N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 561
Mie naona kizunguzungu tuuuuu
Huyu kwenye utawala wake walimfavor mgeni dhidi ya mzawa katika ubinafsishaji wa Kilimanjaro hotel?
Kwake kila Mtanzania alikuwa akihoji chochote ni amesukumwa na wivu nani mvivu wa kufikiria.
Iliniletea usumbufu sana ile, ha ha haa!.......Btw jabulani naona umeondoa ile avator ya naibu waziri wa elimu....bora...maana sorry sikumoja nili ku misquote...taking you for Mulugo...ahaaa....
Nyangarika hili lisingeanzisha ule ujambazi epa nchi isingeyumba kiasi hiki. Hivi maaskofu tulivyoibiwa kiwira walifurahi sana? Mbona wanaendelea kumwalika huyu?yawezekana kabisa baadhi ya mbegu za kibaguzi na social injustice alizipanda au hata kuzimwagilia yeye, hasa ufisadini rais wa ajabu anayefungua co. ltd akiwa ikulu na kutumia anuani ya ikuluHe cant escape responsibilities for what we are now as a nation
Siyo kosa lako! Hii ni kazi ya Mohamed Saidi wa Gerezani kariakoo. Lakini je unajua wakati wa Mwembechai killings Rais wa inchi alikuwa ni nani?Mkapa Wa MWEMBECHAI KILLINGS..
Go to HELL Benjamin..
But ukimuuliza Adam Smith kuwa nani zaidi kati ya hao jamaa wawili, sidhani kama atapepesa macho na kusema Mkapa ni zaidi.
Mkapa hakuwa dhaifu kama huyu FASTJET, ingawa alipanda mbegu mbaya sana ya ufisadi na ukandamizaji wa demokrasia
yawezekana kabisa baadhi ya mbegu za kibaguzi na social injustice alizipanda au hata kuzimwagilia yeye, hasa ufisadi
ni rais wa ajabu anayefungua co. ltd akiwa ikulu na kutumia anuani ya ikulu
He cant escape responsibilities for what we are now as a nation
Uchafu wa Mrisho unamfanya Benja aonekane Msafi
Huyu kwenye utawala wake walimfavor mgeni dhidi ya mzawa katika ubinafsishaji wa Kilimanjaro hotel?
Kwake kila Mtanzania alikuwa akihoji chochote ni amesukumwa na wivu nani mvivu wa kufikiria.
Siyo kosa lako! Hii ni kazi ya Mohamed Saidi wa Gerezani kariakoo. Lakini je unajua wakati wa Mwembechai killings Rais wa inchi alikuwa ni nani?
Rais Mstaafu Ben Mkapa amesema baada ya uongozi wake anashuhudia mambo mengi ya ajabu ikiwemo mitafaruku katika jamii.
Kwamba anachojivunia katika uongozi wake ni kuwa hakuwahi kuambiwa anabagua.
Amesema kizazi kipya cha uongozi kinatakiwa kurudi katika misingi aliyoacha Mwalimu Nyerere ambayo ni Amani na Utulivu.
Amesema hayo mjini Bukoba wakati akitoa salaamu baada ya kusimikwa kwa Askofu Mpya wa Jimbo Katholiki la Bukoba Desidelius Rwoma aliyehamishwa kutoka Jimbo la Singida kuchukua na nafasi ya Askofu Nestory Timanywa aliyestaafu baada ya kuwa katika nafasi hiyo kwa miaka 39.
...ahaa...pole jabulani...bora umeitoa....that guy can't be a role model....Btw...talking of mambo mengine ya ajabu yanayotokea TZ kwenye urais wa Jk (ukiondoa issue ya udini) ni issue ya elimu kushuka sana....ikichangiwa na viongozi wenzake vihiyo anaowachagua....Iliniletea usumbufu sana ile, ha ha haa!