Kwahiyo JK huwa hawasiliani na mawaziri wake?
Sina La kuongeza Mnafiki sana na anaiadhirisha nchi hamkumbuki alivyosema mabalozi wanatoa Pesa chadema ili wafanye fujo alivyosutwa akakna wakati records zilikuwepokuanzia kuongea, jinsi anavyotembea, akiongea kwa ishara hadi anavyopepesa kope.....membe amejaa unafiki mkubwa sana.....
Inanikumbusha zamani katika gazeti la Sani kulikuwa na katuni moja ya "Swali Moja Majibu KemKem"... Je Tanzania inaunga mkono Kenya kuingia Somalia kuwasaka Al-Shaabab?[/QUOTE]
I am afraid to day -it depends who you ask!
MMJ wakati Libya ndio mambo yanapamba moto Membe aliulizwa msimamo wa Tanzania akajibu hivi "we are lying low". Kwangu mimi hii response niliiona kama blockbuster maana haiwezekani Taifa litangaze kuwa 'linajificha'! I just hope he is still lying low maana NTC are in charge!
Membe ana habari kuwa boss wake - Rais Kikwete alimwambia Rais Kibaki (uso kwa uso) kuwa Tanzania inaunga mkono harakati za Kenya kupambana na al-Shaabab? Unless Membe alikuwa anaongea kwa nafsi kitu ambacho sidhani lakini hii inaonesha ni jinsi gani Tanzania imekuwa nchi isiyosimamia chochote.
Mtoto si riziki wewe. Waziri Membe kasema Tanzania haikubaliani na ushoga, sasa wewe hayo ya AL-Shaabab yametoka wapi?Benard Membe amesema haungi mkono kenye kuivamia Somalia kwa kile wanachosema kutafuta magaidi ya al shabaab.anasema hajui malengo ya kenya ni yapi katika kuivamia somalia.mia
Kumbe wewe uko humu kupotosha watu? Membe alichoongelea ni kuwa Tanzania haiungi mkono kauli ya Waziri mkuu wa Uingereza kwamba nchi za Afrika ziridhie sheria ya ndoa ya jinsia moja ili zipewe misaada. Acha uongo wako au wewe Shoga nini hutaki kusema hilo unaona unakatizwa starehe zako? watu wengine bwana
Kama ni kweli, na rudia tena kama ni kweli kayasema haya, basi David Cameroon hakukosea kuwapa viongozi wetu shariti la kuutambau ushoga ili kupewa misaada. Kwani alishatambua kuwa tunawakilishwa na viongozi mashoga walioshindwa kujiweka wazi mbele ya jamii inayo pinga ushoga. Hivi huu utaupa jina gani tena? kama si ushoga?
Mtoto si riziki wewe ndiyo maana hutaki Muongelewe mashoga humu. Nenda uingereza ndiko kuna kufaa wewe. Conservative si supporter wenu. Hizo ndo sera zao wahi upate mchumbaakili zako na za membe sawasawa.
kwetu membe ni jina la kike.
Kazi kweli kweli hapo. Wanakoelekea hawatoaminika kwa chochote.
Unajua kuwa na rais ndumilakuwili ni tabu kwelikweli! Membe hawezi kutoa kauli hiyo peke yake bila kujadiliana na rais. Tunaye rais hatari sana! Anaendesha siasa za kuuma na kupuliza! Akiwa nchini kwake Al-shaabab ni maswahiba wake wakubwa wa kisiasa. Lakini akitoka tu nje ya Tanzania akiwa na bakuli la kuombaomba, anajivua gamba... lugha yake inabadilika... na Al-shaabab wanageuzwa kuwa maadui zake wakubwa.Membe ana habari kuwa boss wake - Rais Kikwete alimwambia Rais Kibaki (uso kwa uso) kuwa Tanzania inaunga mkono harakati za Kenya kupambana na al-Shaabab? Unless Membe alikuwa anaongea kwa nafsi kitu ambacho sidhani lakini hii inaonesha ni jinsi gani Tanzania imekuwa nchi isiyosimamia chochote.
na ndo yamekuja majibu kemkemInanikumbusha zamani katika gazeti la Sani kulikuwa na katuni moja ya "Swali Moja Majibu KemKem"... Je Tanzania inaunga mkono Kenya kuingia Somalia kuwasaka Al-Shaabab?