Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Ataambiwa hata viongozi wenzako kina slaa wamechafuliwa sana lakini hawajajibu kwa kuwa ukubwa jalala je! yeye hataki kuwa jalala???? Rais gani wa hivyoooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Slaa hajajibu shutuma ipi? Ninavyojua hakuna hata shutuma moja ambayo DR SLAA hajaijibu. Labda utuwekee mojawapo tu unayoijua wewe. Ukishindwa kuitaja nadhani utakuwa umeshapata jibu kuwa hawezi kuwa Rais wa Jamhuri.
 
Kuna mtu kaongelea mahaba yenu ya kutajana hapa naona aliniwahi manake naona wakuu mnafuatana tu ni mahaba ya dhati mnayo.

Karibu na wewe kwenye mahaba yetu!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu naona wewe unapambana na Zitto tu...unaninipa wasiwasi inawezekana una maslahi mkubwa kwenye M23.

kuna wakati niliwahi kusikia CCM wanacheza ngoma/mdundo wa CDM,swali langu CDM wanacheza mdundo wa nani sasa?manake tunaona wachezaji wengi lakini mchezeshaji hatujamuona
 
ZITTO anatamani kuingia JF kujibu kashfa, wenye busara wanamzuia wanamwambia chama kitasambaratika.

ZITTO anawaambia vijana wananihsaribia na wameshanichafua, wenye busara wanamwambia vumilia kwani ukubwa ni dawa.

ZITTO anawaambia taswira yangu kwa jamii nisipojibu itakuwa imechafuka, wanamwambia hawa vijana wataomba radhi kwenye vikao na in public.

ZITTO anawaambia lakini jamii itakuwa imeshaamini kuwa waliyosema ni kweli, anaambiwa kwa mustakbali wa ' chama chetu' tunakuomba ukubali hiyo price.

ZITTO anasema ngoja nifikirie zaidi ila moyo unauma.

Nini kitaendelea baada ya hapo:

1) Jee Ben ataomba radhi kwa ZITTO kwa kumchafua?

2) Jee BEN na kundi lake watatemwa CDM?

3) Nini kitatokea ikiwa jibu ni ndiyo au hapana, tuendelee kusubiri.......

Zitto huwa hataki ushauri kutoka kwa mtu, huwa anakurupuka km ngiri aliyetoka usingizini. Hapa ameshikwa pabaya, atajitetea kwa lipi?.
 
Hivi chama kikubwa kama CDM kinashindwa kupambana na vijana wachache kama hawa wenye malengo ya kuharibu taswila ya chama? kwanini chama kinawabembeleza vijana ambao wanataka kutengeza chama ndani ya chama?

Nningekuwa ni kiongozi wa chadema vijana kama hawa ningewaangalia usoni,maana mwisho wa siku ni kukiharibu chama na kuwavuruga wanachama.

Naukubari sana uongozi wa juu wa chadema kwani kikawaida umekuwa ukitimuwa timuwa wale wote wanaokwenda kinyume na matarajio ya chama,sasa ni wakakti wa kupambana na hawa vijana,maana wanachezea masharubu na mwisho wa siku watayakata masharubu na kunyoa ndevu zote.

Ni vyema kuwadhibita kabla chama hakija ingia ktk mvutano na viongozi ambao ni waadilifu.Nikitakie chadema kila lenye kheri na nadhani haya ni mapito tu na viongozi wasiyaachie mapito haya yakaleta dhuruba ktk chama.

Sisi tusio na vyama tunapenda kuona ushindani wa vyama ulio linganifu na chadema ndio imeonyesha uwezo huo kwa sasa,lakini kwa kuwa na vijana kama hawa wenye makundi ndani ya chama ni kutaka kurudisha nyuma kile ambacho chama imekijenga kwa muda mrefu.

Tukumbuke kuwa hata m24 inayoleta matatizo kule congo ili anza kwa mtindo huu na kikundi kile hakikudhibitiwa mapema na sasa kimekuwa na jeshi tena lenye uwezo wa kupambana nyikani,tusiwape nafasi watu wenye fikra hasi tena mgando maana mwisho wa siku watakiangusha chama.
 
Wewe ni mwongo tu,ID Yako ya Tar 19 December 2012,wewe ni mtetezi wa masalia.Ben amekiri kuwa katika hilo kundi,hajakataa.

Amejitoa kukinusuru chama.....Kina Mchange na Zitto na Juliana Shonza,wamejitokeza baada ya kuumbuliwa.Wasingeumbuliwa wangeendelea kuwa wanachama watiifu wa kundi hilo.

Wote wana makosa.What was their mission? hakuna msafi hata mmoja hapo...wanakera sana,watu tunahangaika wao huko wanakuja kutuzingua....Tumwamini nani sasa?
......

Ni kweli ni ID ya tar 19 na vichekesho vya huyu saa nane ndivyo vilivyonifanya nifungue ID,Kwani mwenye ID ya juzi haruhusiwi kusema ukweli?

SAA NANE ni kichaa,labda wakati anaandika alikuwa ameshakunywa viroba.
 
@Daudi Mchambuzi kwanini usianzishe thread nyingine? hii ni ya Ben 0' clock iliyoletwa na Mchange na Juliana Shonza ametajwa huko, nakushauri wewe changia km mada zinavyokwenda maana haujaingizwa au kutajwa wala mm sijaingizwa, hao ni BAVICHA na CDM
Watanzania tunatamani kuingia na kutoa ushuhuda wetu lakini sio wakati wake PATA PICHA
hata kwenye FB wanatajana kwa majina huku JF mnafichana tu kwa ID (Ingia FB ya huyo Shonza ukamuulizie hukohuko)........

@Juliana Shonza yumo humu JF na yumo humu kwenye habari husika na ninaamini anapaswa kunijibu kwa sababu ni kiongozi aliyehusishwa kwenye mada husika.

Sidhani kama unapaswa kunifundisha cha kuandika humu JF pia mimi sina account ya Facebook.
JF ndo nyumbani kwangu mkuu (we dare to speak openly)
 
Kinachofurahisha ni kwamba angalau sasa tumejua kulikuwa na genge la uasi Chadema na wote wamekiri walihusika,wapo mbioni wanajaribu kujisafisha tujadiliane
Nani ring leader Zitto ZUberi Kabwe au Ben Saanane

Nani kamzidi mwenziye mbinu za Kijasusi

Nani anastrategy nzuri za kutibua mipango ya uasi

Nani kati yao anayeweza kuyamaliza haya au kwa kujiondoa kwenye chama au kwa kuomba msamaha kwa umma
lakini yote ni kwamba Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zitto Zuberi Kabwe kwa sasa chupi imembana ,vijana wake wote hapa wanakiri wazi kwamba ndio mfadhili wa uasi ha ha ha hakuna gumu chini ya jua
 
Kwa kuwa mara kadhaa amekuwa akinitaja kwenye mijadala yake yote. Bila hata kuangalia namna ninavyohusika, na kwa kuwa na leo hii ameamua kunitaja na kunihusisha moja kwa moja, na kwa kuwa viongozi, vijana na wanachama wengi wa chadema wamekuwa wakinihusisha mimi kuwa karibu sana na zitto kabwe. leo nitasema kitu kwenye hili.

.........

Mheshimiwa Zito, Hawa ndio waharibifu wa chama chetu! Hivi wewe unaukoma hapo Chadema, hizo tuhuma juu yako mbona hawathibitishi, kazi ni majungu nakueneza chuki binafsi tu......
 
ni kweli ni ID ya tar 19 na vichekesho vya huyu saa nane ndivyo vilivyonifanya nifungue ID,Kwani mwenye ID ya juzi haruhusiwi kusema ukweli? SAA NANE ni kichaa,labda wakati anaandika alikuwa ameshakunywa viroba.
Kwa kweli mumeumbuka sana aibu aibu vijana wasomi munabebwa kama mabinti mumeshindwa kuwa na shamba darasa la mwenzenu alivyozibiwa nyota David Kafulila,Shitambala kule Mbeya, Zitto ni zaidi ya mbeba matunguri
Kinachofurahisha ni kwamba mumefurumishwa anzeni upya jengeni chama chenu period
 
kwa style hii ndo vijana wanalilia kupewa nchi? vjana wanatumiwa na wazee, vijana wanatumiwa na vijana, vijana hapa wamekosa sifa ya kuongoza taifa hili, ukiangalia kwa makini utagundua mgogoro huu chanzo ni vijana, either kukubali kutumika au kujituma kwa maslahi binafsi.
 
Hii kesi ni rahisi sana. Kitu cha kwanza ni ku prove kama Ben na Zitto wanafahamiana.

Hapo ndio uzuri wa kuwa na camera kila sehemu maana mnafiki na mwongo angejulikana haraka sana.

Je ni kweli Ben na Zitto wamewahi kukutana sehemu wakiwa peke yao?

Hii kesi hata Mwandishi tu wa habari anaweza kuchunguza na baada ya muda ukweli wote ukawa wazi.

zitto hamjui ben saanane.
 
Mnazidi kuonyesha mko kundi gani. Wazee wenu wako wapi nyie, mnavuana nguo mbele za watu.

Kundi lake ndio hili linasuka mipango ya kumchafua zitto.Nimewambia kuwa mlishindwa na MWANAHALISI GAZETI LA KIONGOZI WA CHAMA,MTAWEZA KWA HII MIKAKATI YENU HAPA JF
 
kwa style hii ndo vijana wanalilia kupewa nchi? vjana wanatumiwa na wazee, vijana wanatumiwa na vijana, vijana hapa wamekosa sifa ya kuongoza taifa hili, ukiangalia kwa makini utagundua mgogoro huu chanzo ni vijana, either kukubali kutumika au kujituma kwa maslahi binafsi.

Tamthiliya hii nimeipenda kweli,wao wanakunywa wisky pale bills
 
Kinachofurahisha ni kwamba angalau sasa tumejua kulikuwa na genge la uasi Chadema na wote wamekiri walihusika,wapo mbioni wanajaribu kujisafisha tujadiliane
Nani ring leader Zitto ZUberi Kabwe au Ben Saanane

Nani kamzidi mwenziye mbinu za Kijasusi

Nani anastrategy nzuri za kutibua mipango ya uasi

Nani kati yao anayeweza kuyamaliza haya au kwa kujiondoa kwenye chama au kwa kuomba msamaha kwa umma
lakini yote ni kwamba Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zitto Zuberi Kabwe kwa sasa chupi imembana ,vijana wake wote hapa wanakiri wazi kwamba ndio mfadhili wa uasi ha ha ha hakuna gumu chini ya jua

wewe utakuwa ni msomali usiyeelewa kiswahili,hakuna sehemu ambayo mchange au huyo saa nane wameandika kuwa wamewahi kupewa pesa au kufadhiliwa na Zitto,isipokuwa Benn saa nane alikuwa anajaribu kutumia usanii ili apige pesa kwa Zitto,ambaye kwa maelezo ya wote inaonesha Benn saa nane alikuwa anajitumikisha na kujipendekeza kwa Zitto japo Zitto hajawahi kumuona hata kwa sura. Njaa mbaya.
 
Back
Top Bottom