Benard Membe: Tanzania hatuungi mkono Kenya kuwavamia Al-shabaab

CHADEMA bwana mnachekesha kweli, yaani waziri kaongelea mambo ya sheria ya ushoga ninyi mnatumbukiza mambo ya AL-shaabab ili mradi tu mpotoshe kuwa JK na mawaziri wake. Very stupids au kwenye ilani ya CDM hiyo imo nini manake nasikia mkuu wenu chakura
Sasa Mkuu hizi cheche vipi tena? Mbona hata kama amesingiziwa kuongea wewe unazidi kufanya watu watake kuamini. Wewe leta hoja yako vizuri pinga yaliyoelezwa thibitisha kuwa au ulikuwepo nk. ukasikia vinginevyo basi. Au toa source ya argument yako. Tafakari nguvu ya hoja vs. hoja ya nguvu!
 
CHADEMA bwana mnachekesha kweli, yaani waziri kaongelea mambo ya sheria ya ushoga ninyi mnatumbukiza mambo ya AL-shaabab ili mradi tu mpotoshe kuwa JK na mawaziri wake. Very stupids au kwenye ilani ya CDM hiyo imo nini manake nasikia mkuu wenu chakura

kwahiyo membe hawezi kusema mambo yanayohusu al shabaab?.kwa taarifa yako kasema.
 
Kumbe wewe uko humu kupotosha watu? Membe alichoongelea ni kuwa Tanzania haiungi mkono kauli ya Waziri mkuu wa Uingereza kwamba nchi za Afrika ziridhie sheria ya ndoa ya jinsia moja ili zipewe misaada. Acha uongo wako au wewe Shoga nini hutaki kusema hilo unaona unakatizwa starehe zako? watu wengine bwana

@sugu1, soma kichwa cha hii thread, pitia comments za watu hapa ndio utoe mchango. Achana na hii obssession ya ushoga kama unataka kuongelea ushoga kuna thread nyingi kwenye hiyo topic zitafute, hapa watu wanajadili kauli ya Membe kuhusu Kenya kupambana na Al-Shaab. Pay attention to what is written before banging on your key board.
 
Tatizo letu kubwa ni kuona kila jambo tunaweza kulijadili kutumia ujanja ujanja, hii sio kweli. Kenya kuivamia Somalia kwa sheria za kimataifa bado haliko wazi sana kwa kuzingatia hali ya Soamalia.

Kwa kawaida hairuhusiwi nchi yoyote kuvamia nchi nyingine ambayo ina uongozi halali (sovereign state) unless kama kutakua kuna ukeukaji wa haki za binadamu wa kupendukia. Hilo linaweza kufanyika chini ya mwavuli wa (human security). Sasa ukiangalia Somalia ilivyo sasa unaweza ukaiingiza ktk group ima la sovereign state au failed state. Inawezekana muheshimiwa waziri alilizingatia moja ktk hayo na ndio maana akafika ktk such conclusion. Siasa ni somo maalum sio kitu ambacho kila mmoja anaweza kajadili na akapatia.
 
Kenya wanataka pesa tu,Kenya ni mabepari waliobobea ukanda wa EA.Hivyo kujitutumua ni lazima.Pakistani walitumia opportunity kama hiyo vs Alkaeda,walikuwa wanatafuna mabilioni ya dola kila mwaka,na pia nadhani bado wanaendelea kufanya hivyo.
Ubepari unahitaji kuwa very aggressive.
 
Benard Membe amesema haungi mkono kenye kuivamia Somalia kwa kile wanachosema kutafuta magaidi ya al shabaab.anasema hajui malengo ya kenya ni yapi katika kuivamia somalia.mia

Kauli hiyo ya Membe imetolewa wapi? Tunaomba source. Au mlikutana faragha? Maana msimamo wa Serikali ya Tanzania unajulikana kuwa ni kuumba mkono mpango wa Kenya kuwatafuta al Shabaab ndani ya Somalia. Kuna mtu hapa amenukuu vizuri kuwa hata Rais alikutana na Rais Kibakii na kumhakikishia hilo. Yoyote mwenye kufuatilia masuala ya Usalama ya kikanda hata bila kumsikia Membe anaweza kuelewa tishio la al Shabaab kwa kenya na ukanda wa Afrika mashariki na kwa nini Kenya walivalie njuga. Katika nchi inayoathirika kwa mstari wa mbele ni kenya kwa maana ya fedha haramu, wakimbizi, utapakaaji silaha (proliferation), vitendo vya kidnapping etc. Haihitaji kwenda shule kuelewa kwa nini Kenya iko Somalia kwa sasa. Hata ukienda pale mambo ya NJE na kumuuliza mlinzi ataweza kukufafanulia hili.
 
CHADEMA bwana mnachekesha kweli, yaani waziri kaongelea mambo ya sheria ya ushoga ninyi mnatumbukiza mambo ya AL-shaabab ili mradi tu mpotoshe kuwa JK na mawaziri wake. Very stupids au kwenye ilani ya CDM hiyo imo nini manake nasikia mkuu wenu chakura
Uwezo wako wa kufikiri una matatizo. Hivi hakuna jambo linaloweza kujadiliwa humu bila kuwepo hoja za kukera kama zako? CHADEMA wanahusikaje hapa? Lete uthibitisho kuwa Membe hakuzungumzia Al Shabab. Vinginevyo si lazima sana kuchangia kila thread humu. Anzisha thread yako ya kupongeza upuuzi wenu na utapata wapuuzi wenzio wa kuchangia.
 
Wewe unapelekwa pelekwa tu unakubali, namna gani humu JF, una uhakika Membe kaongelea Mambo ya AL-Shabaab leo? Kasema TZ haiungi mkono ndoa za jinsia moja. Acheni mambo ya upotoshaji hata katika mambo ambayo viongozi wa kitaifa wanaongelea kwa maslahi ta Taifa
Wewe mbona unamtetea sana membe baba yako au? Mana mishipa imekutoka mpaka unataka kulia au umetumwa wewe kibalaka au na wewe sembe nyama.
 
Sishangai Membe kupinga hatua ya Kenya kuwashughulikia Al-Shabab, kwa sababu kuna wanaCCM ambao wana masilahi na Al-Shabab, Kumbuka jinsi kamanda Kova alivozuia maandamano ya kupinga malipo ya Dowans kwa kisingizio cha kushambuliwa na Al-Shabab, ninahisi Dowans ni partners wa Al-Shabab na kwa maana hiyo kuna baadhi ya viongozi ambao wanafaidika na ujambazi wa Al-Shabab, rejea kauli zenye utata mara lilipotolewa tamko la kutaka Dowans ilipwe. Wapo wakubwa waliosema haikwepeki kuwalipa, wapo waliosema kulipa ni lazima na kauli nyingine nyingi kama hizo, lazima tufanye kitu kuokoa nchi hii.
 
Benard Membe amesema haungi mkono kenye kuivamia Somalia kwa kile wanachosema kutafuta magaidi ya al shabaab.anasema hajui malengo ya kenya ni yapi katika kuivamia somalia.mia

Bush Jnr alitusaidia kwenye hili pale aliposema ya kuwa............................you are either with us or you are with terrorists............membe achague yupo upande upi wa magaidi au wa Kenya na EAC...................make your choice you loser..............
 
yaani magaidi wasipigwe kisa membe anataka sapoti ya waislam kwenye harakati zake za kuvizia kuingia ikuluu? gi me a break!
 
Huyu tulishamzoea. Si alisema kwa mbwembwe kuwa hawatamruhusu DJ mhuni aliyepindua serikali waliyokuwa wanaipenda wao kutawala nchi ya Madagascar. Ninachojua mpaka sasa yule DJ mhuni kwa jina la Andry Rajoelina bado ni rais wa Madagascar na sijawahi kusikia Membe akitueleza walipofikia kuhakikisha kuwa tambo zake zinafanikiwa.
 
Benard Membe amesema haungi mkono kenye kuivamia Somalia kwa kile wanachosema kutafuta magaidi ya al shabaab.anasema hajui malengo ya kenya ni yapi katika kuivamia somalia.mia
Katika hili NATOFAUTIANA NA MEMBE.
Ni sawa na sisi wakati ule kushambuliwa na Idi Amin halafu kuishia mpakanni Kyaka.
Kung'oa mzizi wa fitna piga hao Al Shabab mpaka Mogadishu ili wasirudi tena kiurahisi.
Tunashindwa kuelewa mantiki ya msimamo huu kwa sababu hawa wasomali wanakuja kuteka nyara hadi Mafia.
Membe you should know better.
Inawezekana kabisa kuwa kama fellow East Africans hatukuwa consulted lakini ulinzi wa nchi husika ni mwenye nchi anajua.
 
Membe ana habari kuwa boss wake - Rais Kikwete alimwambia Rais Kibaki (uso kwa uso) kuwa Tanzania inaunga mkono harakati za Kenya kupambana na al-Shaabab? Unless Membe alikuwa anaongea kwa nafsi kitu ambacho sidhani lakini hii inaonesha ni jinsi gani Tanzania imekuwa nchi isiyosimamia chochote.

Very disapointing; hatujui tunataka nini...
 
Tatizo letu kubwa ni kuona kila jambo tunaweza kulijadili kutumia ujanja ujanja, hii sio kweli. Kenya kuivamia Somalia kwa sheria za kimataifa bado haliko wazi sana kwa kuzingatia hali ya Soamalia.

Kwa kawaida hairuhusiwi nchi yoyote kuvamia nchi nyingine ambayo ina uongozi halali (sovereign state) unless kama kutakua kuna ukeukaji wa haki za binadamu wa kupendukia. Hilo linaweza kufanyika chini ya mwavuli wa (human security). Sasa ukiangalia Somalia ilivyo sasa unaweza ukaiingiza ktk group ima la sovereign state au failed state. Inawezekana muheshimiwa waziri alilizingatia moja ktk hayo na ndio maana akafika ktk such conclusion. Siasa ni somo maalum sio kitu ambacho kila mmoja anaweza kajadili na akapatia.

umepost pumba tupu!
 
Benard Membe amesema haungi mkono kenye kuivamia Somalia kwa kile wanachosema kutafuta magaidi ya al shabaab.anasema hajui malengo ya kenya ni yapi katika kuivamia somalia.mia
Ulitegema nini kutoka kwake!!!
 
Sheria za kimataifa zinaruhusu nchi kumtafuta popote pale mtu au kikundi cha watu kinachohatarisha usalama wa Taifa lake. Haiwezekani adui aje akushambulie nchini mwako halafu anarudi nyuma km 2 eti kwa vile hayupo nchini kwako ukamwacha kwa kuogopa kuingia katika nchi nyingine eti unavunja sheria za kimataifa. Tulimfanya hivyo hivyo Amini - aliingia kwetu, tukampiga akiwa ndani ya nchi, na alipokimbilia nchini Uganda tulimfuata na kumtandika ndani ya nchi yake. Marekani walifanya hivyo hivyo Afghanstan. Waisrael walifanya hivyo hivyo katika kuwaokoa mateka wao nchini Uganda.

Al Shabaab wameingia Kenya, wameteka watu, wameua, halafu wanakimbilia nyumbani kwao Somalia, unataka Kenya wawaache? Kenya wapo sahihi wawatafute popote walipo, iwe ni ndani ya Somalia au hata kama ni ndani ya Tanzania, tusaidiane nao kuwamaliza Al Shabaab.
 
Benard Membe amesema haungi mkono kenye kuivamia Somalia kwa kile wanachosema kutafuta magaidi ya al shabaab.anasema hajui malengo ya kenya ni yapi katika kuivamia somalia.mia
benard alituuliza tukampatia msimamo wetu kuhusu al shabaab?
 
Mnashangaa nini kwa Membe kutoa kauli hii wakati ni rafiki mkubwa wa Rage na Rage ni al-Shabab?
 
Jamani kwani hamjui kuwa Mkurugenzi Mkazi wa Al-shaabab hapa Tanzania ni kiongozi muandamizi wa CCM?
 
Back
Top Bottom