Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,060
Ufa ulioko ni mkubwa. Haya si mambo ya kuzungumza na kupatana tu kijuu juu kwa plastic face. Tujue ni kwanini na vipi hawa PM7 na wenzao (huenda kuna wengine tofauti na hawa) wamefikia kufanya walioyafanya.
Tuhuma za pande zote mbili zichunguzwe, zifanyiwe kazi na hatua za kinidhamua LAZIMA zichukuliwe.
Tuhuma za pande zote mbili zichunguzwe, zifanyiwe kazi na hatua za kinidhamua LAZIMA zichukuliwe.