nataka kuweka msingi kwenye kiwanja changu huko chamazi
kiwanja kina futi 50-60 sasa nifanyaje wakuu mnisaidie
kwani nataka nyumba ya kawaida yenye sitting room1, kitchen room1, vyumba3 vya kulala, na bathroom ya ndani pamoja na bathroom ya nje
nahitaji kujua makadirio hapop ya ujenzi hasa nikianzia kwanza kwenye msingi halafu kidogokidogo nikijikusanya nianze kujenga taratibu nisaidieni kwa anayejua zaidi masuala ya ujenzi
na nyumba yangu nataka iwe mfano kama huu nimeattach ili muone nimeipenda huu mwonekano