Bei za Vifaa vya ujenzi wa nyumba

Bei za Vifaa vya ujenzi wa nyumba

Jamani nimeongea na fundi mmona anasema mlango wa mninga wanje ni tsh 600000 na wandani ni tsh 400000 na frem zake munanishaurije
 
mkuu kama vp jaribu kuchongesha mikoan hasa Tabora walau ipo chini kidogo then unasafirisha kidogo itaokoa hio gharama..kwa hapa Singida top za milango is btn 250-300k so pia kama una ndugu yako hapa unaweza chongesha then unasafirisha kwa malori amabyo huwa mwngi yanapita hapa tupu na haiwezi zid 50k kusafirisha mlnago 1
 
Naomba kuuliza kwa anaejua msingi wa nyumba unaogharimu kiasi cha milion nane fundi anastahili kulipwa kiasi gani? Naomba ufafanuzi kwa anaejua

Kiongozi, huwezi kupata maelezo yanayotosheleza kwa details za namna hiyo.
Gharama za kujenga msingi hutofautiana kwa factors nyingi mno. Unatakiwa kueleza ukubwa (size) wa nyumba, ikiwezekana toa floor plan ili wadau wajue size ya nyumba yako, sema unajenga kwenye landscape gani, udongo wa aina gani na wapi hasa ili kujua costs za vifaa mbalimbali kama tofali, saruji, nondo, mbao na vitu vingine.
Fundi huwa mnafanya makubaliano tu. Lakini in most cases foundation utachajiwa kati ya 1.3m hadi 2m kwa nyumba ya size ya kawaida, say 100sq.m hadi 200sq.m
 
Ukifikia madirsha ya aluminium glass usisite kunitafuta no +255 654 069 041/+255 744 722 526
 
wakuu natafuta hivi vitu nitavipata wapi yenye ubaora? Nimeangalia online nimeona hili duka linaitwa CTM liko nyerere road. Je vitu vyao imara hawa watu?
 
Attachments

  • shower.jpg
    shower.jpg
    21.4 KB · Views: 266
  • bathset.jpg
    bathset.jpg
    8.7 KB · Views: 250
wakuu natafuta hivi vitu nitavipata wapi yenye ubaora? Nimeangalia online nimeona hili duka linaitwa CTM liko nyerere road. Je vitu vyao imara hawa watu?
Mkuu hao jamaa ni waITALY vitu vyao vya ukweli ila Bei ujipange ikitaka za China Grade nzuri unitafute
 
wameweka bei zao online ila wanatumia South Africa Rand kwa bath set hiyo wanauza kama laki 6 hivi
 
Kiongozi, huwezi kupata maelezo yanayotosheleza kwa details za namna hiyo.
Gharama za kujenga msingi hutofautiana kwa factors nyingi mno. Unatakiwa kueleza ukubwa (size) wa nyumba, ikiwezekana toa floor plan ili wadau wajue size ya nyumba yako, sema unajenga kwenye landscape gani, udongo wa aina gani na wapi hasa ili kujua costs za vifaa mbalimbali kama tofali, saruji, nondo, mbao na vitu vingine.
Fundi huwa mnafanya makubaliano tu. Lakini in most cases foundation utachajiwa kati ya 1.3m hadi 2m kwa nyumba ya size ya kawaida, say 100sq.m hadi 200sq.m
Asante kwa mwongozo
 
wakuu natafuta hivi vitu nitavipata wapi yenye ubaora? Nimeangalia online nimeona hili duka linaitwa CTM liko nyerere road. Je vitu vyao imara hawa watu?
mkuu duka lako liko wapi nije kuangalia vifaa maana hawa jamaa bei zao nimeshindwa
 
mkuu kama vp jaribu kuchongesha mikoan hasa Tabora walau ipo chini kidogo then unasafirisha kidogo itaokoa hio gharama..kwa hapa Singida top za milango is btn 250-300k so pia kama una ndugu yako hapa unaweza chongesha then unasafirisha kwa malori amabyo huwa mwngi yanapita hapa tupu na haiwezi zid 50k kusafirisha mlnago 1
Mkuu unaweza nipa contract ya mtu yyte singida
wameweka bei zao online ila wanatumia South Africa Rand kwa bath set hiyo wanauza kama laki 6 hivi
 
Kuna sehemu moja inaitwa mitundu iko wilayan manyon vijijin unaweza kupata mlango wa mninga kwa Tsh180000 \=tu
 
Back
Top Bottom