Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
Huyo mbeba sumu anamfata Zitto huko huko aliko akammalize? au?

Huyo akibaki chadema au hata ahamie wapi hana impact yoyote. Huyo na anaejiita Yericko Nyerere mimi nawaona wapiga porojo tu, hawana zaidi, porojo zao zinaanzia na kuishia JF.
 
Last edited by a moderator:
Kwenye siasa uadui wa visasi haupo. Kikubwa tu ni yeye Ben kufanya kile roho yake inapenda. Sina hakika na furaha aliyonayo ndani ya Chadema kwa sasa based on series of events, lakini hata mimi simwoni kuwa ni mtu mwenye furaha na Chadema

Alijishtukia baada ya ile saga ya Zitto,maana kwa akili ya kawaida lazima ajishtukie huwezi ukawa kwenye kambi ya usaliti halafu unaihribu kambi,then unarudi ulipokuwa awali halafu wakuamini?yeye mwenyewe ashajishtukia kuwa haaminiki Chadema
 
Hawa watu tunawajua fika!!! Unajua kabisa akianza anaishia pale!!! Unafahamu fika akianza ongea baada ya sentensi ya tatu ataongea nn au atahamia kwenye dhana gani....

Ubaya wao hushindana na ukweli wakiuita uongo then huja uthibitisha wenyewe baada ya muda!!!!

Ayatollah alipinga kwa muda ati yeye si msaliti na alikataa kuwa hatoenda ACT ingali akiwa CDM sasa chakushangaza ni kukimbilia mahakamani kuokoa uanachama wake wakati tayari ameanzisha chama.

Anakataa si msaliti ilhali anakiri kuanzisha chama chenye umri Wa karibia mwaka ambapo yeye alikua bado kiongozi Wa CDM....

Hawa watu ni upuuzi mtupu!!!!

Great thinker.
 
siasa za Tanzania wanazijua watanzania wenyewe...
 
Kwenye siasa uadui wa visasi haupo. Kikubwa tu ni yeye Ben kufanya kile roho yake inapenda. Sina hakika na furaha aliyonayo ndani ya Chadema kwa sasa based on series of events, lakini hata mimi simwoni kuwa ni mtu mwenye furaha na Chadema

Very true indeed.
 
Huyo mbeba sumu anamfata Zitto huko huko aliko akammalize? au?

Huyo akibaki chadema au hata ahamie wapi hana impact yoyote. Huyo na anaejiita Yericko Nyerere mimi nawaona wapiga porojo tu, hawana zaidi, porojo zao zinaanzia na kuishia JF.

Porojo zao zinamzidi mshikaji wako Wa Msoga?
 
Last edited by a moderator:
Walitoka wengi na wameingia mamilioni achilia mbali wanaoiunga mkono cdm kimyakimya.Ni haki yake kwenda popote lakini zaidi ya mitandaoni hajulikani kama ni mwanasiasa.Karibuni kwenye mkutano hapa Magu tukiwa na makamanda Manase Bussa, Renatus Pamba, Janeth Rite jioni ya Leo.People'zzzzzzzzzz
 
Alijishtukia baada ya ile saga ya Zitto,maana kwa akili ya kawaida lazima ajishtukie huwezi ukawa kwenye kambi ya usaliti halafu unaihribu kambi,then unarudi ulipokuwa awali halafu wakuamini?yeye mwenyewe ashajishtukia kuwa haaminiki Chadema

Amini usiamini mkuuu, ni pigo kubwa sana kumpoteza kijana makini kama Ben Saanane hapa ni lazima tujitafakari.
 
Last edited by a moderator:
Alijishtukia baada ya ile saga ya Zitto,maana kwa akili ya kawaida lazima ajishtukie huwezi ukawa kwenye kambi ya usaliti halafu unaihribu kambi,then unarudi ulipokuwa awali halafu wakuamini?yeye mwenyewe ashajishtukia kuwa haaminiki Chadema

Kwa sasa sio muda wa kuongea mengi sana, tusubiri.
 
Mkuu Pasco nahisi unaelekea kuaibika.

Usimgarantii mwanasiasa hata siku moja. Utaumbuka!!

Nawewe je tukuite mbea!!?? maana Ben hajatamka analokusudia wewe na mbea mwenzio King kong
mmejuaje kuwa ni kuhamia ACT, mnajuaje labda anatangaza nia ya kuoa!!!
 
Ninamwamini Ben Saanane popote atakapokwenda, ana uwezo mkubwa sana tatizo hakuwahi kupewa nafasi popote aonyeshe uwezo wake, BAVICHA walimfanyia hila sana kumuengua,kwenye uchaguzi kimazabe na kwa yeyote mwenye akili timamu alielewa kwamba that was unfair, kwakuwa sasa tuliamua,kumpoteza wenyewe basi tusimuhukumu tumuache aende sehemu nyingine kupata platform ya kuonesha uwezo wake kisiasa japokuwa am intensively doubt kama ACT ni mahali patakapomfaa, sababu ACT ni tawi la CCM kwa ajili ya kuuwa upinzani.

Ben Saanane if you real read me, please nenda nccr-Mageuzi patakufaa sana kinyume na hapo bakia tu CHADEMA (The home of liberation) tuendeleze mapambano ili hali chama chetu kina viongozi makini kama Mbowe na Dr.Slaa basi mapambano ni lazima yaendelee.

Upo tofauti na bavicha wenzako humu, uwa unafikiria nje ya box pia.Japo wakati mwingine mapenzi yanakutawala.
 
Last edited by a moderator:
Kama ben saa nane atakwenda act, zitto awe makini. Siwezi kumuamini huyu kijana kamwe! Huenda anakwenda act kwa mkakati maalumu! Believe me.
 
Mzalendo KALINZI NYUMBANI huo ndio ukweli whether you take or leave it, ACT si chama sahihi kwa mwanasiasa yeyote anayejitambua, chama chenu hakina direction ya kiitikadi, kifalsa hata kimsimamo pia, haieleweki kinapigania nini na wapi, viongozi wake wana uelewa mdogo sana wenye siasa za chuki na visasi wengi wao nawafahamu fika na baadhi yao nimewahi kuishi nao mbali tu na maisha ya kisiasa bali hata maisha ya kawaida,
Hebu angalia watu kama Msafiri Mtemelwa, Kansa Mbarouk na Shaban Mambo kweli hawa ni viongozi au utani? Sifa kuu ya hawa jamaa ni ubishi tu, tatizo wao wanadhani ubishi ni upinzani Hapana, upinzani ni hoja kinzani. Nawapa pole vijana wote walioweka matumaini kwa chama cha ACT walahi ipo siku watarudi huku wakijutia maamuzi yao. PERIOD
Mkuu labda nikwambie kitu kimoja tu,Subiri bunge livunjike halafu urudi kuangalia huu ushauli ulio mpa Ben ulikuwa sahihi au la!.Mimi naamini kabisa kama atakuwa ameamua kujiunga na chama chetu ACT ni uamuzi sahihi mana siioni future ya NCCR Mageunzi nje au ndani ya UKAWA.Ukizingatia NCCR huwa kwa kiasi kikubwa inategemea majimbo ya mkoa wa kigoma.Inawezekana kabisa hata hao wabunge unawaona NCCR baada ya Bunge kuvunjika usiwaone huko kabisa.Kuhusu viongozi wa ACT hilo siwezi kulizungumzia mana Chama bado kidogo sana na inaonekana rasilimali watu ni dogo sana.
 
Last edited by a moderator:
Kwenye safari ya wapiganaji wachumia tumbo hawafiki mbali
 
Amini usiamini mkuuu, ni pigo kubwa sana kumpoteza kijana makini kama Ben Saanane hapa ni lazima tujitafakari.

Huwezi kujua kilicho nyuma ya pazia,Ben hana uongozi wowote chadema that means kuna grains zilishaonekana na siyo wa kuaminika kumpa nafasi kubwa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu lusungo nakumbuka that day ulivyomwambia Ben mimi nilikuwa miongoni mwa waliokupinga vikali kwa kauli yako kumbe to some extent ilikuwa na chembe ya ukweli fulani.

Ben if u read me, usiende ACT kamanda, utapoteza heshima yako sana na unaweza kuwa ndiyo mwisho wako, Ushauri tu nenda hata Nccr-Mageuzi kuna siasa safi na sio hizi za ACT kutwa kupambana na CHADEMA chama kilichobeba matumaini ya wengi.

Ben ni kijana mwenye maono na mwenye nia ya kufikisha harakati zake mbali, tatizo la NCCR ni chama domant, kimeridhika kilipo, ndio maana husikii mikutano wala makongamano ya NCCR zaidi ya ziara za Mwenyekiti wao kwenye jimbo analotafuta ubunge.

Ben sio mtu wa kuridhika na mafanikio kidogo, na kama akienda NCCR ataishia kukosana na waliopo pale, maana ni energitic na hawezi kukaa domant kama wanavyokaa pale NCCR, maana kwa NCCR wao wamesharidhika na nafasi yao katika upinzani, chama chini ya vyama vingine.

Kwa sasa nje ya Chadema, ni ACT ndio ina ambition za kufika mbali, na ni timu yenye ambition kubwa tu ndio inamfaa Ben Saanane.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom