Bei za Vifaa vya ujenzi wa nyumba

Bei za Vifaa vya ujenzi wa nyumba

Mi.nafikiri ungeandika.kichwa.cha habari.dili la.vifaa vya ujenzi..kuna watu wengi wako humu wanaweza.kutuuzia.kwa bei.nzuri.na ukamaliza.we.unafikiri za tra 73 wamenunua kihalali nondo..cement..tupeane.michongo na wa wiring.nanyie.mtupe dili tunapataje kwa bei nzuri tujenge nasisi nyumba za.jf..sio za tra..

Uliza kifaa chochote cha domestic wiring uambiwe bei na uletewe
 
mkuu ando zinapatikana wapi na vipi bei zake mimi mjengo wangu uko bunju

Mkuu kwa hivi vifaa nistue nkuletee kwa bei nafuu sana....
Gypsum powder
Rangi
Gypsum board
Pvc ceiling
Mikanda ya Gypsum (cornizers)
Tiles
Nicheki kwa 0754729751
 
Mkuu la 700 linapatikana wapi si litakua ni mchanga mtupu?Mkuu mbona bei zako ndogo sana hiyo nyumba inayojengwa ni ya kiwango cha kijijini au ni kwenye miji mikubwa kama Dar?

Yote aliyoandika ni sawa kasoro tofali ndiyo 1000-1100
 
mkuu ladyfocus unaweza kutusaidia anuani za ando (mahali ilipo ofisi, pia namba ya simu)?
 
mkuu ladyfocus unaweza kutusaidia anuani za ando (mahali ilipo ofisi, pia namba ya simu)?

Mimi pia nimetumia bati za Ando, ni nzuri sana. Kwa Dodoma, wanapatikana opposite na shule ya msingi Uhuru pia wapo Kilimo Kwanza. Contacts zao, sina
 
Mkuu kwa hivi vifaa nistue nkuletee kwa bei nafuu sana....
Gypsum powder
Rangi
Gypsum board
Pvc ceiling
Mikanda ya Gypsum (cornizers)
Tiles
Nicheki kwa 0754729751

Mkuu Ruta, tusaidie kutuwekea hapa jf aina ya tiles ulizo nazo na bei zake?
 
Mkuu Ruta, tusaidie kutuwekea hapa jf aina ya tiles ulizo nazo na bei zake?

TILES

30/30 polcn 20PC 19500 CERAMIC 25000. 40/40 POLCN 27000, CERAMIC 32500, GRANIT 34000.

Gypsub board....17500 Thailand
Gypsum board ....15000 china
Gypsum powder.....17000
Cornizer..........3200
Pvc ceiling.......10000
Gypsum screw....5000
Fiber tapes........9000
Rangi emulsion 20lt......33000
N.k

N.B Bei hapo juu haziko fixed zaweza kupanda au kushuka
 
Mimi pia nimetumia bati za Ando, ni nzuri sana. Kwa Dodoma, wanapatikana opposite na shule ya msingi Uhuru pia wapo Kilimo Kwanza. Contacts zao, sina

mkuu kikaniki mimi nipo dar es salaam, nitashukuru nikipata mawasiliano yao.
 
mkuu kikaniki mimi nipo dar es salaam, nitashukuru nikipata mawasiliano yao.

Mobile: +255754306445 /
0767909271.
HEAD OFFICE: Wazo hill
Industrial Area,Dar es
salaam.
-website: www.ando.co.tz
-Instagram: @
andoroofingproducts
-Email: info@ando.co.tz
 
kwa arusha wapo karibu na nakumat unaingia kama unataka kwenda nakumat ila unaelekea kwenye maduka yaliyopo kushoto, ukiuliza tu ando unaelekezwa. Wako poa sana, now wametoa toleo jipya la kofia ziko poa sana tofauti na zngne, bati pia nzur sana
 
Nataka kufanya biashara hii mkuu,nikiwa na mil sita inanitosha kwa kuanza?

Unaweza kuanza ila ni muhimu kujua hilo duka unataka kuweka wapi naJe ktk hiyo 6ml umeshalipia na Frame au mambo zote nihumo kweye 6ml
 
Mobile: +255754306445 /
0767909271.
HEAD OFFICE: Wazo hill
Industrial Area,Dar es
salaam.
-website: www.ando.co.tz
-Instagram: @
andoroofingproducts
-Email: info@ando.co.tz

Nyengine hii apa ambayo utawasiliana nao 0767 909179
 
inatosha kabisa tena ukitaka unachanganya na toilets na masink unayapata kwenye godauni za goodone bei chee,ni busness nzuri sana hii.

Mkuu Choo za nzuri za Good one labda zile za kukaa lkn za kuchuchumaa.....Hazifai
 
Back
Top Bottom