaua waislam na utakumbana na adhabu ya mungu.
 
Hivi huyo jamaa anaonge hivo wakati yeye ni mshauri wake na huyo ndo aliyeanza kubagua watanzania pale alipokuwa anapiga kampeni kwenye jimbo la joshua nasri,,uovu na ubaguzi umeanzia pale aliposema kwamba wanachama wa vyama pinzani ni mafedhuri,na je? Kama mutu unajiheshimu unaweza fanya upuuzi kama alivyofanya yeye,,,mkitaka kuona kwamba yeye hafai,muwekeni kwenye friji kama dakika tano na mumwambie atoe historia ya mwalimu nyerere alipokuwa anaumwa mpaka kufa,kama hajatoa jasho ka mvua ya mawe na kwikwi lenye njaa kali,,huyo mzee aende south africa alikoficha mali zetu akapumzike afie huko,i hatumtaki.
Teh teh teh1
 
Kuna mazuri uliyoyafanya, lakini so far wewe pia (Mkapa) siyo rais bora wa nchi hii. Fisadi tu, unafungua Limited Company ukiwa Ikulu wewe na mke wako, hii bado unaona sawa!
 
Hata kama Mkapa alikuwa fisadi na kuanzisha AnBen Company akiwa Ikulu lakini hakuruhusu madudu tunayoyaona sasa ya udhaifu wa kiongozi na kulikuza ombwe la uongozi Tanzania. Alichukua hatua mara moja. Rekodi ya serikali ya Mkapa kiutendaji iko mbali sana ukilinganisha na hii ya Kikwete. Thibitisheni. kwa kutoa mfano wa sekta moja tu iliyostawi katika miaka 8 ya utawala (ambao hauwezi) wa Kikwete.
tatizo letu wengi ni kwamba ''TUNALAUMU TULIPOANGUKIA, NA KUSAHAU PALE TULIPOJIKWAA'''
kama taifa tunavuna kile kilichopandwa huko nyuma kabla hata ya awamu ya nne, hapa tuliko tuko katika anguko.... JAKAYA hawezi kukwepa lawama kwani anguko aliliona, watu wakamuamini na akashindwa kulizuia... ila kama ni lawama KUU!!! basi BEN anastahili kuubeba msalaba wote na kwa hakika, hastahili kuongea kuhusu chochote
 
haya mambo ya ajabu yalianzia katika utawala wake na mama ana mkapa anashanganini wakati techique yake ilikuwa kuwazuia watu wasihoji????
 
Kumlinganisha Mkapa na Kikwete ni kama kumlinganisha Dakari wa ukweli na Dakari feck. Jamani kuna tofauti. Yaani hadi Tanzania imenuka kama jaa la taka.
 
Kuna mazuri uliyoyafanya, lakini so far wewe pia (Mkapa) siyo rais bora wa nchi hii. Fisadi tu, unafungua Limited Company ukiwa Ikulu wewe na mke wako, hii bado unaona sawa!

Mkapa ni mwizi tu naye, japo alikuwa serious!
 
Kuna mazuri uliyoyafanya, lakini so far wewe pia (Mkapa) siyo rais bora wa nchi hii. Fisadi tu, unafungua Limited Company ukiwa Ikulu wewe na mke wako, hii bado unaona sawa!

Mkapa ni mwizi tu naye, japo alikuwa serious! Sema jamii imeshtuja kipindi cha kikwete ndiyo sababu inayopelekea kikwete aonekane ni dhaifu sana, ila wote hawafai
 
Back
Top Bottom