Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Mh ama kweli hakuna chama kinachoweza kujiita makini so long kiko tanzania, kinasimamiwa na watanzania na watanzania wenyewe ndio sisi sisi.
 
Zitto ni zaidi yao ndio maana tuhuma zao hawazidhibitishi ni maneno tu,ambayo hata mimi naweza kuyatunga

mh mkuu unahaha ile mbaya. Lazima ujaze server leo. Kazi ya kumtetea mwanaume mwenzako unayo
 
zitto hamjui ben saanane.....

Maswala ya Zitto mwachie atayajibu mwenyewe.

Wewe jibu haya yanayokuhusu.
1.Kwa nini uliridhia kujiunga kwenye kundi hili lenye dhamira mbaya ndani ya chama?

2. Ulikua na matarajio gani ya kikundi hicho?

3.Kama hukupendeza na harakati za kikundi hicho kwa nini hukukemea na kureport kwa viongozi wa chama juu ya mpango huo mbaya?

4.Je Ben Saanane asingekuja hapa kuanika hili kundi nyie mngeendelea na harakati zenu??

5. Je bado watanzania waendelee kukuamini??

cc to Ben Saanane Mchange Zitto Dr. W.Slaa
 
Kinachonifurahisha kwenye huu uzi ni kitu kimoja....nimejua sasa kumbe hela anazopewa saaaa8 na mademu wazuri na super stars wanao wachuna political youth wapenda u-celebrate a.k.a. wauza sura wa media. Ye alikua anatumia kununulia lunch na kumobilise members wa P7.

Jamaa anaakili anatumia hela za wanasiasa mafisadi vijana kujijenga the man is smart...usiwaache hao warembo saa nane...c wanakuona we HB na hao wauza sura wa media hawana mvuto ahah h ahaah
 
Kama ulikuwepo starring zamani wameshazika tunasubiri mzimu urudi kumaliza mchezo

Chama
Gongo la mboto DSM

Kamanda wa kihindi siku zote anafia kwenye shamba la mahindi.
 
Maswala ya Zitto mwachie atayajibu mwenyewe.

Wewe jibu haya yanayokuhusu.
1.Kwa nini uliridhia kujiunga kwenye kundi hili lenye dhamira mbaya ndani ya chama?

2. Ulikua na matarajio gani ya kikundi hicho?

3.Kama hukupendeza na harakati za kikundi hicho kwa nini hukukemea na kureport kwa viongozi wa chama juu ya mpango huo mbaya?

4.Je Ben Saanane asingekuja hapa kuanika hili kundi nyie mngeendelea na harakati zenu??

5. Je bado watanzania waendelee kukuamini??

cc to Ben Saanane Mchange Zitto Dr. W.Slaa

Kuwa na adabu ya kuuliza maswali.
1.Kunasehemu zitto ametajwa kujiunga na hicho kikundi?Kuna sehemu zitto ametajwa kuonana na hiho kikundi?Kunasehemu zitto ametajwa kushirikiana na hiho kikundi?
2.Matarajio?Kikundi gani?alcihoasisi Ben saanane kwa lengo la kumnasa zitto akashindwa.
3.Jibu maswali hayo hapo juu ndipo akamuulize zitto maswali yenye ubongo wa binadamu.
4.Ben saanane ameanika hapa baada ya nini?Si ni baada ya kuumbuliwa kuwa alikuwa na mpango wa kumuua zitto,

twende kazi
 
Mkuu naona wewe unapambana na Zitto tu...unanipa wasiwasi inawezekana una maslahi mkubwa kwenye M23.
kwi!kwi!
M23 tena? Hao namwachia Kagame. Tatizo la Zitto ni kadomo kake. Kila anapokafungua hapimi anachokisema hadharani. Ile kauli ya kifo cha panya itamtesa kwa muda mrefu sana.
 
Kamanda wa kihindi siku zote anafia kwenye shamba la mahindi.

Mkuu Ritz
Picha hii inaonekana starring aliacha mke mjamzito tunasubiri mimba izaliwe part 2 ianze!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mchange, kwanza uandishi wako umekosa mtirriko mzuri wa mawazo hata kama kuna ukweli wowote kati ya unayoyazungumza itakuwa ngumu sana ujumbe wako kueleweka. Pili, naona unataka kujisafisha lakini hausafishiki. Ona hapa ulichoandika:

"2. Ni BEN SAA NANE ndiye aliyewashawishi na kuwalazimisha wenzie anaowasema leo ni wasaliti waunde kikundi. Hakuishia hapo, akakitunga mpaka na jina. Kuwa ni ‘’patriotic movement seven’’ na akakifupisha PM7.
3. Ni BEN SAA NANE ndiye aliyegawa majina ya kuitana miongoni mwa wana kikundi hiko, yeye akajipa jina la COBRA, mimi akanipa MDUDE "

Unajua nini Mchange, watu wote wenye akili hawawezi kukuamini kwa haya unayoyaandika. You are being too pretentious, unatungatunga tu vijistori vya kubumba na watu wengi waliojiunga humu JF ni watu wazima wenye akili zao, wanaweza kupembua pumba na mchele. Zako hizi ni pumba.

----- Forwarded Message -----
From: Ben Saanane <bensaanane@yahoo.com>
To: mchangehabibu@yahoo.com; mchangehabibu@gmail.com
Sent: Friday, June 10, 2011 1:52 AM
Subject: V4V values & Objctvs

The tragedy of Tanzania is a pervasive pathology. Its leadership selection process
excludes its best while celebrating mediocrity. The incremental influence of that
pathology has created a failing state that is unable to do much more than uphold the
conclave of looters that hold the country hostage. In many ways, every election
process turns out to be much worse than the preceding cycle.
Upon taking power after stolen polls, the new leadership often proceeds to enthrone
a ruling ethos that is defined by a searing contempt for the people. That is why,
despite the billions of dollars that the Tanzania state has earned over five decades,
Tanzania remains at the bottom of the human development league. It is a fate that
Tanzania must reject because a better life is possible.​
Fifty years into Tanzania’s attainment of nationhood, it still has the status of what
domestic and international observers call a failed state, failing state, or failed asset.
Tanzania’s failure to belong to the comity of successful and functional states that
obtained the status of independent nationhood within the same decade is not
attributable to the lack of material and human resources. On the contrary, the
country’s economic, social, and political failure has resulted from the non-adherence
to the practice of true federalism and the consequent mismanagement of the nation’s
resources by most of its political managers since independence. Such managers have
ranged from military dictators to civilian presidents and governors imposed on the
electorate through rigged elections

What to do now?
What is direly needed now is how to get
Tanzania out of the hole of underdevelopment, corruption, and mismanagement.
Now is the time for truly patriotic Tanzanians to join the movement to save Tanzania
from its current state of failure by joining forces with the Voice for the Voiceless Tanzanians (V4V) Group.
Now is the time to liberate Tanzania from the grips of its predators. V4V believes that​
Tanzanias’s failure is avoidable; that Tanzania can be saved. But to stop the politics of
self-imposed failure, a new crop of leaders with a patriotic outlook and a
transformational vision from those of its predatory leaders must move to the centre
of the country’s political space to re-engineer it away from chronic failure and chart
a new course in the direction of success. The V4V is blazing the trail of change and
transformation in Tanzania. V4V values has been designed to bring liberty,
security, and prosperity to all Tanzanians, is being made available to all Tanzanians, through building strong citizens to create wealth and
make contributions to modern global civilization.

Kinachonifurahisha kwenye huu uzi ni kitu kimoja....nimejua sasa kumbe hela anazopewa saaaa8 na mademu wazuri na super stars wanao wachuna political youth wapenda u-celebrate a.k.a. wauza sura wa media. Ye alikua anatumia kununulia lunch na kumobilise members wa P7.

Jamaa anaakili anatumia hela za wanasiasa mafisadi vijana kujijenga the man is smart...usiwaache hao warembo saa nane...c wanakuona we HB na hao wauza sura wa media hawana mvuto ahah h ahaah

Mhh makubwa mkuu,Saanane inaonekana anapenda sana totoz
 
Katika maelezo yote hakuna sehemu mchange kakiri kujitoa kwnye hlo kundi shirikina la kukiangamiza chama.walikua kund moja,saa nane kajitoa na kumwaga siri,mchange kakiri walikua wote.yeye vipi?amejitoa lini?kwa maneno na matendo bado yumo!
 
Katika watu wawili ambao mmoja anadai ananijua na tumekutana na mwingine anasema simjui wala hatujakutana..., inawezekana vipi third party awe na uhakika wa kutokujuana kwa hawa watu wawili ?........

Mkiambiwa ukweli hamtaki,ila mnataka uwongo wa kina ben saanane na genge lake lote, ukweli siku zote una sifa yakukataliwa,maana unauma.
 
Kazi muliyopewa na wana chadema kuifanya imewashinda.mukaamuwa kufanya mambo yenu ikitokea chadema ikafa damu yake tutaidai mikononi mwinu.halafu kama kazi muliyotumwa ya kukiongoza chama ili kiufikie ukombozi imewashinda na mumeanza kufanya ya kwenu ambayo hamkutumwa .

Si mrudi kwa wanachama muwaeleze bila kuficha kuwa kazi muliyotutuma imetushinda ili mkae pembeni washike wengine usukani.Mbona wenye uwezo wa kuongoza wako wengi kuliko hivi sasa munavyo fanya.musije mkatupeleka wenzenu kwenye makorongo.

Si dhani kama hiyo kazi munayoifanya ndiyo muliyotumwa kweli.chadema ni chama cha watanzania kitaendelea kuwepo hata msipo kuwepo.

Mbona wapo watz wengi sana ambao hawapo kwenye mambo yenu hayo.wanaiombea chadema kilasiku isonge mbele.kuliko ninyi kakundi kadogo munao kesha usiku na mchana mkiomba chadema ife ili mkidhi haja ya mioyo yenu kuliko kuwaumiza watz waliyo wengi ni bora mkae pembeni ili wenye moyo wa dhati wa kuweza kiikomboa tz kutoka mikononi mwa ccm wasonge mbele kuliko upuuzi wenu munao ufanya.

Kwa tabia hii mumewafanya wale wenye nia ya dhati kwa chadema kuwa na mzigo mzito sana badala ya kuwajibika na maswala ya chama wanajikuta wanashughulikia upuuzi wenu munaotaka kukiuwa chama ili kukinusuru chama hivyo wanajikuta wanabeba mzigo mzito sana.

Kwa sababu wasaidizi wao wamekengeuka.kumbe ndiyo maana maneno ya udini,ukanda,ukabila n,k.hayaishi kutamkwa kwa sababu wapo wanao kipigania chama ili kisonge mbele na wapo wanaopigana ili kukiuwa chama,kwa hiyo wanao kipigania chama huitwa ni wa dini,wakasikazini n.k.na wale wanaokihujum chama naona watakuwa ni wa mashariki ya mbali.
 
Habari, nimeona mchango wangu huu niuanzishie uzi ili tujadiliane kwa mapana..

----- Forwarded Message -----
From: Ben Saanane <bensaanane@yahoo.com>
To: mchangehabibu@yahoo.com; mchangehabibu@gmail.com
Sent: Friday, June 10, 2011 1:52 AM
Subject: V4V values & Objctvs

.........

Hivi PM7=VOICE FOR VOICELESS?????????????????????????????

Ulipoleta hii thread kwa mara ya kwanza VOICE FOR VOICELESS haikuwepo sasa umeitoa wapi?

VOICE FOR VOICELESS ina uhusiano gani na Chadema?? au Dr Slaa? au Mbowe?
 
----- Forwarded Message -----
From: Ben Saanane <bensaanane@yahoo.com>
To: mchangehabibu@yahoo.com; mchangehabibu@gmail.com
Sent: Friday, June 10, 2011 1:52 AM
Subject: V4V values & Objctvs

The tragedy of Tanzania is a pervasive pathology. Its leadership selection process
excludes its best while celebrating mediocrity. The incremental influence of that
pathology has created a failing state that is unable to do much more than uphold the
conclave of looters that hold the country hostage. In many ways, every election
process turns out to be much worse than the preceding cycle.
Upon taking power after stolen polls, the new leadership often proceeds to enthrone
a ruling ethos that is defined by a searing contempt for the people. That is why,
despite the billions of dollars that the Tanzania state has earned over five decades,
Tanzania remains at the bottom of the human development league. It is a fate that
Tanzania must reject because a better life is possible.​
Fifty years into Tanzania's attainment of nationhood, it still has the status of what
domestic and international observers call a failed state, failing state, or failed asset.
Tanzania's failure to belong to the comity of successful and functional states that
obtained the status of independent nationhood within the same decade is not
attributable to the lack of material and human resources. On the contrary, the
country's economic, social, and political failure has resulted from the non-adherence
to the practice of true federalism and the consequent mismanagement of the nation's
resources by most of its political managers since independence. Such managers have
ranged from military dictators to civilian presidents and governors imposed on the
electorate through rigged elections

What to do now?
What is direly needed now is how to get
Tanzania out of the hole of underdevelopment, corruption, and mismanagement.
Now is the time for truly patriotic Tanzanians to join the movement to save Tanzania
from its current state of failure by joining forces with the Voice for the Voiceless Tanzanians (V4V) Group.
Now is the time to liberate Tanzania from the grips of its predators. V4V believes that​
Tanzanias's failure is avoidable; that Tanzania can be saved. But to stop the politics of
self-imposed failure, a new crop of leaders with a patriotic outlook and a
transformational vision from those of its predatory leaders must move to the centre
of the country's political space to re-engineer it away from chronic failure and chart
a new course in the direction of success. The V4V is blazing the trail of change and
transformation in Tanzania. V4V values has been designed to bring liberty,
security, and prosperity to all Tanzanians, is being made available to all Tanzanians, through building strong citizens to create wealth and
make contributions to modern global civilization.

Naona ushahidi umeshaanza kuletwa,Ben saanane njoo haraka sana hapa uwajibishwe unafiki wako
 
Hivi PM7=VOICE FOR VOICELESS?????????????????????????????

Ulipoleta hii thread kwa mara ya kwanza VOICE FOR VOICELESS haikuwepo sasa umeitoa wapi?

VOICE FOR VOICELESS ina uhusiano gani na Chadema?? au Dr Slaa? au Mbowe?

Unaambiwa hiyo ndio PM7 aliyoiasisi Ben saanane unataka majibu gani wewe????
 
Back
Top Bottom