Benjamin Mkapa: Nashuhudia mambo ya ajabu baada ya uongozi wangu!

Benjamin Mkapa: Nashuhudia mambo ya ajabu baada ya uongozi wangu!

Ben had the VOICE OF COMMAND as a president.Wasasa,duh ,Mimi nadhani sehemu zingine hata mawaziri wake wakienda wanakuwa na heshma, wanaheshimika na kuogopwa kuliko hata yeye.e.g.Magufuli,Mwakyembe.
 
Obama amebeba mzigo wa bush na ndio maana anaoneka rais mbovu katika wote marekani.
JK yamemkuta hayo hayo.

Majebere sikubaliani na wewe katika mfano ulioutoa. Uwezo wa kiuongozi Bush na Obama kila mmoja anao, tena ni ule wa kuongoza watu wengi,wanatofautiana viwango, vipawa na ushawishi.

Msukuma mmoja alisema, japo ni lugha ya utani lakini inaukweli ndani yake, " toka lini mtu anayetokea kabila la watu ambao hawajui kufuga hata achilia mbali mbuzi, akaweza kuongoza watu. Tafuta katika Tanganyika kama kuna kiongozi yoyote wa mfano toka kwa wakwere". Tuliishia kucheka, lakini baadaye katika kutafakari niliuona uzito wa 'upuuzi' wa msukuma.

Tujiulize Kikwete wapi alipowahi kudeliver toka alipokuwa Mkuu wa Wilaya hadi sasa kama Rais na tuseme hizi ni initiative zake na kwamba hazijaleta/hazitaleta aibu kwa watanzania.
 
Je yeye mbona yupo kimya sijawahi hata sikia akitoa tamko la kukemea... Anasema tufuate nyayo za Nyerere mbona yeye hafuati.. hata kwa kukemea tu kama Nyerere alivyofanya
 
Rais Mstaafu Ben Mkapa amesema baada ya uongozi wake anashuhudia mambo mengi ya ajabu ikiwemo mitafaruku katika jamii.

Kwamba anachojivunia katika uongozi wake ni kuwa hakuwahi kuambiwa anabagua.

Amesema kizazi kipya cha uongozi kinatakiwa kurudi katika misingi aliyoacha Mwalimu Nyerere ambayo ni Amani na Utulivu.

Amesema hayo mjini Bukoba wakati akitoa salaamu baada ya kusimikwa kwa Askofu Mpya wa Jimbo Katholiki la Bukoba Desidelius Rwoma aliyehamishwa kutoka Jimbo la Singida kuchukua na nafasi ya Askofu Nestory Timanywa aliyestaafu baada ya kuwa katika nafasi hiyo kwa miaka 39.

Apuziko hana mpya,si ni yeye aliyewaua waislam mwembechai nz Zanzibar,unafikiri watu wamesahau?
 
Hapa anazungumzia ubaguzi, ninyi mnazungumzia ufisadi.
 
Huyu ndie alikuwa fisadi kaiba sana na mali za watanzania live. Leo anaishi kuula pesa za wizina familia yake. Huyu nae ni wa kufunguliwa mashtaka na kunyanganywa mali zetu watanzania mali haswa pesa.

Haya yote na mengine tutayafanyia kazi 2015 baada ya kuizika ccm chama kinacholea mafisadi, tuimarishe m4c
 
Apuziko hana mpya,si ni yeye aliyewaua waislam mwembechai nz Zanzibar,unafikiri watu wamesahau?

Ili nijue kweli wewe ni kichwa kama siyo kichwa wewe, tuambie kwanini waislamu walikufa Mwembechai na kule Zanzibar. Majibu yako yatanifanya nipime akili za waislamu.
Ungezungumzia alisababisha watanzania wafe Mwembechai na kule Zanzibar hoja moja ingepungua.
 
Bora yako Ben umetuachia national stadium tunakula burudan
 
Hata kama Mkapa alikuwa fisadi na kuanzisha AnBen Company akiwa Ikulu lakini hakuruhusu madudu tunayoyaona sasa ya udhaifu wa kiongozi na kulikuza ombwe la uongozi Tanzania. Alichukua hatua mara moja. Rekodi ya serikali ya Mkapa kiutendaji iko mbali sana ukilinganisha na hii ya Kikwete. Thibitisheni. kwa kutoa mfano wa sekta moja tu iliyostawi katika miaka 8 ya utawala (ambao hauwezi) wa Kikwete.

Lakini bahati mbaya aliruhusu wizi wa pesa benki kuu in favour of his party CCM kupitia EPA. Mkapa hawezi kukwepa lawama kwa wizi wa pesa za EPA kwani ulifanyika akiwa madarakani!!!

Tiba
 
He is the one who starts to pull our nation buck,majanga yote yaliyoshamiri kwa sasa chanzo ni uongozi wake,asije jifanya kuhepa kivuli chake,yeye ndiye source kwa kuanzisha tabia ya kudharau WATANZANIA na kuziba masikio kutopokea ushauri.NA MBAYA ZAIDI MIKONO YAKE IMEJAA DAMU YA WAZANZIBAR.Sasa aona Taifa lazama anataka ruka kimanga.

Yes, ni Rais atakayekumbukwa kwa "kuzalisha" Wakimbizi Tanzania.

Tiba
 
Mkapa ni mjanja alijua udhaifu wa JK kwanza angemlinda kwa makosa aliyofanya akiwa madarakani na pili asingeweza kuipiku rekodi yake kiutendaji ndio maana alivunja baadhi ya kanuni ili apite.Udhaifu wa uongzo uliopo sasa ndio unafanya watu wasijadili makosa yake wakati yuko madarakani
 
Huyu ndie alikuwa fisadi
kaiba sana na mali za watanzania live. Leo anaishi kuula pesa za wizina
familia yake. Huyu nae ni wa kufunguliwa mashtaka na kunyanganywa mali
zetu watanzania mali haswa pesa.
Hakukamatwa wala kushtakiwa kwa sababu waliomfuatia wanabagua
 
He is the one who starts to pull our nation buck,majanga yote yaliyoshamiri kwa sasa chanzo ni uongozi wake,asije jifanya kuhepa kivuli chake,yeye ndiye source kwa kuanzisha tabia ya kudharau WATANZANIA na kuziba masikio kutopokea ushauri.NA MBAYA ZAIDI MIKONO YAKE IMEJAA DAMU YA WAZANZIBAR.Sasa aona Taifa lazama anataka ruka kimanga.

our nation buck?????
 
Hapa anazungumzia ubaguzi, ninyi mnazungumzia ufisadi.
....exactly...tena ubaguzi wa kidini.....maana hata maneno yenyewe ameyazungumzia akiwa kwenye shughuli ya kikanisa...Btw jabulani naona umeondoa ile avator ya naibu waziri wa elimu....bora...maana sorry sikumoja nili ku misquote...taking you for Mulugo...ahaaa....
 
Mnaomfananisha jk na mkapa, ni kama kufananisha mbingu na nchi, mkapa ni intelectual mungu alimpa kipaji cha kuongoza pamoja na udhaifu wake wa kibidamu, huwa najiuliza sipati jibu kikwete kule state house anafanya nini? Kwa mawazo yangu ni kuwa huyu mtu ni dhaifu sana labda tujue akili zake zimelalia wap?
 
Back
Top Bottom