haba na haba
Member
- Oct 30, 2012
- 17
- 6
Ushauri wa milango. Jamani kati ya kichina na home made
Mkuu kwa hivi vifaa nistue nkuletee kwa bei nafuu sana....
Gypsum powder
Rangi
Gypsum board
Pvc ceiling
Mikanda ya Gypsum (cornizers)
Tiles
Nicheki kwa 0754729751
Mkuu ninazo za Uchina na ThailandMkuu una gypsum za wapi?
Ooh basi nimeona aina ya gypsum ulizo nazo.
Looh! Watu mnafanya Quantity surveying bila vipimo?Jamani, am much interested na uzi huu, mm nataka kuanza ujenzi wa nyumba maeneo ya Kibaga kwa Mathias(uelekeo wa Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria). Nyumba ina;
1. Vyumba vinne vya kulala lkn moja ni master.
2. Choo cha public.
3. Sitting room.
4. Dining room
5. Jiko
Naomba gharama za msingi kwanza, mf idadi ya tofari/mawe kwa ajili ya msingi na vikorokoro vyote kwa ajili ya kazi jiyo.
Hiki kiwanja cha futi 50 kwa 60 mbona kidogo sana? Au ulimaanisha meters?nataka kuweka msingi kwenye kiwanja changu huko chamazi
kiwanja kina futi 50-60
ni futi 50 kwa 60 nddo nilimaanisha nilipimiwa kwa futi mkuuHiki kiwanja cha futi 50 kwa 60 mbona kidogo sana? Au ulimaanisha meters?
Daah basi kiwanja chako ni kidogo sana. Futi 1 =0.3048 metres. Hivyo kwa metres kiwanja chako ni 15.24m kwa 18.29m. Kwa ukubwa wa hiyo nyumba uliyoisema hapo juu, unaweza usipate hata parking au ukipata haizidi ya mita 3.ni futi 50 kwa 60 nddo nilimaanisha nilipimiwa kwa futi mkuu
mkuu kingmario inabidi ladyfurahia apate ushauri wa kitaalam ili aweze kujenga nyumba ya ndoto zake, nadhani inawezekana kwa kuwa hata nyumba za NHC ni ndogo kwa eneo na hata udogo wa nyumba kwa ujumla (ukubwa wa vyumba vya kulala, sitting room na dinning room ni vidogo).Daah basi kiwanja chako ni kidogo sana. Futi 1 =0.3048 metres. Hivyo kwa metres kiwanja chako ni 15.24m kwa 18.29m. Kwa ukubwa wa hiyo nyumba uliyoisema hapo juu, unaweza usipate hata parking au ukipata haizidi ya mita 3.
Unauza bei gani choo cha kukaa[Goodone],sink la kunawia mikono na shower na rail yake? Uko maeneo gani.Hizi ndio shughuli zangu mkuu Funguka unataka za namna gani.....Karibu
Mimi nipo Kariakoo....maeneo ya Gerezani....Choo ya Good one kwa sasa ni 170....Basini ya kunawa mikono....150...Kwenye hiyo Shawer unazungumzia ile yenye Kijumba cha kujifungiq kama Jacuuz?,,.hiyo kwa sasa mimi sinaUnauza bei gani choo cha kukaa[Goodone],sink la kunawia mikono na shower na rail yake? Uko maeneo gani.
Mimi nadili na vifaa vya finishing hasa mabomba na maSink hivyo vyakuanzia cna ujanja navyo ngoja tuwasubiri wadau wengine!
nazungumzia shower ile bomba ya mvua tu[flexible] na rail yake ya ukutani.Mimi nipo Kariakoo....maeneo ya Gerezani....Choo ya Good one kwa sasa ni 170....Basini ya kunawa mikono....150...Kwenye hiyo Shawer unazungumzia ile yenye Kijumba cha kujifungiq kama Jacuuz?,,.hiyo kwa sasa mimi sina
sasa hapo nimeshakula hasara ya hicho kiwanja ila itabidi unisaidie ili niweze kujenga itakakidhi hiyo eneo na kubaki kasehemu kakubaki kitu au gariDaah basi kiwanja chako ni kidogo sana. Futi 1 =0.3048 metres. Hivyo kwa metres kiwanja chako ni 15.24m kwa 18.29m. Kwa ukubwa wa hiyo nyumba uliyoisema hapo juu, unaweza usipate hata parking au ukipata haizidi ya mita 3.
Uko wapi mkuu?Mkuu kwa hivi vifaa nistue nkuletee kwa bei nafuu sana....
Gypsum powder
Rangi
Gypsum board
Pvc ceiling
Mikanda ya Gypsum (cornizers)
Tiles
Nicheki kwa 0754729751
Hapo mkuu njia bora ni kumpata mtaalam wa ramani uende naye site yeye atakadiria vizuri zaidi dimensions za nyumba akiwa eneo husika na atakushauri kulingana na space iliyopo. Usiwatumie wale jamaa wa kuangalia site plan na kuchora ramani bila kwenda site. Kwa njia hii utaweza kutoa mjengo mzuri kulingana na eneo lako.sasa hapo nimeshakula hasara ya hicho kiwanja ila itabidi unisaidie ili niweze kujenga itakakidhi hiyo eneo na kubaki kasehemu kakubaki kitu au gari
kwani mkuu nyumba niliyosema hapo juu au hiyo niliotoa picha hapo inatakiwa niwe metres ngapi urefu na upana mkuu nisaidie kwa hapo