Eti kuambiwa 'Utawala Wa Kizazi Kipya....' ndio ishakua ngwa jamani..! Mi naona ndicho anachohangaika nacho, maana kama swala la kuharibu najua hawezi kushtuka maana anajua ukweli huu haufichiki.Dan08 umeona mkuu, waiweke hapa ili watu wapunguze majungu
Anazo mwigulusi amtafute Bukoba Boy..ana video zote
Watanzania mtanikumbuka! By Benjamin William Mkapa 2005
Rais mstaafu bEN MKAPA hana haki ya kumkejeli Rais Jakaya Kikwete, haya mamabo ya udini ni matunda ya serikalai ya awamu 3 chini yake, kosa la Kikwete ni kutokuchukua hatu kuzuia mwendelezo huo.
1. Rais Mkapa kama mwenyekiti wa CCM ndiye aliyeandaa ilani ya uchaguzi ya CCM 2005 yenye agenda ya mahakama ya kadhi huku akijua ni kuwagawa wananchi.
Hata Rais Kiwete aliwahi kujitetea mbele ya vyombo vya habari kuwa hahusiki.
2. Rais mstaafu Ben Mkapa ndiye aliyeratibu wizi wa mabilioni BOT /EPA ili kusaidia uchaguzi 2005.
3. Rais Mkapa ndiye aliyeuza viwanda mpaka majengo na ardhi kwa bei ya chee.
4. Baada ya diri hilo mwenyewe na mke wake wakajipatia mgodi wa makaa ya mawe wa kiwila.
5. Mkapa ndiye aliyeuza nyumba za serikali kwa bei ya nyanya nchi nzima.
6. Ni kweli alifanikiwa kuongeza mapatao lakini kwa viwanda alivyouza pesa iliyopatika ilikuwa ndogo sana
Mkapa aache usanii yeye ndiye chanzo cha matatizo yote.
Wewe ambaye maisha yamekushinda na kazi hutaki kufanya unaishia kuja kulialia mitandaoni ndiye mwenye IQ kubwa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
​Sheria zinazokidhi kulinda haki za binadamu zipo lakini hazitumiki! Huo ni udhaifu wa serikali!Kipindi kile serikali ya Mwalimu Nyerere(R.I.P.) ilikuwa inawapeleka vijijini na kuwafungia huko bila ya kuruhusiwa kutoka hao unaowaita wachochezi. Unataka na serikali ya dunia ya leo ifanye vivyo hivyo?
Bila shaka serikali hii ya leo ikifanya kama ile ya Mwalimu Nyerere wewe ndiyo utakuwa wa kwanza kulalamika serikali inakandamiza uhuru wa watu kujieleza.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kipindi kile serikali ya Mwalimu Nyerere(R.I.P.) ilikuwa inawapeleka vijijini na kuwafungia huko bila ya kuruhusiwa kutoka hao unaowaita wachochezi. Unataka na serikali ya dunia ya leo ifanye vivyo hivyo?
Bila shaka serikali hii ya leo ikifanya kama ile ya Mwalimu Nyerere wewe ndiyo utakuwa wa kwanza kulalamika serikali inakandamiza uhuru wa watu kujieleza.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Jamaa hamsahau imam Ibrahim Said.Kumtoa Baba wa taifa sasa ni Raisi gani bora tutakaye msifia? Au ni yule aliyezabwa vibao pale Msikitini
Hana haja ya kuhangaika kuprove kwa video. Kitendo cha Rais Mstaafu kwenda mahali na kuhutubia bila serikali kujua wala kutunza kumbukumbu ya kila alichokisema rais mustaafu KINAPROVE kuwa hiyo serikali ni ya KIBONGOFLEVA (kizazi kipya).Kuna taarifa kuwa Ikulu inahaha kusaka picha na sauti vilivyorekodiwa baada ya baadhi ya magazeti kumnukuu Mkapa akiponda Serikali ya JK wakati wa kusimikwa kwa Askofu Mpya kule Bukoba.Eti Mkuu wa Kaya haamini kama kilichoandikwa ndiyo ukweli na uwazi wa Ben
Ben nae aache unafiki yeye kama RAISI ndie aliemuweka madarakani JK sasa wa kulaumiwa ni yeye au JK.
Ni sawa na mwalimu anayelaumuwanafunzi wake kufeli
Infact Mwalimu ni wa kwanza kulaumiwa then wanafuata wanafunzi after an in depth analysis unless kama mwalimu alideclare toka mwanzo kuwa hawa madent wamenishinda otherwise yeye ni part ya lawama
Kila kizazi na teknologia yake. Teknologia aliyotumia Nyerere haiwezi kutumika leo. Lakini siku zote lengo linakuwa lile lile kupata utulivu kwenye jamii. Kinachhitajika ni ubunifu wa viongozi kwa kutazama mazingira yaliyopo.
hana haja ya kuhangaika kuprove kwa video. Kitendo cha rais mstaafu kwenda mahali na kuhutubia bila serikali kujua wala kutunza kumbukumbu ya kila alichokisema rais mustaafu kinaprove kuwa hiyo serikali ni ya kibongofleva (kizazi kipya).
Ila kikwete ana IQ ndogo sana,napata mashaka hata hiyo elimu yake sijui kama sio ya kununua.