Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

ni kwa nini hoja za Ben Saanane na Mchange unaziona ni dhaifu ilihali bado hatujapata defense ya kutosha kutoka kwa wa watuhumiwa husika??
Kwa nini umeonyesha bias mapema kiasi hichi ingawa wewe sio Zitto au yeyeto aliyetajwa(hasa kwa kuzingatia majina ya wa husika yaliyotajwa)

Mchezo anaoufanya ben saanane na mamuya naujua sana,ndio maana nipo kolikoli kuwaumbua hapa.Nasubiria jambo moja litamkwe na mm nipigilie king ya mwisho.
Namsapoti zitto hadi tone langu la mwisho kwasababu wamekuwa wakimsakama kuanzia gazeti la mwanahalisi ambalo linamilikiwa na mtu wa chadema na aliyeandika makala zote ni kiongozi wa juu wa chadema,lakini hawakumshinda zitto.
Wamekuwa na tabia ya kumtenga na kumsakama ili hali wao wana akadi za ccm nyuma.
 
kwa nilivyoelewa mimi ni kuwa hizo pesa saa nane alikuwa anadhaminiwa na baadhi ya viongozi wakuu ambao kwao ili chama kiende lazima kuwe na migogoro. ndio maana wakamtumia saa nane, japo naye amefeli kabisa...
lakini pia humu kama nimemwelewa mtoa hoja kuwa amelazimika kujibu baada ya kumuona saa nane kila siku anamshambulia, lakini mchange ametoa hoja zaidi kuliko saa nane aliyejikita kwenye ushirikina.
cha msingi kuzingatia ni kwamba hawa wote ni wanachama wa chama kimoja. hivyo mijadala yao yote izingatie kwenye maslahi ya chama na sio pande zao hizi. wanapopambana tembo wawili. ni nyasi ndio zinaumia.
Wamekiri wote kuwa wasaliti sasa waamue jee Zitto aaliyomfanyia Kafulila ni sawa Machali na Mkosamali walikataa trap yake nani sasa yuko miserable nani kafa kisiasasi Kafulila sasa Juliana Mchange they should use this lesson Zitto is a snake and not a good person to them waliingia siasa na wakafanya vizuri kwa nguvu zao wenyewe hawahitaji mbeba matunguri kuwavusha wenyewe wanaweza warudi chamani mambo yaishe
 
kwani hao wote ni vijana wa chadema?wengine walinzi wa Jf na wengine wapo ulaya huko muda unatofautiana.Pia wapo wanashuhudia kijana Ben saanane akivuliwa nguo moja baada ya nyingine.Ukijua kunyonga ujue na kuchinja.Ninahamu sana kumwona ben saanane akimjibu mchange,akimjibu julina shinza,kitila mkumbo na mwampamba
 
habibu mchange we kila kitu ulikuwa unapangiwa mpaka jina unapewa kama mnyama hapo sikuelewi kaka.
ulikuwa mesenger?
kila unachosema unadai ulijua unafiki je umefundishwa ukishamjua mnafiki ukubali kila analopangana kila kila analosema?

haiingii akilini kuwa ben ni mtu wa mikakati na mipango hatari kama unayosema na asiweze kukutana uso kwa uso na zitto mpaka akutumie wewe usiye na say (kwa maelezo yako) na zitto ni katibu mkuu kiasi cha kufikia kutuaminisha kuwa zitto anaweza kupishana na mtu wa kimkakati na kiprofeseri(manji kama ulivyodai).

mimi nawashauri vijana wa chadema kama mlitoka vyuoni na kuamini mkiingia chadema mmeula mi niwaambieni mlikosea,tunaamini ndani ya chadema kuna watu makini,kuna vijana makini,kuna kinamama makini.
kitendo cha kuja hapa jf na kumwaga ***** hakiwasaidii,zitto hasemi ukweli,wewe mchange husemi ukweli na be saa nane hasemi ukweli.
naona kama kila mtu anajidefence kwa jinsi anavyoona either kwa kupindisha ukweli au kwa kujivua nguo au kwa kusema uongo.
mimi niwaambieni ccm tumeichoka na kwa maelezo yenu kuna siri ya pesa za kifisadi za ccm ndani ya mtandao wenu.

NAWAPA MOYO WAPENDA MAGEUZI WOTE KUWA MPAMBANO UTAENDELEA NA KATIKA MPAMBANO HUO LAZIMA PUMBA ZITATOKA NA MWISHO WA SIKU NGANO ITABAKI NYEUPE.
kama sijaelewa vibaya ni kwamba
1. mchange alimuelewa Ben mission yake tangu siku ya kwanza
2. alimdharau na kumuacha aendelee kupeleka uongo wake yeye mwenyewe.

cha msingi tu hapa kushauri ni kwamba, BEN hana busara, na kama angekuwa na busara asingeweza kukubali kukifanya alichokifanya yeye.
hata kuandika mashtaka ya kitoto kama yale hakuwa sahihi hata kidogo hasa kwa mtu ambaye sio level yake kiuongozi.
vile vile na mchange nae alitakiwa atafute njia sahihi kuufikisha huu ujumbe kuliko kuendleza marumbano kila uchao.
zaidi ya yote tuangalie part three ya muvi kama itakuja.
 
zitto ana wengi sana...... Wanaolilia kumfulia chupi. Au wewe uko kwa nepi

attachment.php

hii ni laana
 
Hivi mtu anayejichea chekea kinoma, huwa ni NANI vile?

Napata harufu ya Mambo ya Mombasa hapa. Hebu usijichekeshe kwenye post zangu bana.
Sio siri wewe jamaa umenichekeshaaa kinoma nomaaa.yaani hadi majirani wamesikia.
Lakini ukweli ndio huo sipendi ligi bali nafichua unafiki wa viongozi flani wa chadema kutumia vijana flani wa nyumbani kwao kuchafua chama na viongozi kama zitto
 
Wamekiri wote kuwa wasaliti sasa waamue jee Zitto aaliyomfanyia Kafulila ni sawa Machali na Mkosamali walikataa trap yake nani sasa yuko miserable nani kafa kisiasasi Kafulila sasa Juliana Mchange they should use this lesson Zitto is a snake and not a good person to them waliingia siasa na wakafanya vizuri kwa nguvu zao wenyewe hawahitaji mbeba matunguri kuwavusha wenyewe wanaweza warudi chamani mambo yaishe

Angekuwa snake nadhani usingemsikia kwenye ulingo wa siasa/Kwababu ni lulu ya taifa ndio maana kila siku anamake headline postive nchini.
Hihokitu kinawauma sana hao wakuu wenzake wanaamua kutumia magazti ya mwanahalisi n.k kumchhafua lakini anawashinda siku zote.l
 
Hayo maswali yote unayouliza muulize ben yeye ndio inteligensia anaweza kujua mwisho wa mimi kuwasiliana na zitto ni saangapi pamoja na maswali mengine uliyouliza.

KAMA WEWE NI MSOMI NAOMBA UKOSOME Rational-Emotive Therapy's A-B-C Theory of Emotional Disturbance HALAFU UKALALE.

Hiyo itakusaidia kisaikolojia .. siyo kila kitu ni cha kujibu...miminamjua zito toka utotoni mpaka tupo naye tosa na baadaye mlimani...wewe umekutana naye juzi tu unadhani unamjua sana ....pole sana dada...jibuni hoja siyo kuleta mambo ya uswahilini kama msomi haifurahishi.
 
Hivi mtu anayejichea chekea kinoma, huwa ni NANI vile?

Napata harufu ya Mambo ya Mombasa hapa. Hebu usijichekeshe kwenye post zangu bana.

Mwenyeugonjwa wa kucheka ni yule mdogo wako aliyeshule pale Girls.
 
Taswira aka Zitto umelegea kama Mlenda jamii forum ni Great thinks , hadithi zako ngumu kuzijumlisha,kibao kimepinduka huna jinsi toooooooooooooooooooooooooooo late

Mods name calling!!!!!
Zitto huwanakuja kwa Id yake hapa.Nadhani unajifurahisha
 
Wamekiri wote kuwa wasaliti sasa waamue jee Zitto aaliyomfanyia Kafulila ni sawa Machali na Mkosamali walikataa trap yake nani sasa yuko miserable nani kafa kisiasasi Kafulila sasa Juliana Mchange they should use this lesson Zitto is a snake and not a good person to them waliingia siasa na wakafanya vizuri kwa nguvu zao wenyewe hawahitaji mbeba matunguri kuwavusha wenyewe wanaweza warudi chamani mambo yaishe
unafanya kosa lingine la msingi. unaacha kujadili hoja unamshambulia zitto. sisi sote tumeshajua kuwa saa nane alitumwa kazi maalum..kama hivyo ndivyo tunaamini pia kuwa hata alichokiandika hapa nacho ametumwa, maana sio rahisi kwa mwanachama wa aina ya saa nane kupata ujasiri wa kumtukana naibu katibu mkuu wa chama chake. cha muhimu kujua hapo ni kuwa watu wengi sana kwa sasa tumefunguliwa macho na michezo ya kitoto aliyoicheza saa nane.. na ndio maana ni rahisi sana kumuweka zitto huru kwa kuwa saa nane alitumwa...kusema zitto ni snake ni kuendelea kucheza noma ya saa nane na mwenzake.
 
Kwani umeambiwa huo umoja uliimarika au ulishia kwenye makaratasi?? Maswali mengine yawe yanakichwa na miguuu sio mnaleta kila swali linalokuja kichwani.

mpaka kuitwa umoja(hata kama haukuimarika) inamaanisha kulikua na dhamira moja dhidi ya washiriki wote ndani ya umoja huo.
Je dhima/dhamira ya umoja huo ilikua ni ni nini kabla ya kuingia kwenye makaratasi au maandishi au kwa mdomo mpaka mkafikia hatua ya kuanikana humu kabla ya kupishana kauli kwenye maslahi husika????

cc to Taswira Mchange Juliana Shonza Zitto Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Ila akaendelea kpokea ofa yake ya misosi hotelini, Come-on. Ukitaka kula, kubali uliwe ni Principal ya Kikwete.
kama sijaelewa vibaya ni kwamba
1. mchange alimuelewa Ben mission yake tangu siku ya kwanza
2. alimdharau na kumuacha aendelee kupeleka uongo wake yeye mwenyewe.

cha msingi tu hapa kushauri ni kwamba, BEN hana busara, na kama angekuwa na busara asingeweza kukubali kukifanya alichokifanya yeye.
hata kuandika mashtaka ya kitoto kama yale hakuwa sahihi hata kidogo hasa kwa mtu ambaye sio level yake kiuongozi.
vile vile na mchange nae alitakiwa atafute njia sahihi kuufikisha huu ujumbe kuliko kuendleza marumbano kila uchao.
zaidi ya yote tuangalie part three ya muvi kama itakuja.
 
Zitto ana wengi sana...... wanaolilia kumfulia chupi. Au wewe uko kwa Nepi

attachment.php

Kinyume chake kipo sahihi zaidi kwa wale wengine unaowatumikia,Hipi kufua boxer ya kijana na mzee ipi ni poa?
 
Angekuwa snake nadhani usingemsikia kwenye ulingo wa siasa/Kwababu ni lulu ya taifa ndio maana kila siku anamake headline postive nchini.
Hihokitu kinawauma sana hao wakuu wenzake wanaamua kutumia magazti ya mwanahalisi n.k kumchhafua lakini anawashinda siku zote.l
zitto umemshinda nani mission zako zote zimebuburuka hata kabla ya kufanikiwa mukichwa humo hakuna plan unamihemuko mumekuja usiku wa manane munaposti na kujijibu halafu unasema unauwezo upi kaka pole ndio mshahara wa msaliti timu nzima muko hapa ID yenu leo mumeitupa tuanfurahi kwamba munathibitisha wote na wewe mwenyewe kwamba uring leader huu uwezi umeshindwa kwa chadema ulishindwa kwa NCCR
 
Taswira aka Zitto umelegea kama Mlenda jamii forum ni Great thinks , hadithi zako ngumu kuzijumlisha,kibao kimepinduka huna jinsi toooooooooooooooooooooooooooo late
tatizo lengine ndio hilo..kwanini hatuwei kuzuia hisia zetu?..unaposema taswira a.k.a zitto na wewe tukuite a.k.a nani?. unataka kutuaminisha kuwa zitto yeye hana wanaompinga?, ama unataka kutuaminisha kuwa zitto yeye hatakiwi kuwa na watetezi?,,mpaka sasa ndani ya chadema, wapinzani wa zitto ni wawili, mbowe na slaa, ina maana nawewe akwite mbowe ama slaa?..au wewe ndo saa nane?...
tujifunze kuwa objective jamani, jusijidhalilishe na michango yetu.....MOVIE INAENDELEA
 
mpaka kuitwa umoja(hata kama haukuimarika) inamaanisha kulikua na dhamira moja dhidi ya washiriki wote ndani ya umoja huo.
Je dhima/dhamira ya umoja huo ilikua ni ni nini kabla ya kuingia kwenye makaratasi au maandishi au kwa mdomo mpaka mkafikia hatua ya kuanikana humu kabla ya kupishana kauli kwenye maslahi husika????

cc to Taswira Mchange Juliana Shonza Zitto Ben Saanane

2. Ni BEN SAANANE ndiye aliyewashawishi na kuwalazimisha wenzie anaowasema leo ni wasaliti waunde kikundi. Hakuishia hapo, akakitunga mpaka na jina. Kuwa ni ''patriotic movement seven'' na akakifupisha PM7. Akashawishi kikundi hicho kizunguke nchi nzima kuhamasisha viongozi wa huko kufanya mageuzi ndani ya chama. Saa nane unafiki utakupeleka pabaya.
 
Maneno ya Kikwete alisema "ukitaka kula, kubali uliwe kidogo....."

hahahah nimecheka sana maana dingi alimuona paka anadu akamuambia maza kuwa mwaka huu sijui kama utaisha ..anyway ding alifariki baada ya miezi 6 wakati huo nina miaka 12 sikujua chochote lakini baadaye baada ya kwenda shule na kusoma Rational-Emotive Therapy's A-B-C Theory of Emotional Disturbance ("People are disturbed not by things, but by the views which they take of them." Epictetus, 1st century AD. It is not the event, but rather it is our attitudes and beliefs about it, that causes our emotional reaction) nilichoka kabisa
 
Back
Top Bottom