KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,276
Hivi katika post zote mbili,wana jf mnapata onnection ya moja kwa moja ya zitto na usaliti anaousema ben???
Ben hakuna sehemu aliyomuonesha zitto akiuwa na kundi hili zaidi ya bla bla za maneno yake.lakini ni wapi zittto anaingia kwenye hizi shutuma?
Taswira:Soon utaanzisha uzi wako na true ID yako.Endelea kupaka rangi upepo.Tumeshawaelewa wote kwa rangi zenu endeleeni kujipambanua pamoja kitumbua kuingia mchanga bado mnaendelea na vikao kujibu ujinga?