Bei za Vifaa vya ujenzi wa nyumba

Bei za Vifaa vya ujenzi wa nyumba

Wakubwa, ninaulizia bei ya vyoo vya kukaa, vya kuchuchumaa, na masinki ya kunawia mikono imara na bora kabisa.
 
TILES

30/30 polcn 20PC 19500 CERAMIC 25000. 40/40 POLCN 27000, CERAMIC 32500, GRANIT 34000.

Gypsub board....17500 Thailand
Gypsum board ....15000 china
Gypsum powder.....17000
Cornizer..........3200
Pvc ceiling.......10000
Gypsum screw....5000
Fiber tapes........9000
Rangi emulsion 20lt......33000
N.k

N.B Bei hapo juu haziko fixed zaweza kupanda au kushuka
Mkuu bei ya hivi vitu ipoje kwa sasa
 
Back
Top Bottom