Bei za Vifaa vya ujenzi wa nyumba

Bei za Vifaa vya ujenzi wa nyumba

ME NAANZA NA PLUMBING,BEI HIZI NI KUTOKA INDIAN STREET PANDE ZA CITY CENTER.
IPS Pipe 1/2 @ 13,000
Elbow 1/2@ 1000
Tee1/2@ 1000
Nipple 1/2@ 1000
Union 1/2 @ 1000
Socket 1/2 @ 1000
Get valve 1/2 9000
PVC Pipe 1 1/4 @ 7000
Elbow 1 1/4 @ 1000
Tee 1 1/2 @ 1000
Plug 1 1/4 @ 1000
PVC pipe 1 1/2 @ 8000
Elbow 1 1/2 @ 1500
Tee 1 1/2 @ 1500
Plug 1 1/2 @ 1000
Tan Jint kopo @ 5000
Nahan Trap 2500
Seal Tep @ 500
Kila la heri katika ujenzi wako mkuu.
Asante sana mkuu. Umetupa mwongozo
 
Last edited by a moderator:
mpo kimya katika huu uzi ni muhimu sana huu MAANA SHUGHULI ZA UJENZI DUUUH
mbezi beach tofali 1000 bado upakizi/ushushaji 200
kwa sie ujenzi wa milimani tofali lazima likishushwa libebwe kufikika kwenye uwanja wako GHARAMA YA PILI KO TOFALI MOJA 1500 mpaka site
cement 15000..........mchanga 180 gari ndogo dar hii mbez
 
mkuu Richards..naweza kupata wapi kwa hapa tanzania bomba za nch3 za thickness ya mm2, zenye urefu wa mita 8, na bei yake!plz mkuu
 
Mimi nyumba yangu iko kwenye Beem ( lenta) hapa nafikiri bei ya
. mbao treated bei zake
. mabati ya kisasa,, sijui bei zake nasikia kuna yale ya china, na south africa sijui na wapi wazoefu mwagikeni tufaidike hasa bei za kariakoo
 
Mi.nafikiri ungeandika.kichwa.cha habari.dili la.vifaa vya ujenzi..kuna watu wengi wako humu wanaweza.kutuuzia.kwa bei.nzuri.na ukamaliza.we.unafikiri za tra 73 wamenunua kihalali nondo..cement..tupeane.michongo na wa wiring.nanyie.mtupe dili tunapataje kwa bei nzuri tujenge nasisi nyumba za.jf..sio za tra..
 
Ukiwa.na.fundi material.zote utajua tu..kama unaenda guest huna.condom unakuta nao wamemaliza muanze kuulizana una ramboo utajibiwa ninamuwa
 
mpo kimya katika huu uzi ni muhimu sana huu MAANA SHUGHULI ZA UJENZI DUUUH
mbezi beach tofali 1000 bado upakizi/ushushaji 200
kwa sie ujenzi wa milimani tofali lazima likishushwa libebwe kufikika kwenye uwanja wako GHARAMA YA PILI KO TOFALI MOJA 1500 mpaka site
cement 15000..........mchanga 180 gari ndogo dar hii mbez
KWENYE.MCHANGA NA KOKOTO NASHAIRI NENDENI MACHIMBO MRUDI MBAGAIN NA USAFIRI UNASAVE NYINgI SANASANA..YAPO MACHIMBO YA MBWENI..KIBAHAA..MBEZII..MBAGALA..KOKOTO NJOON TEGETA KABLA AMJAFIKA TEGETA MWISHO KUNA KOKOTO ZA JESHI WANAUZA KWA CUB MTR..PIA UKITAMAN MCHANGA WA CHUMVI NENDEN TANKIBOVU ULIZA KWA.MBOMA MWISHO WA UKUTA ULIZA MACHIMBO YA.MCHANGAA..

NB..UKIKAMATWA NA.MAKONDA ON UR OWN RISK..SIJASHAURI
 
ME NAANZA NA PLUMBING,BEI HIZI NI KUTOKA INDIAN STREET PANDE ZA CITY CENTER.
IPS Pipe 1/2 @ 13,000
Elbow 1/2@ 1000
Tee1/2@ 1000
Nipple 1/2@ 1000
Union 1/2 @ 1000
Socket 1/2 @ 1000
Get valve 1/2 9000
PVC Pipe 1 1/4 @ 7000
Elbow 1 1/4 @ 1000
Tee 1 1/2 @ 1000
Plug 1 1/4 @ 1000
PVC pipe 1 1/2 @ 8000
Elbow 1 1/2 @ 1500
Tee 1 1/2 @ 1500
Plug 1 1/2 @ 1000
Tan Jint kopo @ 5000
Nahan Trap 2500
Seal Tep @ 500
Kila la heri katika ujenzi wako mkuu.

Nataka kufanya biashara hii mkuu,nikiwa na mil sita inanitosha kwa kuanza?
 
Last edited by a moderator:
Mimi nyumba yangu iko kwenye Beem ( lenta) hapa nafikiri bei ya
. mbao treated bei zake
. mabati ya kisasa,, sijui bei zake nasikia kuna yale ya china, na south africa sijui na wapi wazoefu mwagikeni tufaidike hasa bei za kariakoo

tumia bidhaa za ando aisee hutojuta kama unatumia bati za kisasa hizi za afrka ya kusini, nimepaua nazo.
 
ME NAANZA NA PLUMBING,BEI HIZI NI KUTOKA INDIAN STREET PANDE ZA CITY CENTER.
IPS Pipe 1/2 @ 13,000
Elbow 1/2@ 1000
Tee1/2@ 1000
Nipple 1/2@ 1000
Union 1/2 @ 1000
Socket 1/2 @ 1000
Get valve 1/2 9000
PVC Pipe 1 1/4 @ 7000
Elbow 1 1/4 @ 1000
Tee 1 1/2 @ 1000
Plug 1 1/4 @ 1000
PVC pipe 1 1/2 @ 8000
Elbow 1 1/2 @ 1500
Tee 1 1/2 @ 1500
Plug 1 1/2 @ 1000
Tan Jint kopo @ 5000
Nahan Trap 2500
Seal Tep @ 500
Kila la heri katika ujenzi wako mkuu.
Sijaelewa ata kitu kimoja hapa.
 
Last edited by a moderator:
tumia bidhaa za ando aisee hutojuta kama unatumia bati za kisasa hizi za afrka ya kusini, nimepaua nazo.

mkuu ando zinapatikana wapi na vipi bei zake mimi mjengo wangu uko bunju
 
KWENYE.MCHANGA NA KOKOTO NASHAIRI NENDENI MACHIMBO MRUDI MBAGAIN NA USAFIRI UNASAVE NYINgI SANASANA..YAPO MACHIMBO YA MBWENI..KIBAHAA..MBEZII..MBAGALA..KOKOTO NJOON TEGETA KABLA AMJAFIKA TEGETA MWISHO KUNA KOKOTO ZA JESHI WANAUZA KWA CUB MTR..PIA UKITAMAN MCHANGA WA CHUMVI NENDEN TANKIBOVU ULIZA KWA.MBOMA MWISHO WA UKUTA ULIZA MACHIMBO YA.MCHANGAA..

NB..UKIKAMATWA NA.MAKONDA ON UR OWN RISK..SIJASHAURI

hilo kweli maana kokoto hawa walanguzi wa barabaran wanaumiza mfuko 3000 UJENZI WA DAR UJIPANGE ndio maana wengi huishi nyumba za kupanga mpaka uzee huo
KUELEKEZANA KUNA PUNGUZA GHARAMA NA UOGA WA KUJENGA unakaa na uwanja miaka 20 no kujenga hahahahahaha
 
Sijaelewa ata kitu kimoja hapa.

Hahahaa Mkuu inaonekana hujajenga bado au ni wale wa kujengewa moja kwa moja na kuikuta nyumba iko tayari....

Kwa aliyejenga (ukiacha fundi au anaevifahamu) na amefikia hatua ya mfumo wa maji ndani ya nyumba na mfumo wa vyoo atakuwa anavifahamu
 
The richards

Nilijenga mbweni nikaumia sana nilipoanza kupandisha.nikashtuliwa mchanga wanapochukua n dk kumi toka.nilipo kufika kule.lori wanalipia tan 1830"000 usafiri jamaa wakanchaji 45"000. Mchanga huohuo nikisimamisha lori pale masite nanunua 150-140"000

Aisee nilimake...
 
Bei ya mbao kwa futi ni kiasi gani?

2X2
2X4
2X6

Zilizo na dawa na zisizo na dawa?
 
Back
Top Bottom