Embu tujiulize Haya maswali tuache ushabiki.
1-Kama Zitto hashirikiani na saanane kwanini akawa na mawasiliano nae tena kumpongeza kwa kazi nziri ya kumchafua slaa na mbowe jf?
2-kwanini wote wanaomtetea ndio hao hao masalia na wanawakadhifu mbowe na slaa yeye anawapongeza badala ya kuwakataza?
3-kwanini akubali kuitwa rais wakati Anajua sio kweli?
4-Kama saa nane alitaka kumuua je alimripoti kituo gani? Mbona kwenye ujumbe wa SMS anampongeza??
5-Kama zitto hamjui saa nane, hapo hapo ampongeze na Kuwa na mawasiliano nae??
6-Kama Zitto anadai saanane ni pandikizi na ana nia ya kuivuruga cdm je alimripoti kwa nani? Viongozi? Kamati au??? Zitto Hana utetezi kwa hili na Nina amini Hana ujanja wa kujitoa kwenye hili maana hata Hii movie kaicheza kihindi sana only fool can play this game... Tunataka uombe msamahaa hadharani na ukiri kutokurudia kwenye social media zote twitter, Facebook, jamiiforum etc. Na ndipo Chama kikufikirie na ili ufanikiwe ndoto zako japo utachelewa sana nakushauri uwe wazi ukweli utakuweka huru na kuondoa maswali mengi mfano unaweza ukasema.
Jamani Watanzania na Viongozi wenzangu, Mimi nilishawishika kuamini cdm ni Chama cha dini ukanda however ndio maana nikaamua kumwaga Mboga ila baada ya kubaini ni propaganda nimeacha mpango huo na kuonyesha uaminifu wangu naachia nyashifa zangu ili Chama kiridhie upya Uwepo wangu na sontachukua kadi ya Chama chochote Bali niko tayari kuwapa makamanda ushirikiano Kama wanachama wengine ni uongo mdogo ila unaweza kukuweka sehemu nzuri kuliko Kuwa mbishi au kuhama Chama jiuzulu kabla hujafukuzwa Utakuwa salama zaidi
By Bill
6. Kwa nini Zito atangaze nia ya kugombea Urais 2010 wakati akijua Chadema inamgombea ambaye alikuwa ni Dr. Slaa?
7. Kwa nini Zito atangaze kugombea urais mapema namna hii (2012) wakati wenzake wapo kwenye harakati za kujenga Chama?
8. Kwa nini Zito awe karibu kiasi kile na Usalama wa Taifa wanaoshughulikia siasa?
9. Kwa nini ......
10.....Zitto.