Ben Saanane awatoa Mafichoni Zitto na wenzake

Status
Not open for further replies.
Hivi ZZK hao waasi kwanini wasihojiwe na akina marando na prof safari (kamati ya cdm) ili tujue ukwel wa mambo? Ikibainika wafukuzwe waanzishe chama lao bana! We are tired of this dirty politics badala ya watu kuongolea namna ya kutoa ccm,we are discussing about saa8,zzk,mamuya'mwampamba,na huyo mwanamke! Its a non sense discussion we r makin! Hebu tuwe tunajadili vitu ambavyo ni critical jaman! Daily post is just abt these guys, why lakini?
 
Kama wanaoitwa vijana wasomi wameonekana watupu kabisa katika ufunuo huu wa mission PM7, nadiriki kusema basi Wazee ni hazina kubwa sana kwa Taifa hili.

Ben Saanane katika sakata hili kacheza shere kwa ustadi wa hali ya juu sana. Naweza kumfananisha na Danovan (Founder wa FBI) au Edgar Hoover (The long served CIA Director) katika espionage missions za USA.

J Edgar Hoover was a Director of FBI not CIA .FBI do investgation not espionage.
 
J Edgar Hoover was a Director of FBI not CIA.
The names and titles were unintentionally interchanged in writing. Thank you

..FBI do investigation not espionage.
What came to be known as FBI, in 1940s was involved in developing tools for spying and carrying special intelligence missions under the name "Office of Strategic Services (OSS)". The most significant outputs of OSS include ways to control human mind (through amnesia, hypnosis, "Aunt Jemima", etc). But as you said, later these functions were taken-over by CIA as there was unnecessary duplication of functions between FBI (Former OSS), CIA and other organs (Army, Navy, Air force).
 
Ben Saanane Mwenyewe ni maliti na hilo amelikiri kwa hiyo anachotaka ni kujiosha tu hapa ili tumuone kwamba ni msafi yani huyo naye ni msaliti tu aoswe.

Usaliti wa Ben Saanane unategemea umeegemea upande gani kati ya Haki na Usaliti. Endapo utaegemea kwenye haki utagundua kuwa Ben sio msaliti bali alikuwa anafanya kazi mbili, mosi "to serve the nation" mbili " to build the country". Ukitazama namna Ben anavyotoa ushahidi utagundua kuwa kijana alikuwa na rasilimali zote kwa kazi yake, maana waliomtuma hiyo kazi walitaka ushahidi pia, sawa sawa na watuhumiwa ambao kwa kawaida ya uzao wa Adamu wangekana na kung'ang'ania wapewe ushahidi, hali hiyo ingelichimba jukwaa la JF.

Ukimtazama Ben kwa jicho la usaliti utaona kweli amewasaliti wenzake ambao kimsingi hakuwa pamoja nao tokea awali...hey maneno yameisha...btw inahitaji ujasiri sana kumwita Ben ni msaliti kwenye hili picha.
 
Zito Zuberi Kabwe ni moja kati ya viongozi ambao ni nguzo ya CHADEMA Nyie magamba mnaojifanya mnauchungu na chama wakati mmetumwa kuvuluga chama kwa kumpinga Zito mlaaniwe na mfie mbali.
 
Ben we ni noma tunahitaji vijana kama hawa watakawo weza kulisaidia taifa lao big up men masalia kwishney
 
Embu tujiulize Haya maswali tuache ushabiki.

1-Kama Zitto hashirikiani na saanane kwanini akawa na mawasiliano nae tena kumpongeza kwa kazi nziri ya kumchafua slaa na mbowe jf?
2-kwanini wote wanaomtetea ndio hao hao masalia na wanawakadhifu mbowe na slaa yeye anawapongeza badala ya kuwakataza?
3-kwanini akubali kuitwa rais wakati Anajua sio kweli?
4-Kama saa nane alitaka kumuua je alimripoti kituo gani? Mbona kwenye ujumbe wa SMS anampongeza??
5-Kama zitto hamjui saa nane, hapo hapo ampongeze na Kuwa na mawasiliano nae??
6-Kama Zitto anadai saanane ni pandikizi na ana nia ya kuivuruga cdm je alimripoti kwa nani? Viongozi? Kamati au??? Zitto Hana utetezi kwa hili na Nina amini Hana ujanja wa kujitoa kwenye hili maana hata Hii movie kaicheza kihindi sana only fool can play this game... Tunataka uombe msamahaa hadharani na ukiri kutokurudia kwenye social media zote twitter, Facebook, jamiiforum etc. Na ndipo Chama kikufikirie na ili ufanikiwe ndoto zako japo utachelewa sana nakushauri uwe wazi ukweli utakuweka huru na kuondoa maswali mengi mfano unaweza ukasema.

Jamani Watanzania na Viongozi wenzangu, Mimi nilishawishika kuamini cdm ni Chama cha dini ukanda however ndio maana nikaamua kumwaga Mboga ila baada ya kubaini ni propaganda nimeacha mpango huo na kuonyesha uaminifu wangu naachia nyashifa zangu ili Chama kiridhie upya Uwepo wangu na sontachukua kadi ya Chama chochote Bali niko tayari kuwapa makamanda ushirikiano Kama wanachama wengine ni uongo mdogo ila unaweza kukuweka sehemu nzuri kuliko Kuwa mbishi au kuhama Chama jiuzulu kabla hujafukuzwa Utakuwa salama zaidi



By Bill
6. Kwa nini Zito atangaze nia ya kugombea Urais 2010 wakati akijua Chadema inamgombea ambaye alikuwa ni Dr. Slaa?
7. Kwa nini Zito atangaze kugombea urais mapema namna hii (2012) wakati wenzake wapo kwenye harakati za kujenga Chama?
8. Kwa nini Zito awe karibu kiasi kile na Usalama wa Taifa wanaoshughulikia siasa?
9. Kwa nini ......

10.....Zitto.

Wenye mitizamo ya mbali tulishamwona huyu mtu lakini kuna waliokuwa wanamtetea eti ni shujaa. Niliandika kwa hasira hapa (https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/301312-zitto-tena-kachafua-hali-ya-hewa-bungeni.html).

Nikamalizia kwa kusema: Kweli sasa tunaaamini, kazi ya double agency ni ya kipuuzi sana maana ni ya kutekeleza kile usichoamini na kuamini kile usichotekeleza! Zitto hawezi kuaminika tena katika jamii ya wasema kweli.

Yaani Zitto si suala tu la usaliti siku zijazo tutagundua kuwa sisi tulimpenda sana lakini Mafisadi walimpenda zaidi na yeye akawachaguwa wao. Jina la mafisadi lilaaniwe!!
It is a big shame mtu mwenye elimu yake na matumaini tuliyokuwa nayo anaanza kuhusishwa na Ushirikina, usaliti na kuwatetea mafisadi!! Hii inaniuma sana, sasa najiuliza kuwa kama Zitto kafanya haya? HIVI TUNAWEZAJE KUAMINI KUWA HIVI VYAMA VYA UPINZANI NI VYA UKWELI? KWAMBA SI MAPANDIKIZI YA KUZUGA WANANCHI?
 
zitto najua hizi thread unazisoma sana na kwa umakini sana naunajua haya yazungumzayo unayajua fika na kuna mengine ya jayo ambayo am more than sure u a fighting more than hard to shut and lower down the sources but that will never help o put you out of this piece of advice blow out all that pp ar waiting for before its too late
 
wote wanaoleta mada za Bavicha na pm7 na habari za chama hapa JF ni wasaliti na wapumbavu sana hakuna vikao vya chama??
 
Kwa akili za mnafiki zilivyo ni lazima atarudia unafiki wake tu ahachi asili yake,hivyo basi hiki kisaa8 kifukuzwe pia kwanini kila harakati yeye ni mwanzilishi? alafu anatafuta watu wa kushirikiana nao? Nasema pumbavu sana watu wa aina hii ,hatuwataki ni vibaya sana.vinatumia uwezo wao wa kujipendekeza kila maali ili apate mkate wa kila siku.Haiwezekani kila harakati ukisikia alianzisha Saa8 akasema hivi na hivi.....,.ni upuuzi uliopitiliza kumuacha huyu kidudu mtu.
 
Kwa akili za mnafiki zilivyo ni lazima atarudia unafiki wake tu ahachi asili yake,hivyo basi hiki kisaa8 kifukuzwe pia kwanini kila harakati yeye ni mwanzilishi? alafu anatafuta watu wa kushirikiana nao? Nasema pumbavu sana watu wa aina hii ,hatuwataki ni vibaya sana.vinatumia uwezo wao wa kujipendekeza kila maali ili apate mkate wa kila siku.Haiwezekani kila harakati ukisikia alianzisha Saa8 akasema hivi na hivi.....,.ni upuuzi uliopitiliza kumuacha huyu kidudu mtu.

Rudi darasani kajipange upya.
 
Zito Zuberi Kabwe ni moja kati ya viongozi ambao ni nguzo ya CHADEMA Nyie magamba mnaojifanya mnauchungu na chama wakati mmetumwa kuvuluga chama kwa kumpinga Zito mlaaniwe na mfie mbali.

Na we pia ulaaniwe ambaye unawatetea waasi PM7 na baba yao PREZZO.
 
Kwa akili za mnafiki zilivyo ni lazima atarudia unafiki wake tu ahachi asili yake,hivyo basi hiki kisaa8 kifukuzwe pia kwanini kila harakati yeye ni mwanzilishi? alafu anatafuta watu wa kushirikiana nao? Nasema pumbavu sana watu wa aina hii ,hatuwataki ni vibaya sana.vinatumia uwezo wao wa kujipendekeza kila maali ili apate mkate wa kila siku.Haiwezekani kila harakati ukisikia alianzisha Saa8 akasema hivi na hivi.....,.ni upuuzi uliopitiliza kumuacha huyu kidudu mtu.




Anal thinking
 
Ben amekuwa hero ghafla?

Hahahahhaaa.....kwakuwa amekuwa panya wa kwanza kutoka shimoni huku akipiga kelele kwamba kuna panya wengine waharibifu kuliko yeye inamfanya kuwa panya jasiri.......hii ni ndoto.

Wote wasaliti wakubwa hawa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom