Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,486
- 33,673
Unayoongea ni upuuzi mtupu.sera ya ubinafsishaji siyo ya mkapa ni ya mataifa yote makubwa kwa madogo.Swala la ardhi ebu ndugu yangu nenda kenya na uganda ukapate exposure uone kinachoendelea.mimi sioni kosa la mkapa kwani hivi vitu vilipofanyika ndo yeye alikuwa anashikilia nyadhifa zote?
Acheni kumwandama mkapa alifanya kazi kubwa na matokeo yake yanaonekana.aliijengea nchi heshima duniani sasa mnataka nini?
kujiuzia mgodi wa kiwira kwa laki saba nalo lilikua sahihi eeh.