Benjamin Mkapa: Nashuhudia mambo ya ajabu baada ya uongozi wangu!

Ben nae aache unafiki yeye kama RAISI ndie aliemuweka madarakani JK sasa wa kulaumiwa ni yeye au JK.
Ni sawa na mwalimu anayelaumuwanafunzi wake kufeli
Infact Mwalimu ni wa kwanza kulaumiwa then wanafuata wanafunzi after an in depth analysis unless kama mwalimu alideclare toka mwanzo kuwa hawa madent wamenishinda otherwise yeye ni part ya lawama
 
Rais mstaafu bEN MKAPA hana haki ya kumkejeli Rais Jakaya Kikwete, haya mamabo ya udini ni matunda ya serikalai ya awamu 3 chini yake, kosa la Kikwete ni kutokuchukua hatu kuzuia mwendelezo huo.

1. Rais Mkapa kama mwenyekiti wa CCM ndiye aliyeandaa ilani ya uchaguzi ya CCM 2005 yenye agenda ya mahakama ya kadhi huku akijua ni kuwagawa wananchi.
Hata Rais Kiwete aliwahi kujitetea mbele ya vyombo vya habari kuwa hahusiki.

2. Rais mstaafu Ben Mkapa ndiye aliyeratibu wizi wa mabilioni BOT /EPA ili kusaidia uchaguzi 2005.
3. Rais Mkapa ndiye aliyeuza viwanda mpaka majengo na ardhi kwa bei ya chee.
4. Baada ya diri hilo mwenyewe na mke wake wakajipatia mgodi wa makaa ya mawe wa kiwila.
5. Mkapa ndiye aliyeuza nyumba za serikali kwa bei ya nyanya nchi nzima.
6. Ni kweli alifanikiwa kuongeza mapatao lakini kwa viwanda alivyouza pesa iliyopatika ilikuwa ndogo sana

Mkapa aache usanii yeye ndiye chanzo cha matatizo yote.
 
Jamani mimi napita tu... Lakini labda niwaambie kitu. Mimi nilikuwa pale Bukoba.. kila kitu nilisikia na kuona.. vyote ninavyo kama kuna mtu anavitaka tutafutane lakini si bure kwa kuwa nililipa nauli ya kwenda na kurudi hapa Dar... Mzee wa nyuma unachotafuta ninacho... usalama wangu tu baba... Napita jamanai.....
 
Kuna taarifa kuwa Ikulu inahaha kusaka picha na sauti vilivyorekodiwa baada ya baadhi ya magazeti kumnukuu Mkapa akiponda Serikali ya JK wakati wa kusimikwa kwa Askofu Mpya kule Bukoba.Eti Mkuu wa Kaya haamini kama kilichoandikwa ndiyo ukweli na uwazi wa Ben

Wakishaipata watafanya nini, ama wanataka wamtende kama walivyowatenda akina Ulimboka, Kibanda, Mwangosi na wengineo. Mambo mengine yako wazi kabisa wala huhitaji kutafuta ushauri mahali popote. Yanayotokea hapa Tanzania kwa sasa yanaonekana wazi ndani na nje ya nchi.

CCM imebadilishwa kutoka chama cha wakulima na wafanyakazi na sasa kimekuwa chama cha familia na marafiki wa karibu kwenye hiyo familia. Wanaojidai kuwa viongozi wa CCM wamebaki kuwa wabinafsi, walafi, na wanaoendesha kwa ukatili wa hali juu ili waendelee kujineemesha na kushibisha matumbo yao wakati wananchi wanaendelea kutaabika kwa hali ngumu ya maisha na kukosa huduma za msingi kama maji, afya na elimu ambayo ni mambo ya msingi kabisa yanayotakiwa kutekelezwa na serikali kwa ajili ya wananchi wake.
 
Kipindi kile serikali ya Mwalimu Nyerere(R.I.P.) ilikuwa inawapeleka vijijini na kuwafungia huko bila ya kuruhusiwa kutoka hao unaowaita wachochezi. Unataka na serikali ya dunia ya leo ifanye vivyo hivyo?

Bila shaka serikali hii ya leo ikifanya kama ile ya Mwalimu Nyerere wewe ndiyo utakuwa wa kwanza kulalamika serikali inakandamiza uhuru wa watu kujieleza.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Afadhari hata hiyo serikali iliyokuwa inawafungia vijijini, inawaacha na uhai wao na viungi vyao vyote vya mwili, Serikali ya sasa si inawauwa (eg. Imran Kombe, Mwangosi), inawang'oa kucha (e.g Kibanda, Dr. Ulimboka), inawang'oa meno (Eg Kibanda, Dr. Ulimboka), inawatoboa macho (Kibanda), inapiga na kuwatesa (Dr. Ulimboka, Kibanda)a.k.a kuwamabwepande...
 
1.ilani haiandaliwi na mweyekiti peke yake na wala haipitishi yeye peke yake isipokuwa ambalo hata jk alikiuwemo
2.jk aliona sawa sababu pesa za wizi wa epa zilimpeleka magogoni,ni jk aliyewabembeleza wezi kurudisha hizo hela na waliporudisha aliwapa chai ikulu wakanywa,hadi leo hatujui zile hela jk alizipeleka wapi!!
3.jk ameuza kigamboni kwa shilingi ngapi?
4.jk kajipatia richmond/dowans/symbion
5.mbona hutuambii pesa ndogo kiasi gani?
 
Kuna taarifa kuwa Ikulu inahaha kusaka picha na sauti vilivyorekodiwa baada ya baadhi ya magazeti kumnukuu Mkapa akiponda Serikali ya JK wakati wa kusimikwa kwa Askofu Mpya kule Bukoba.Eti Mkuu wa Kaya haamini kama kilichoandikwa ndiyo ukweli na uwazi wa Ben

Ben jiandae kungolewa kucha na meno bila ganzi!
 
Rais mstaafu bEN MKAPA hana haki ya kumkejeli Rais Jakaya Kikwete, haya mamabo ya udini ni matunda ya serikalai ya awamu 3 chini yake, kosa la Kikwete ni kutokuchukua hatu kuzuia mwendelezo huo.

1. Rais Mkapa kama mwenyekiti wa CCM ndiye aliyeandaa ilani ya uchaguzi ya CCM 2005 yenye agenda ya mahakama ya kadhi huku akijua ni kuwagawa wananchi.
Hata Rais Kiwete aliwahi kujitetea mbele ya vyombo vya habari kuwa hahusiki.

2. Rais mstaafu Ben Mkapa ndiye aliyeratibu wizi wa mabilioni BOT /EPA ili kusaidia uchaguzi 2005.
3. Rais Mkapa ndiye aliyeuza viwanda mpaka majengo na ardhi kwa bei ya chee.
4. Baada ya diri hilo mwenyewe na mke wake wakajipatia mgodi wa makaa ya mawe wa kiwila.
5. Mkapa ndiye aliyeuza nyumba za serikali kwa bei ya nyanya nchi nzima.
6. Ni kweli alifanikiwa kuongeza mapatao lakini kwa viwanda alivyouza pesa iliyopatika ilikuwa ndogo sana

Mkapa aache usanii yeye ndiye chanzo cha matatizo yote.
Kumtoa Baba wa taifa sasa ni Raisi gani bora tutakaye msifia? Au ni yule aliyezabwa vibao pale Msikitini
 
Bado miaka miwili tu, Kuanzia Mwinyi, Mkapa na JK wote watatupa majibu stahiki. Wameanza kujitoa na kusingiziana taratibu lakini majibu halisi tutayapata tu. Hizi kashfa za LoLiondo, sijui nyumba za umma, dowans nk hazitawaaacha marais hawa salama. Na katiba ni lazima tuirekebishe ili kuondoa kinga ya wao kutokushtakiwa. Hapo lazima nidhamu itarudi na uchumi wa Tanzania utaanza kupaa.
 
Aisee mkuu tpmazembe, nilifurahi sana siku ya Karume Day na ninaipongeza Zanzibar kwa kujitambua. Hakika Zanzibar ni wakati wenu wa kuwa na nchi yenye mamlaka kwa jina mlitakalo ninyi, thenu kuwe na ya Muunganoa kama Wananchi wa Bara na Visiwani wataridhia (maana wa awali wa kulazimisha and was not participatory) halafu tuwe na Tanganyika yet. Bravo His Excellency Shein!!
Hilo neno ''tuwe na Tanganyika yetu'' nimelipenda
 
Halafu wakiipata hiyo sauti ndio wamfanyeje sasa Che Nkapa? Wanayo jeuri ya kumshitaki? By the way kwani alisema uongo? Au wanataka wamuambie afute kauli! Atakubali? Nawashauri waendelee na kazi kama wanazo lakini.
 
Wewe ambaye maisha yamekushinda na kazi hutaki kufanya unaishia kuja kulialia mitandaoni ndiye mwenye IQ kubwa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kalime wewe acha kulanda landa hapa JF.Jana ulikula Kashata nyingi nini pale kijiwe cha Kahawa.
 
Mkapa amepata wapi ujasiri wa kusema haya? wakati katika kipindi cha uongozi wake alikuwa akiiendesha nchi hobela hobela nakubaliana na maelezo yako mkuu hapa chini
Rais mstaafu bEN MKAPA hana haki ya kumkejeli Rais Jakaya Kikwete, haya mamabo ya udini ni matunda ya serikalai ya awamu 3 chini yake, kosa la Kikwete ni kutokuchukua hatu kuzuia mwendelezo huo.

1. Rais Mkapa kama mwenyekiti wa CCM ndiye aliyeandaa ilani ya uchaguzi ya CCM 2005 yenye agenda ya mahakama ya kadhi huku akijua ni kuwagawa wananchi.
Hata Rais Kiwete aliwahi kujitetea mbele ya vyombo vya habari kuwa hahusiki.

2. Rais mstaafu Ben Mkapa ndiye aliyeratibu wizi wa mabilioni BOT /EPA ili kusaidia uchaguzi 2005.
3. Rais Mkapa ndiye aliyeuza viwanda mpaka majengo na ardhi kwa bei ya chee.
4. Baada ya diri hilo mwenyewe na mke wake wakajipatia mgodi wa makaa ya mawe wa kiwila.
5. Mkapa ndiye aliyeuza nyumba za serikali kwa bei ya nyanya nchi nzima.
6. Ni kweli alifanikiwa kuongeza mapatao lakini kwa viwanda alivyouza pesa iliyopatika ilikuwa ndogo sana

Mkapa aache usanii yeye ndiye chanzo cha matatizo yote.
 
Kuna taarifa kuwa Ikulu inahaha kusaka picha na sauti vilivyorekodiwa baada ya baadhi ya magazeti kumnukuu Mkapa akiponda Serikali ya JK wakati wa kusimikwa kwa Askofu Mpya kule Bukoba.Eti Mkuu wa Kaya haamini kama kilichoandikwa ndiyo ukweli na uwazi wa Ben

amini usiamini mzee mpaka alisema hivyo tena kwa kujiamini na hapa naomba nimnukuu kabla ajatoa kauli ya kuimponda serikali ya jk naomba niseme na ninasema kama rais mstaafu........... huku akishangiliwa na waumini.
 
Rais mstaafu bEN MKAPA hana haki ya kumkejeli Rais Jakaya Kikwete, haya mamabo ya udini ni matunda ya serikalai ya awamu 3 chini yake, kosa la Kikwete ni kutokuchukua hatu kuzuia mwendelezo huo.

1. Rais Mkapa kama mwenyekiti wa CCM ndiye aliyeandaa ilani ya uchaguzi ya CCM 2005 yenye agenda ya mahakama ya kadhi huku akijua ni kuwagawa wananchi.
Hata Rais Kiwete aliwahi kujitetea mbele ya vyombo vya habari kuwa hahusiki.

2. Rais mstaafu Ben Mkapa ndiye aliyeratibu wizi wa mabilioni BOT /EPA ili kusaidia uchaguzi 2005.
3. Rais Mkapa ndiye aliyeuza viwanda mpaka majengo na ardhi kwa bei ya chee.
4. Baada ya diri hilo mwenyewe na mke wake wakajipatia mgodi wa makaa ya mawe wa kiwila.
5. Mkapa ndiye aliyeuza nyumba za serikali kwa bei ya nyanya nchi nzima.
6. Ni kweli alifanikiwa kuongeza mapatao lakini kwa viwanda alivyouza pesa iliyopatika ilikuwa ndogo sana

Mkapa aache usanii yeye ndiye chanzo cha matatizo yote.

hata kama mzee mkapa katika historia yake ya oungozi hawezi kulinganishwa na jk
 
Back
Top Bottom