Ben Saanane awatoa Mafichoni Zitto na wenzake

Ben Saanane awatoa Mafichoni Zitto na wenzake

Status
Not open for further replies.
Hakuna mwenye ubavu wa kumfukuza Zitto CDM, mbowe na Slaa wote wanamhara jamaa.


Afande vipi kumbe na nyie ni wanasiasa??? Kwa taarifa yako Zitto hutomsikia tena bungeni kupitia Chama chochote Iwe ccm, cdm chauma au ccj. Mark my word.
 
Nimeshindwa ku komenti chochote mpaka sasa.

mkuu elewa majasusi sio kwamba ni wasaliti ongeza ufahamu wako kwa mambo ya wanaitelejensia wanavyokuwa sehemu hata ya tatizo ili kulitatua kama asingetupa proof ya wahusika wakina mods ungekuta wamefuta threads na pia chama kisengesema kinaridhia january kikao
elewa pia angekaa kimya shutuma kwa viongoz na chama zingeendelea jiulize anzia juz huku jamvini umeona mashambuliz kwa chama tena na waibuke wengine au waje na plan B
 
9. Na kwa nini ashinikize umri wa wagombea Uraisi upunguzweeeeeeeeee..................... ????????????????????

10. Kwa nini umri - wengine wapendelewe na wengine wabaguliwe? Kwa nini waliozaliwa kabla ya uhuru wasigombee?
11. Kwa nini awatume masalia kueneza udini, ukanda na ukabila?!
 
hawa pm7 member ni maskini sana kiasi kwamba ukienda nao bar hadi mskaki hawana hela ya kununua, ukiwafanyia kitu kidogo wanakuona Mungu wao, eti yanakili tulikua yunamwita manji bwana saa nane kisa tu kuwalipia bili bar

walikuwa wanafurahia bia za bure, kumbe mwenzao alikuwa kazini, wameiona hawa,chezea bia za bure!!!
 
Ben Saanane Mwenyewe ni maliti na hilo amelikiri kwa hiyo anachotaka ni kujiosha tu hapa ili tumuone kwamba ni msafi yani huyo naye ni msaliti tu aoswe.

Ben Saanane alikuwa kazini mkuu ndo maana aliweza kuwarekodi............... halafu kwanini usijiulize zile recording alikuwa anazipeleka wapi?
Ben ni product wewe wacha mambo yako
 
Last edited by a moderator:
Ben kawavua watu watu nguo,walivyokuja kujibu ndio wamejimaliza kabisa.!


Hapana Mkuu Hii ngoma Ben ka act uchizi kawatime masalia wanaoga Ben akapita na nguo masalia nao wakaanza kumkimbiza beni bila kujua wanazidi kujiweka uchi kweupee mchana bye Zitto
 
Ben Saanane alikuwa kazini mkuu ndo maana aliweza kuwarekodi............... halafu kwanini usijiulize zile recording alikuwa anazipeleka wapi?
Ben ni product wewe wacha mambo yako

Ben anatumia digital watch Kama mr bond Daa hatari hii
 
Last edited by a moderator:
Na kwa nini ashinikize umri wa wagombea Uraisi upunguzweeeeeeeeee..................... ????????????????????

6. Kwa nini Zito atangaze nia ya kugombea Urais 2010 wakati akijua Chadema inamgombea ambaye alikuwa ni Dr. Slaa?
7. Kwa nini Zito atangaze kugombea urais mapema namna hii (2012) wakati wenzake wapo kwenye harakati za kujenga Chama?
8. Kwa nini Zito awe karibu kiasi kile na Usalama wa Taifa wanaoshughulikia siasa?
9. Kwa nini ......

12. Kwa nini wanaomchafua katibu wake ndiyo watu wanaomfagilia?
13. Wafuasi wake wengi wao hawana ajira, sasa wanapata wapi hela za kukaa mahotelini na kutoa matamko?
14. Kwa nini wafuasi wake wanamgombanisha Mdee na Josephine ktk jimbo la kawe?
15. Kwa nini wanadandia hoja za CCM na kuzishupalia?
16. Kwa nini wasemacho kinapata mashabiki ndani ya CCM?
17. Kwa nini tamko la nape halina tofauti na la edo na masalia wengine?
18. Kwa nini malalamiko yao ni ya aina moja, wanayaimba kama wamekaririshwa?
19. Kwa nini anajaa upepo akiambiwa anabomoa chama?
20. Kwa nini wafuasi wake wote wameibuka na kusajili ID mpya mwezi huu baada ya kuwashiwa moto?
 
Ben mwana wa Sa8 hakika baba yako kama yu hai basi anajivunia kuwa mtoto kichwa kama wewe, i real admire you bro na kwa zawadi ntakuandalia dada yangu m1 ambaye hajaolewa(Cute) pia hata na mchumba wangu ntakupa kamanda wangu wewe.
Kwani nina furaha sana kwa kutegua kitendawili cha hawa wachawi....

MUNGU MKUU AKULINDE KAMANDA WANGU.
 
Nimeshindwa ku komenti chochote mpaka sasa.

Sakata hili likanifanya nitafute album ya Bob Marley ya RASTAMAN VIBRATION nikakakutana na kibao ambacho kiukweli iniliona kama kina reflect kile nilichokisoma toka kwa hawa jamaa, kibao kinaitwa WHO THE CAP FIT, embu check lirics zake huenda ukapata cha ku-comment;

Man to man is so unjust, children:
Ya don't know who to trust.
Your worst enemy could be your best friend,
And your best friend your worse enemy.

Some will eat and drink with you,
Then behind them su-su 'pon you.
Only your friend know your secrets,
So only he could reveal it.
And who the cap fit, let them wear it!
Who the cap fit, let them wear it!
Said I throw me corn, me no call no fowl;
I saying, "Cook-cook-cook, cluk-cluk-cluk."

Some will hate you, pretend they love you now,
Then behind they try to eliminate you.
But who Jah bless, no one curse;
Thank God, we're past the worse.
Hypocrites and parasites
Will come up and take a bite.
And if your night should turn to day,
A lot of people would run away.
And who the stock fit let them wear it!
Who the (cap fit) let them (wear it)!
 
MaYuda hawatakiwi ndan ya chama che2...ni bora watafute chama mapeeema kabla ya ku2pwa vyao!
 
Kazi aliyofanya Ben Saanane siyo tu kwa manufaa ya chadema bali taifa zima. Ameifanya peke yake kwa gharama kidogo.

Chuki za udini, ukabila na ukanda zilizopandikizwa na PM7 kama zingeachwa zikomae zingepelekea umwagaji damu mkubwa Tanzania hasa kwenye Uchaguzi mkuu. Ben ametuhakikishia amani kama masalia yatang'olewa na mizizi yake.

Usalama wa taifa wanatumia rasilimali za umma, mapesa holela, magari, majumba, vifaa vya elekroniki, silaha etc. Lakini hawawezi kuziuia jaribio lolote la kuvunja amani hadi litokee. Hata likitokea hawawezi kumgundua mhusika.

Pendekezo langu, Ben Saanane apewe kazi ya kufundisha UWT kisha awape malengo na kuwasimamia wanavyotekeleza.
 
6. Kwa nini Zito atangaze nia ya kugombea Urais 2010 wakati akijua Chadema inamgombea ambaye alikuwa ni Dr. Slaa?
7. Kwa nini Zito atangaze kugombea urais mapema namna hii (2012) wakati wenzake wapo kwenye harakati za kujenga Chama?
8. Kwa nini Zito awe karibu kiasi kile na Usalama wa Taifa wanaoshughulikia siasa?
9. Kwa nini ......

10.kwa nini Zito ajione kuwa yeye ndo ameibeba chadema na kufikiri kuwa akiondoka yeye chadema inakufa?
11.kwa nini Zito hataki kuisumbua akili yake kung'amua kuwa madudu yake tangu alipopewa umwenyekiti wa kamati ya bunge na kazi ya kutaka kuidhooficha chadema kwa kisingizio cha haki ya kugombea urais yanajulikana hata kwa wananchi wa kawaida wasio wanachadema?
12.kwa nini.....
 
Kimsingi hawa jamaa watakuwa wastaarabu saaana wakitambaa!.. Wakijiunga na CHAUMA au ADC kama walivyokusudia awali watakuwa wamefanya jambo la maana sana!.. Haipendezi kujenga uadui na watu unaoishi nao na kufanya kazi nao!
 
Hapana, Ben Saa8 hakuwa msaliti bali amefanya kazi nzuri sana. Kazi aliyotumwa ameimaliza. Hoja kwamba haonekani kwenye ujenzi wa Chama kwenye majukwaa ni dhaifu kwani kazi hii aliyoifanya ni moja ya kazi za ujenzi wa Chama.

Hongera Ben Saa8 na Mamuya mmefanya kazi nzuri.

Maana Watu wangejitolea kujenga chama huku wengine wako bize kubomoa.

Fire them all, Zitto,et al!
Mimi siamini kama kuwafukuza Zitto et al., ni solution nzuri. Hakuna pigo kubwa watakalolipata akina ZZK isipokuwa tu kwa uongozi wa juu wa Chadema kukaa kimya. Ni sawa na mtu aliyemfumania mke wake, halafu wala hamuulizi. Huyo mke atakosa hata usingizi, maana mara zote atakuwa anajiuliza huyu jamaa anataka kumfanya nini, wakati mwingine atadhani anaweza kumuulia usingizini.
 
BEN WE NI HERO.
Kama wanaoitwa vijana wasomi wameonekana watupu kabisa katika ufunuo huu wa mission PM7, nadiriki kusema basi Wazee ni hazina kubwa sana kwa Taifa hili.
Ben Saanane katika sakata hili kacheza shere kwa ustadi wa hali ya juu sana. Naweza kumfananisha na Jenerali William Donovan (Founder wa OSS) au Edgar Hoover (The long served FBI Director) katika espionage missions za USA.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom