Bei za Vifaa vya ujenzi wa nyumba

Bei za Vifaa vya ujenzi wa nyumba

wakuu naomba nipate bei ya hivi vifaa vya plumbing kwa sasa.
PPR PIPE 0.5"
PPR ELBO 0.5"
PPR TEE 0.5"
PVC PIPE 1.5"
PVC ELBO 1.5"
PVC TEE 1.5"
PLUG 1.5"
P TRAP
PVC PIPE 4"
PVC ELBO 4"
 
Je njombe kunapatikana mbao za mninga? Bei Kwa mbao za 2x6 Na 1x8 zikoje?
 
wakuu naomba nipate bei ya hivi vifaa vya plumbing kwa sasa.
PPR PIPE 0.5"
PPR ELBO 0.5"
PPR TEE 0.5"
PVC PIPE 1.5"
PVC ELBO 1.5"
PVC TEE 1.5"
PLUG 1.5"
P TRAP
PVC PIPE 4"
PVC ELBO 4"
Ppr pipe 0.5" Elf 6
Ppr tee & Elbow 0.5" @ 600
 
wakuu naomba nipate bei ya hivi vifaa vya plumbing kwa sasa.
PPR PIPE 0.5"
PPR ELBO 0.5"
PPR TEE 0.5"
PVC PIPE 1.5"
PVC ELBO 1.5"
PVC TEE 1.5"
PLUG 1.5"
P TRAP
PVC PIPE 4"
PVC ELBO 4"
Pvc pipe 4" class B..elf 35 na class A Elf 12
 
wakuu naomba nipate bei ya hivi vifaa vya plumbing kwa sasa.
PPR PIPE 0.5"
PPR ELBO 0.5"
PPR TEE 0.5"
PVC PIPE 1.5"
PVC ELBO 1.5"
PVC TEE 1.5"
PLUG 1.5"
P TRAP
PVC PIPE 4"
PVC ELBO 4"
PVC elbow 4" Plain elf 2500 na Rubber elf 3
Pvc P trap 4" @ elf 2500
 
wakuu naomba nipate bei ya hivi vifaa vya plumbing kwa sasa.
PPR PIPE 0.5"
PPR ELBO 0.5"
PPR TEE 0.5"
PVC PIPE 1.5"
PVC ELBO 1.5"
PVC TEE 1.5"
PLUG 1.5"
P TRAP
PVC PIPE 4"
PVC ELBO 4"
Ppr pipe 1.5" @ elf 35
Ppr tee n Elbow @ elf 4
Ppr Plug 1.5" @ elf 2500
 
Naomba website links za maduka yanayouza vifaa vya ujenzi pamoja na vifaa vya ndani kama sinks, vyoo na kadhalika.
 
mkuu kingmario inabidi ladyfurahia apate ushauri wa kitaalam ili aweze kujenga nyumba ya ndoto zake, nadhani inawezekana kwa kuwa hata nyumba za NHC ni ndogo kwa eneo na hata udogo wa nyumba kwa ujumla (ukubwa wa vyumba vya kulala, sitting room na dinning room ni vidogo).
NAHITAJI MNISHAURI MKUU KWANI SIJUI VIZURI MASUALA YA UJENZI NAMI NATAKA KUJENGA HIVYO PLS USHAURI WENU NI MUHIMU KWANGU MKUU NSEREKO PLS
 
Kabla hujaanza ujenzi omba usaidiwe utaalamu vipi utajenga nyumba yako kwa gharama ndogo. Kwa huyo architecture
UNAWEZA KUNIPA MTAALAMU WA KUSOMA RAMANI WA AU WA KUCHORA RAMANI KWA BEI NAFUU KULINGANA NA JINSI NILVYO?
 
UNAWEZA KUNIPA MTAALAMU WA KUSOMA RAMANI WA AU WA KUCHORA RAMANI KWA BEI NAFUU KULINGANA NA JINSI NILVYO?
mkuu hapa jf kuna wataalam wa michoro na ushauri nadhani watakuja hapa, ramani nilichorewa na mtaalam mmoja toka tanroad kibaha ila nimepoteza mawasiliano yake nitajaribu kumtafuta nikimpata nitakulink naye ila pia si vibaya kama hawa wataalam wetu hapa jf wakijitokeza itakuwa vyema zaidi.
 
Wakuu Na msaada mchanganuo wa gharama ya ujenzi wa ramani hii,
 
Ramani hii
1a940294cb668e785f50afd81e6e5c70.jpg
 
Fundi mwenye bei nzuri atapata kazi ,lakini ubora utazingatiwa
 
Mkifikia kwenye Mbao naona niwauzie kwa bei poa kabsa
 
Back
Top Bottom