Benjamin Mkapa: Nashuhudia mambo ya ajabu baada ya uongozi wangu!

Benjamin Mkapa: Nashuhudia mambo ya ajabu baada ya uongozi wangu!

Kuna mtu amesema Mkapa anaishi UHAMISHONI Tanga.

Hivi kwanini chadema wanaiharibu hii nchi kiasi hiki?

Tanga kunaweza vipi kuwa UHAMISHONI kwa Mkapa?

Hii Tanzania ni nchi moja. Mtanzania yeyote anaweza kuishi popote. Kote kunatuhusu WOTE.

Msikubali kulaghaiwa na chadema...
 
Rais Mstaafu Ben Mkapa amesema baada ya uongozi wake anashuhudia mambo mengi ya ajabu ikiwemo mitafaruku katika jamii.

Kwamba anachojivunia katika uongozi wake ni kuwa hakuwahi kuambiwa anabagua.

Amesema kizazi kipya cha uongozi kinatakiwa kurudi katika misingi aliyoacha Mwalimu Nyerere ambayo ni Amani na Utulivu.

Amesema hayo mjini Bukoba wakati akitoa salaamu baada ya kusimikwa kwa Askofu Mpya wa Jimbo Katholiki la Bukoba Desidelius Rwoma aliyehamishwa kutoka Jimbo la Singida kuchukua na nafasi ya Askofu Nestory Timanywa aliyestaafu baada ya kuwa katika nafasi hiyo kwa miaka 39.

Mkapa hasafishiki,na hana lolote alilofanya zaidi ya kuidunisha nchi,miundomini alikuwa akiijenga ukweni kwake tu huko kilimanjaro,na kuipendelea mikoa ya wakristo ndio maana wanaomsifia ni wakristo,siku ikisimama jihadi Tanzania sijui itakuwaje.Maana kuna wengi sana wanahatia.Ila tegemeo letu ni mungu,itiqaf hatutaacha mungu atawadhalilisha wote wanaowaonea waislam kwa chuki zao.Fanya utafiti wa vifo vya wanadhulumu na kuwanyanyasa wengine,mwangalie farao(filauni) LTA
 
Naona unasikiliza FOX news!

1.Facts ni hizi

Obama ameiokowa nchi toka depression mbaya kwenye history ya USA
Obama alimshika Osama Bin Laden,Bush na Clinton walishindwa
Obama angalau ameweka Health Care Law,hakuna Rais mwnigine aliweza

Obama hakumkatama Sheikh Osama bali alifariki kwa amri ya MUNGU kwa kifo cha kawaida tu na baada ya Marekani kuja kujua miezi 6 baadae ndio wakaekti movie yao ya kukamatwa Sheikh Osama

Alafu yale majengo ya Marekani ya Sept 11 hayakupigwa na Al-qaeda kama Magaidi bali ni mipango ya Bush na jamaa zake ( The world untold stories ) soma hapa hapa JF tu !
 
He is the one who starts to pull our nation buck,majanga yote yaliyoshamiri kwa sasa chanzo ni uongozi wake,asije jifanya kuhepa kivuli chake,yeye ndiye source kwa kuanzisha tabia ya kudharau WATANZANIA na kuziba masikio kutopokea ushauri.NA MBAYA ZAIDI MIKONO YAKE IMEJAA DAMU YA WAZANZIBAR.Sasa aona Taifa lazama anataka ruka kimanga.

Ben alifanya kazi kweli acheni majungu,ameondoka madarakani ameacha hazina imesheheni pesa za kigeni,ni Rais gani Tanzania alikuwa akilipa madeni ya wafadhili kama si Ben? Kikwete kakuta pesa nyingi hazina kaanza matanuzi kama kijana anaebalehe,akawa anaiongoza Tanzania kwa remot akiwa ndani ya ndege anasafiri kila baada ya siku tatu
Niambie ni rais gani aliyekaa nchi tofauti na kwake kwa wiki tatu? Kikwete alikaa Marekani wiki tatu hadi akapiga picha na Boys to men,rais wetu ni wa matanuzi sana hajakua,mara kapanda farasi,mara Cuba kapanda inaitwa nini sijui,Mkapa alidhibiti kupanda gharama za maisha kusiko na tija sio kama huyu sharobaro nauli zinapanda hovyo hasemi kitu ni Rais au boya? Haya ndiyo maisha bora kwa kila Mtanzania au kwa familia ya Kikwete

Inaniuma kuna maboya fulani na wapumbavu wanantetea huu ujinga wakati wazazi wao wanaishi maisha ya kubahatisha tu simply wao wanaishi Dar wanalipwa posho na Mwigulu kwa kuandika majungu,
Tunaenda wapi Watanzania? Hizi posho zitatusaidia nini wakati wazazi wako babu zako wanapata taabu huko? WAPUMBAVU WAKUBWA NYIE
 
Kuna mtu amesema Mkapa anaishi UHAMISHONI Tanga.

Hivi kwanini chadema wanaiharibu hii nchi kiasi hiki?

Tanga kunaweza vipi kuwa UHAMISHONI kwa Mkapa?

Hii Tanzania ni nchi moja. Mtanzania yeyote anaweza kuishi popote. Kote kunatuhusu WOTE.

Msikubali kulaghaiwa na chadema...

Oppositional Defiant Disorder ndo ugonjwa unaokusumbua. Pia unaugua ugonjwa mwingine uitwao CHADEMAphobhia. Wahi matibabu.
 
Ufisadi ndani ya Ikulu, EPA, Rada, Mikataba isiyo na maslahi kwa Watanzania, Richmond/Dowans, Mabilioni ya Uswiss, Mabilioni ya Kikwete, Ukwapuaji wa nyumba za Serikali, Ukwapuaji wa wanyama toka mbuga za wanyama, Kagoda, Meremeta n.k. yote haya CHADEMA hawakuhusika hata chembe!!! lakini huyaoni!!! Sijui unaishi Tanzania ipi weye au ufisadi umekukolea kiasi ambacho kila kinachofanywa na magamba kwako wewe hakina kasoro yoyote ile!!!

Chadema inaiharibu sana nchi...
 
Mkapa na wasaidizi wake walifanya kazi yenye kuonekana pamoja na kuwa anayo mapungufu yake.Alipokea nchi ikiwa katika hali isiyoridhisha kiuchumi,tulikuwa hatukopesheki,hali duni sana ya wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.
Mkapa na wasaidizi wake hakulalamikia utawala uliopita kabla yake,alipigana kiume.Alithibiti mfumuko wa bei na heshima ya mfanyakazi ilirejea.
Utawala wa Kikwete walipokea uongozi ktk hali ya kuridhisha ya uchumi.Miaka 8 uongozi wake hali imekuwa ni mbaya;uchumi mbovu,mfumuko mkubwa wa bei,mahusiano mabaya kijamii,usalama duni wa raia,elimu inazidi kudorora nk.Serikali inahangaika na CDM,pia kuhusisha udhaifu wao na uongozi wa awamu wa tatu.
 
Angekuwa China sasa hizi angeshakuwa marehemu, wangemchapa risasi tu kwa matendo yake ya kifisadi.

Kama kweli Mkapa anaamini yeye alikuwa ni zawadi kwa Watanzania afikirie tena; ni miongoni mwa watu ambao kwa vipimo vyote anatakiwa awe jela sasa hivi..!!
 
Kuna mtu amesema Mkapa anaishi UHAMISHONI Tanga.

Hivi kwanini chadema wanaiharibu hii nchi kiasi hiki?

Tanga kunaweza vipi kuwa UHAMISHONI kwa Mkapa?

Hii Tanzania ni nchi moja. Mtanzania yeyote anaweza kuishi popote. Kote kunatuhusu WOTE.

Msikubali kulaghaiwa na chadema...

Kwani Mkapa hana kwao ? Kwao sio Lushoto banaaaa...aende kwao Masasi ndio kuna harufu ya kizazi chake !

Ile nyumba Mkapa ameinunua na kuikarabati kwa kuwa tu pale chini ya ile nyumba kuna hazina kubwa sana ya Kijerumani...

( Tanzania untold stories )!
 
Uchafu wa Mrisho unamfanya Benja aonekane Msafi

Umeona heeee! I like your comment. Kinachosumbua taifa ni haya magamba kulindana Mkapa alipaswa kuwa mahakamani na kufirisiwa...lakini nani amfunge paka kengere?
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm!!! hapo kwenye red angekuwa ni Rais mbovu asingeshinda ndugu yangu, kule hawana ubwege wa siasa wana siasa za kweli na watendaji wa kweli..acha propaganda kulinganisha huyu mburula na viongozi wa dunia ileeeeeeeeeeee, baadaye sana....

Majebere acha upumbavu wako wa kumuita kiongozi wa dunia mpumbavu,angekuwa mpumbavu wangemrudisha madarakani? Wewe ndie mpumbavu wa kutupwa huyo mpumbavu bado unamuomba misaada nani mpumbavu zaidi?

Acha upumbavu wenu wa kuongea kwenye kahawa halafu unaleta humu jf,
Aliyempenda mama yako ni baba yako wheather you like or not and Obama ataendelea kuwa Rais wa dunia kaongee kwenye kahawa au kijiweni kama watawasikia wapumbavu kama nyie
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! Madhaifu mengine alikuwa nayo lakini at least alikuwa anatumia authority yake kama mkuu wa dola! Nampenda Mzee Ruksa zaiodi!
 
Yeye si bado ni kiongozi katika chama tawala? Why aongelee mambo haya ya chama chake kwenye makanisa?
ayakemee kwenye vikao vya cc na pale lumumba.lakini huko alikoongelea siko,
 
Ben alifanya kazi kweli acheni majungu,ameondoka madarakani ameacha hazina imesheheni pesa za kigeni,ni Rais gani Tanzania alikuwa akilipa madeni ya wafadhili kama si Ben? Kikwete kakuta pesa nyingi hazina kaanza matanuzi kama kijana anaebalehe,akawa anaiongoza Tanzania kwa remot akiwa ndani ya ndege anasafiri kila baada ya siku tatu
Niambie ni rais gani aliyekaa nchi tofauti na kwake kwa wiki tatu? Kikwete alikaa Marekani wiki tatu hadi akapiga picha na Boys to men,rais wetu ni wa matanuzi sana hajakua,mara kapanda farasi,mara Cuba kapanda inaitwa nini sijui,Mkapa alidhibiti kupanda gharama za maisha kusiko na tija sio kama huyu sharobaro nauli zinapanda hovyo hasemi kitu ni Rais au boya? Haya ndiyo maisha bora kwa kila Mtanzania au kwa familia ya Kikwete

Inaniuma kuna maboya fulani na wapumbavu wanantetea huu ujinga wakati wazazi wao wanaishi maisha ya kubahatisha tu simply wao wanaishi Dar wanalipwa posho na Mwigulu kwa kuandika majungu,
Tunaenda wapi Watanzania? Hizi posho zitatusaidia nini wakati wazazi wako babu zako wanapata taabu huko? WAPUMBAVU WAKUBWA NYIE

Usidanganyike mkuu, Ben ALIACHA HAZINA IMESHEHENI KUTOKANA NA PESA ZA MAUZO YA MASHIRIKA ya umma yaliyobinafsishwa.Hii kapa miji kama kikwete tu
 
Kuna mtu amesema Mkapa anaishi UHAMISHONI Tanga.

Hivi kwanini chadema wanaiharibu hii nchi kiasi hiki?

Tanga kunaweza vipi kuwa UHAMISHONI kwa Mkapa?

Hii Tanzania ni nchi moja. Mtanzania yeyote anaweza kuishi popote. Kote kunatuhusu WOTE.

Msikubali kulaghaiwa na chadema...

We binti uwe na adabu CHADEMA safari hii watakutia mimba kama si wazimu,sababu hamfanyi kazi zenu mumekalia kuwasema Chadema tu hebu fikirieni na mambo mengine,

Yapo meeengi ya kufanya kuna mfumuko wa bei,gharama za nauli kupanda,chakula bei ghali mafuta,kufeli watoto hamuoni mmekalia Chadema safari hii lazima mbebe mimba tu na 2015 tutawavalisha gauni tu m**o z-9u

Muacheni Mkapa apumzike nyie ufisadi wenu wa kuita visenti hamuoni?

Kama mlishindwa kumshitaki basi iwepo sheria au waondolewe kinga Marais woote ili tuwashitakiwoooooooooote na pia itungwe sheria ya kuwawajibisha wanapokosea kuanzia kwa huyu fastjet lazima ashitakiwe
 
Back
Top Bottom