dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,531
kwa biashara watu wanapenda vitu cheepest mkuu
Yaah...nikweli ila hizi choo za kuchuchumaa zakichina wakati zinaingia tuliuza sana lkn Mrejesho tuliopata nikwamba wakisafisha kwa Dawa vinaharibika sasa hivi vya India ndio vzr