Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,926
Rais Mstaafu Ben Mkapa amesema baada ya uongozi wake anashuhudia mambo mengi ya ajabu ikiwemo mitafaruku katika jamii.
Kwamba anachojivunia katika uongozi wake ni kuwa hakuwahi kuambiwa anabagua.
Amesema kizazi kipya cha uongozi kinatakiwa kurudi katika misingi aliyoacha Mwalimu Nyerere ambayo ni Amani na Utulivu.
Amesema hayo mjini Bukoba wakati akitoa salaamu baada ya kusimikwa kwa Askofu Mpya wa Jimbo Katholiki la Bukoba Desidelius Rwoma aliyehamishwa kutoka Jimbo la Singida kuchukua na nafasi ya Askofu Nestory Timanywa aliyestaafu baada ya kuwa katika nafasi hiyo kwa miaka 39.
Mkapa acha unafiki Kanisani , acha kulia lia wewe na JK wote ni Ma CCM mnakaa wote huko kwenye Chama lenu umesha mwambia ? Kulia huku Bukomba makes no sense kwangu