Hivi katika post zote mbili,wana jf mnapata onnection ya moja kwa moja ya zitto na usaliti anaousema ben???
Ben hakuna sehemu aliyomuonesha zitto akiuwa na kundi hili zaidi ya bla bla za maneno yake.lakini ni wapi zittto anaingia kwenye hizi shutuma?
Wazee wenyewe wamekaa kimya..tunaangalia.
Ben ameanzisha kundi na kulifadhili hizo pesa ametoa wapi?
Endeleeni na michezo yenu zitabaki sufuria na vikombe tu.
Ninamshangaa Palalisote anaonea dagaa wakati papa wapo.unauliza kwanini zito hataki kuoa kwani hiki ni kikao cha wanafamilia?.
Halafu wewe ni me au ke?.
Mchange, Zitto, Juliana Shonza, Mtela Mwampamba ni wanafiki wakubwa kwa hoja 2 kuu;
1. Mchange, hii story umetunga na kuiunga unga tuu, haiwezekani mtu anayetaka kukua kwa ajali ya gari afungue tairi ya nyuma ya gari wakati anajua kwa kufanya hivyo huwezi kupata ajari mbaya inayoweza sababisha kifo. Umeandika hivyo kwa sababu HUJUI NA NI LIMBUKENI wa magari so hukujua unachokiandika.
2. Mdogo wangu MWAMPAMBA alitusaliti kule jimboni kwetu baada ya kumpigia kura za yeye kua mbunge but kwa roho yake ya unafiki akauza matokeo kwa CCM (Mh. Zambi) hivyo inanifanya niamini kuwa hata siku moja kunguru hawezi kuruka pamoja na njiwa. Japo kabla sijathibitisha kua anaweeza akawa mnafiki nilifanya kazi kubwa sana ya kumtetea jimboni kuwa namfahamu vizuri asingeweza kuuza matokeo ila naijutia nafsi yangu.
SAA NANE, Waislam wanasema sifa za mnafiki tatu (ayatul munafiq tharasa).
1. akiongea huongea uwongo..
2..akiaminiwa hajiaminishi/hudhiaki..na ..
3..akiahidi hatimizi..
Vijana wa CDM hakuna lolote. Tuwaachie wenye umri wa makamo na wazee waendelee kugombea uongozi (ukiwamo na ubunge), sisi vijana tuwe wapiga kura tu!
umeshachagua upande na wewe..ulitaka aanze nani?..mbona SAA NANE haukumuuliza kuwa alikuwa wapi kabla hajakanwa na zitto?..think criticallyToa takataka yako hii uliyoandika isiyoeleweka peleka kwenu huko ulikuwa wapi siku zote kusema haya mpaka umengojea Ben Saanane kutiririka mambo yote na wewe ndiyo unakurupuka na story za kiabunuwasi zisizo kuwa na kichwa wala miguu na subirini tu ushahidi utazidi kupatikana tu CDM kilianza na Mungu na mambo yote mabaya juu yake yatamalizwa na Mungu
Siku zote mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe.
umeshachagua upande na wewe..ulitaka aanze nani?..mbona SAA NANE haukumuuliza kuwa alikuwa wapi kabla hajakanwa na zitto?..think critically